Instagram story viewer> @mfalmemussa_> Posts
2422
posts
4.8K
followers
1663
following
#Award winning Best Radio&TV Presenter Weather Information Tanzania 2022&23
Presenter #KissRipoti#Jamriddim
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Usikose kufuatilia Mdahalo huu muhimu leo Ijumaa April 24,2026,ambapo vijana mbalimbali ngazi ya Kitaifa kutoka katika vyama vya Siasa nchini,wanahabari pamoja na wachambuzi wa masuala ya kisiasa...karibu ssna by @mfalmemussa_
0
3 months ago
Download
My performance .... slideMachi 22,2024-Siku ya Maji Duniani,nilikabidhiwa Tuzo na Waziri wa Maji Jumaa Aweso Kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu Dkt.Doto Biteko ya kuwa Mwandishi Bora niliyejipambania katika kuandika taarifa za Mabadiliko ya Tabia nchi.2023-Nilikabidhiwa Cheti na Tuzo ya Jumla ya Mwanahabari Bora wa TV na Redio katika Taarifa za Utabiri wa Hali ya Hewa,ambayo hutolewa na Kuandaliwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini -TMA2022-Nilikabidhiwa Cheti na Tuzo ya Mwanahabari Bora wa TV na Redio katika Taarifa za Utabiri wa Hali ya Hewa,ambayo hutolewa na Kuandaliwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini -TMA2022 Nairobi Kenya- Nilipatiwa Cheti na Tuzo (Trophy) katika Hafla ya Wanahabari wanaondika taarifa za Hali ya Hewa na Mabadiliko ya Tabia Nchi,baada ya kuwa Mwandishi ambayo niliandika na kuripoti taarifa zinazohusu kikao hicho.2023 nchini ETHIOPIA. - Nilishiriki kama Mwanahabari katika Mkutano Maalum wa kujadili Changamoto za Upatikanaji wa Maji Barani African (African Footprint)......#mussatzupdate #mnewstz #musabhai❤️ by @mfalmemussa_
0
a year ago
Download
"Siku zote Ipo furaha ya aina moja tu katika maisha, Nayo ni Kupenda na Ukapendwa"....#mussatzupdate #mnewstz #musabhai❤️ by @mfalmemussa_
0
a year ago
Download
credit: @mreno.zanku26 by @mfalmemussa_
0
32 minutes ago
Download
Pata maneno ishi nayo by @mfalmemussa_
0
16 hours ago
Download
Katika eneo la Nunavut kaskazini mwa Canada, jua halizami kabisa kwa takribani miezi miwili mfululizo wakati wa majira ya joto, na wakati wa baridi hushuhudia siku 30 za giza kuuEneo hili lipo juu ya mzunguko wa Aktiki, na kusababisha mwanga wa jua kuwepo mchana na usiku bila giza.Hali ya hewa ya baridi kali na ukosefu wa udongo wa kina huzuia miti mikubwa kuotaWakati wa msimu wa baridi, mzunguko hugeuka na kukabiliwa na giza la polar kwa takriban mwezi mzima......Je wewe unaonaje hilo unatamani lingekuwa eneo lenu ?....Credit : @utaliitz......#mnewstz #jicholamkushi #musabhai❤️ by @mfalmemussa_
3
a day ago
Download
Siku zote hakikisha unafanya kile unachoweza kwa vyote ulivyonavyo, popote ulipo.Jicho la Mkushi limeona hivyo Je nawe umeona?.......#mnewstz #jicholamkush #musabhai❤️ by @mfalmemussa_
0
2 days ago
Download
Wakazi wa Wilaya ya Temeke Mkoani Dar es salaam wametakiwa kukataa matumizi ya Dawa za Kulevya Moyoni na sio mdomoni ili waweze kujenga kesho iliyobora zaidi.Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es salaam na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda wakati akizindua Tamasha la kufikia na kuhamasisha jamii didi ya Dawa za Kulevya ambalo limeratibiwa na Mamlaka ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya na kufanyika katika viwanja vya Mwembeyanga vilivyopo kwenye wilaya hiyo.Aidha Mkuu wa Wilaya ya Temeke ametumia fursa hiyo amewatahadharisha vijana kutojaribu kutumia dawa za kulevya kwa kudhani ni fasheni au starehe, akieleza kuwa athari zake huanza taratibu na kufikia hatua ambayo huwa vigumu kurekebisha.Awali kaizungumza Kamishna Msaidizi wa Tiba na Huduma za Utengamano Dkt Cassian Nyandindi amesema kuwa takwimu zinaonyesha Temeke tatizo la ongezeko la dawa za kulevya ambapo takriban watu 2500 wanapata matibabu ya uraibu wa dawa aina ya Heroin.Kwa upande wake Mtumiaji wa Dawa za kulevya aliyepata unafuu Hadia Juma amesema kuwa sababu ya kuacha kutumia dawa hizo ni kutokana na changamoto za kimaisha alizozopitia huku Mkurugenzi Mtendaji wa kutokea Nyumba ya Upataji nafuu (DAPO) Sura Nyembo amesema makundi ndio yalifanya atumie dawa lakini kwa sasa amesaidika.Katika hatua nyingine MKUU wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amevitaka vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhakikisha vinafanya uchunguzi katika showroom za magari wilayani humo ili kuweza kubaini kama kuna mnyororo wa usambazwaji wa dawa za kulevya @dceatanzania ✍️✍️ @mfalmemussa_ #kissfmtaarifa #kissfmtanzania🇹🇿 #kissfm2026kuwaleokablayakesho by @mfalmemussa_
0
2 days ago
Download
Mwonekano Mpya Kutoka Mwezini Picha za kuvutia kutoka Artemis II zinaonyesha Kupanda kwa Dunia na Maziko ya Dunia kama zinavyoonekana kutoka Orion wakati wa safari yake kuzunguka Mwezi. Kutoka kwenye mzunguko wa mwezi, Dunia inaonekana kuinuka au kutua kwa sababu chombo cha angani kinasonga, si kwa sababu Dunia inainuka juu ya Mwezi kwa njia ile ile ambayo Jua huinuka Duniani. Inaelezwa kuwa Kama ungekuwa umesimama katika maeneo mengi yaliyowekwa kwenye Mwezi, Dunia ingebaki karibu ikiwa imetulia angani kutokana na mzunguko wa Mwezi unaolingana. Mitazamo hiyo inatoa heshima kwa misheni ya hadithi ya Apollo 8, ambayo picha yake maarufu ya "Kupanda kwa Dunia" ikawa moja ya picha zenye ushawishi mkubwa zaidi kuwahi kupigwa, ikiangazia uzuri na udhaifu wa sayari yetu. Kutoka kwa mtazamo huo.Dunia inaonekana kama ulimwengu wa bluu wenye nguvu ulioning'inia kwenye giza la anga - ukumbusho kwamba kila bahari, bara, na kila mtu tunayemjua yupo kwenye tufe hilo dogo na angavu. Programu ya Artemis inalenga kuwarudisha wanadamu Mwezini na kuandaa njia kwa misheni za baadaye za wafanyakazi kwenda Mirihi, ikiashiria sura inayofuata katika uchunguzi wa anga za juu wa wanadamu. Vituko vichache vina nguvu kama kuona ulimwengu wote wa nyumbani ukining'inia juu ya upeo wa mwezi. Chanzo: NASA....#mnewstz #jicholamkushi #musabhai❤️ by @mfalmemussa_
0
3 days ago
Download
Karibu katika #kissripoti by @mfalmemussa_
0
4 days ago
Download
Credit @ringo_sabufa by @mfalmemussa_
0
4 days ago
Download
Watu mulio kwenye mahusiano munalisikia hilo kutoka kwa DC by @mfalmemussa_
0
5 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up