Instagram story viewer> @mc_mkulu> Posts
702
followers
1143
following
presenter #Uplands fm
Master of ceremonies (MC)🎤
Sports analyst...
POSTS STORIES REELS TAGGED
Hatimae leo ndio siku ya dabi ya kariakoo, siku iliyosubiriwa kwa muda mrefu by @mc_mkulu
0
7 days ago
Download
Mchambuzi wa michezo @mc_mkulu amewataja wachezaji wa yanga ambao endapo wakiamka vizuri kwenye dabi ya kariakoo yanga ana nafasi kubwa ya kushinda mchezo by @mc_mkulu
0
7 days ago
Download
SIMBA WALIWALAZIMISHA AZAM KUFANYA MAKOSA, MICHEZO MIKUBWA YOTE INA PRESHA, SIMBA WALIKUWA N PRESHA KULIKO AZAMU - MC MKULU by @mc_mkulu
2
25 days ago
Download
DABI YA KARIAKOO NI MCHEZO MKUBWA SANA NA UWANJA WA UHURU NI MDOGO, KUUTUMIA UWANJA WA UHURU NI KUWANYONGA MASHABIKI MAANA KIINGILIO LAZIMA KIWE KIKUBWA NA MASHABIKI WENGI WATAKOSA NAFASI YA KUSHUHUDIA DABI by @mc_mkulu
3
25 days ago
Download
Siku zote changamoto zinakukomaza na kukufanya uwe bora zaidi.

@official_juma_kaseja ni miongoni mwa makocha vijana na bado ana nafasi kubwa ya kujiimarisha na kuwa bora zaidi. by @mc_mkulu
1
a month ago
Download
CHANGAMOTO YA WASHAMBULIAJI BORA SIO KWA TIMU ZA TANZANIA PEKEE NI KWA KARIBU VILABU VYOTE BARANI AFRIKA by @mc_mkulu
4
a month ago
Download
KIPINDI YANGA WANAZIFUNGA TIMU ZA NBC GOLI TANO TANO LIGI YETU ILIKUWA DHAIFU, KWA SASA LIGI IMEIMARIKA NA TIMU ZINA WACHEZAJI WENGI WAZURI by @mc_mkulu
16
a month ago
Download
September tour 🔥🔥🔥🔥🔥 by @mc_mkulu
16
a month ago
Download
Congratulations @_praise_wisdom 💫💥👏👏

Umestahiri ushindi💥👏💫

@bongostarsearch by @mc_mkulu
0
3 months ago
Download
@mc_mkulu Hii Amesema Hataki Kupoteza. Hawa Watoto Wa Mkuu Wa Mkoa Lazima Wafungwe Watake Wasitake. Kinapigwa Hapa Viwanja Vya Shule Ya Secondary Venite.

Kwa Taarifa Zaidi Sikiliza Sports Line Ya Leo Mbili Mpaka Tatu Usiku.
Tune 89.1Mhz Na Radio Box. by @mc_mkulu
6
3 months ago
Download
Leo kwenye #Afrika bampa to bampa imepigwa #Remember Me ya Lucky Dube je wewe umeelewa nini?

Cc. @mc_mkulu @oscar97_jr 

Tusikilize Live Kupitia 89.1Mhz Na App Ya Radio Box Kama Uko Nje Ya Mkoa Wa Njombe.

#tunaishinao2026
#2026
#kwaheshima
maishayakomuzikiwako 
maishayakomaishayetu by @mc_mkulu
0
4 months ago
Download
“Baba kanipa mtaji nimekula sasa navaa nguo zimechanika” ni miongoni mwa mistari inapatikana kwenye wimbo wa kikundi cha ngoma cha Mashujaa kutoka kijiji cha Utengule.

Cc. @mc_mkulu @oscar97_jr 

Tusikilize Live Kupitia 89.1Mhz Na App Ya Radio Box Kama Uko Nje Ya Mkoa Wa Njombe.

#tunaishinao2026
#2026
#kwaheshima
#maishayakomuzikiwako 
#maishayakomaishayetu by @mc_mkulu
2
4 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up