Instagram story viewer> @massanjadaniel> Posts
1.3K
followers
1114
following
⛪ (Ministerium verbi Divini)
♥️Husband to @veramasanja
✝️Saved by Jesus
🌍Shinning his Divine Light Worldwide
POSTS STORIES REELS TAGGED
NIMEMUONA MUNGU | OFFICIAL AUDIO 

Mungu anapokufungua macho ya rohoni, jambo la kwanza utakaloliona ni Yeye! Na mimi kwa neema Yake, NIMEMUONA BWANA! 

📖 “Kwa kuwa macho yangu yameuona wokovu wako.” — Luka 2:30

Wimbo huu ni ushuhuda wa neema, uaminifu na matendo makuu ya Mungu. Unaposikiliza, Mungu akubariki, aimarishe imani yako na akuongoze kuvuka kutoka hatua moja kwenda nyingine katika maisha yako. Utukufu wote ni wa Yesu Kristo!

🎹 Special Credit: Producer EZZYMUSIC 

Like, comment, subscribe na share ili wengine pia wabarikiwe kupitia wimbo huu.

#NimemuonaMungu #Ezzymusic #SwahiliGospel #GospelMusic #YesuKristo by @massanjadaniel
0
a day ago
Download
 by @massanjadaniel
0
3 days ago
Download
 by @massanjadaniel
0
4 days ago
Download
 by @massanjadaniel
0
12 days ago
Download
OCTOBERFIED BLESSINGS
 
1. Mwezi wa asili
2. Mwezi wa uwepo
3. Mwezi wa wito
4. Mwezi wa kukua, 
5. Mwezi wa Kuinuliwa.

BUILDER.
RAPHAEL LYEL by @massanjadaniel
0
18 days ago
Download
 by @massanjadaniel
0
a month ago
Download
UTAWALE EE BABA NA BWANA WETU YESU KRISTO by @massanjadaniel
0
2 months ago
Download
"Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu" Yohana 4:23

Haya ni baadhi ya matukio kwenye Ibada ya kusifu na kuabudu iliyofanika tarehe 30.08.2026 pale TAG Hebron, Lindi Mjini

Tulikua na wakati nzuri na watumishi wa Mungu @emmanueljoetz
@donickmwakatobe
@massanjadaniel

#ibadahalisi #worship #taglindimjini #tagonline taken in Lindi, Tanzania by @massanjadaniel
6
2 months ago
Download
 by @massanjadaniel
0
3 months ago
Download
Mtawala wa ulimwengu na ainuliwe peke yake
#fountainofjoyinternational
#dodoma

@veramasanja by @massanjadaniel
3
3 months ago
Download
 by @massanjadaniel
0
3 months ago
Download
Jali sana rafiki anayekaa na wewe muda wote usimwache...Yesu kwangu ni Mwema sana by @massanjadaniel
1
3 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up