Instagram story viewer> @mandostore___> Posts
512
followers
0
following
POSTS STORIES REELS TAGGED
LEO NATAKA NIWAPE MAANA YA JINA LANGU EL MANDO.

El — katika Kihispania, humaanisha “the” (yule” au “huyo”

Mando — linaaanisha amri, mamlaka au uongozi.

El Mando inawakilisha “The Commander, The Leader au “The One in Charge.” 

EL MANDO — The Voice, The Vision, Game controller, The Influence, yaani mwenye sauti ya maono na Sauti ya ushawishi katika tasnia husika.

Mimi ndio Visionista,  niiteni El Mando AKA VISIONISTA by @mandostore___
17
a day ago
Download
Mama Sandra Singeli lake limeondoka sanaaa, Hiyo Lini Hiyooo Akili Sina mi mwenzako Fyatu, na mzuka ukipanda mi nacheza Peku pekuu.

Malizieni Mashairi hayo Ujishindie Laki Moja 😊 Najua wengi Hawataamini ila Shauri zako usije ukajilaumu baadae

Leo Wanangu wa Singeli nataka niwape maana ya Jina langu EL MANDO ili mnijue mimi ni nani.

El — katika Kihispania, humaanisha “the” (yaani “yule” au “huyo”

Mando — linaaanisha amri, mamlaka au uongozi katika baadhi ya matumizi ya Kihispania.

Kwa hiyo, kama tafsiri ya kisanaa ya brand, El Mando inaweza kuwakilisha “The Commander,” “The Leader” au “The One in Charge.” 

EL MANDO — The Voice, The Vision, The Influence.
Yaani mtu mwenye sauti, maono na ushawishi katika tasnia ya burudani.

Au 
“Mwenye maono, sauti na ushawishi.”

Mimi ndio Visionista, sasa niiteni El Mando AKA VISIONISTA au Game controllers📌 by @mandostore___
68
2 days ago
Download
MandoPlus by @mandostore___
4
2 days ago
Download
Nimekutana na my brothers @diamondplatnumz & @juma_jux kwenye Uzinduzi wa Duka la African Boy Sinza.

BIG katoka Direct Zambia kafika Dukani kumpa Sapoti Mshikaji wake Juma Jux, napenda sana namna Diamond na Juma Jux wanavyoheshimiana by @mandostore___
210
a month ago
Download
Mshindi wa Tuzo mbili za AFRIMMA my Brother @juma_jux leo anazindua Duka lake la African Boy Sinza.

Tumebadilishana maneno mawili matatu maana tangu ashinde Tuzo sijaonana nae.

Hongera kaka yangu Juma Jux, pia nimekutana na Dada zangu @abigail_chams na @gabriellechams nimefurahi kukutana nao by @mandostore___
65
a month ago
Download
 by @mandostore___
0
a month ago
Download
MandoPlus by @mandostore___
0
a month ago
Download
MandoPlus ✅ by @mandostore___
0
a month ago
Download
MandoPlus Kifuani, Maji yamelowa Msafi kama Rich✅ by @mandostore___
1
a month ago
Download
#MandoPlus by @mandostore___
0
2 months ago
Download
#MandoPlus by @mandostore___
0
2 months ago
Download
#MandoPlus by @mandostore___
1
2 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up