Instagram story viewer> @migombo_tz> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Di María amjibu Ronaldo kwenye mjadala wa GOAT!
Angel Di María amesema hana shaka kuwa Lionel Messi ndiye mchezaji bora zaidi katika historia ya soka.
Amedai Cristiano Ronaldo alikosa bahati kwa kucheza katika zama ambazo Messi alikuwepo, akisisitiza kuwa mafanikio ya Messi kama Ballon d’Or 8, Kombe la Dunia na mataji ya Copa América yanajieleza yenyewe.
Kauli hiyo imezua mjadala mkubwa miongoni mwa
mashabiki wa soka duniani.
Wewe unasemaje? Je, unakubaliana na Di María kuwa Messi ndiye GOAT, au unaamini Ronaldo anastahili heshima hiyo? Toa maoni yako. by @migombo_tz
0
4 hours ago
Download
Maxence Lacroix atafanyiwa vipimo vya afya leo kabla ya kujiunga na Chelsea kwa ada ya
£52m akitokea Crystal Palace. Maxence Lacroix atasaini mkataba hadi 2032. by @migombo_tz
0
5 hours ago
Download
Mahakama ya Usuluhisho ya Michezo imepanga Tarehe 08 mwezi Oktoba watafanya kikao cha kuamua nani Bingwa wa AFCON 2025.
Kikao hicho kitayakutanisha Mashirikisho yote mawali kutoka Mataifa ya Morocco na Senegal kisha kufanya mazungumzo na kufanya uamuzi sahihi nani anapaswa kubwa bingwa wa Afcon
Rufaa hii imepangwa kubatilisha Uamuzi wa CAF wa kuitangaza Morocco kuwa Mabingwa wa AFCON wakati Bingwa ni Senegal. by @migombo_tz
0
a day ago
Download
Manchester United wanatajwa kuongeza juhudi za kumsajili kiungo wa Real Madrid, Aurélien Tchouaméni, kwa ajili ya msimu ujao. Ripoti zinaeleza kuwa Real Madrid wako tayari kusikiliza ofa itakayokidhi mahitaji yao ya kifedha, ingawa hadi sasa hakuna makubaliano rasmi yaliyofikiwa.
Je, unaona Tchouaméni atakuwa usajili sahihi kwa
Manchester United? Tuambie maoni yako kwenye sehemu ya maoni.
15:08 by @migombo_tz
0
a day ago
Download
casemiro kuhusu kujiunga na inter miami
“Ninasubiri kwa hamu kushirikiana na Lionel Messi, ambaye ni mmoja wa wachezaji bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya soka.”
Kiungo huyo wa Brazil amesema anaamini kucheza pamoja na Messi ni fursa ya kipekee katika maisha yake ya soka. by @migombo_tz
0
a day ago
Download
Real Madrid sasa inataka kukamilisha usajili wa kiungo kutoka Manchester City Rodri.
Rodri yuko wazi anaitaka Real Madrid ili kukamilisha ndoto yake, Real Madrid sasa imepanga kuanza mazungumzo na Manchester City ili kufikia Makubaliano kamili mapema.
Elewa Man City wako tayari lakini wanataka ada ya
€100m. by @migombo_tz
0
2 days ago
Download
Orodha ya Klabu Zilizokusanya Alama nyingi tanbu Novemba 2022 Kwenye Premier League hadi kufikia mwaka 2025-2026. by @migombo_tz
0
2 days ago
Download
Timu sita tayari zimehakikishiwa kushiriki Fainali za
Kombe la Dunia la FIFA 2030.
Hispania, Morocco na Ureno zimefuzu moja kwa moja kama nchi wenyeji wa mashindano hayo, huku Argentina, Uruguay na Paraguay zikipewa nafasi ya kushiriki kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 100 tangu kufanyika kwa Kombe la Dunia la kwanza mwaka 1930.
Kwa hatua hiyo, safari ya kuelekea Kombe la Dunia la
FIFA 2030 imeanza rasmi. by @migombo_tz
0
3 days ago
Download
Liverpool sasa wako kwenye nafasi nzuri ya kumsajili winga wa Paris Saint Germain Bradley Barcola ambae amekuwa akiwindwa sana na Arsenal na vilabu vingine Ulaya.
Kocha mpya wa Liverpool FC Andoni Iraola amesema anamtaka Bradley Barcola au Ousmane Dembele kuboresha Winga yake.
PSG iko tayari kumuuza Bradley Barcola ila ada yake ni
£100m. by @migombo_tz
0
3 days ago
Download
Tottenham imethibitisha kukamilisha
Usajili wa beki Paul Van Heche kutoka Brighton kwa ada ya £52m. by @migombo_tz
0
3 days ago
Download
Wachezaji wengi wa Real Madrid wanataka ongozi wa Real Madrid kumsajili Kiungo
Rodri msimu uajao... by @migombo_tz
0
4 days ago
Download
Morgan Rogers amethibitisha kuwa Cole Palmer ndio mtu alivempigia Simu na kumuomba Ajiunge na
Chelsea msimu huu by @migombo_tz
0
4 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up