Instagram story viewer> @mipozojaz> Posts
1.7K
followers
198
following
🔥 🔥TOWN
#badomoto #motounawaka
POSTS STORIES REELS TAGGED
Maisha ni kipimo cha Akili, tegeua kitendawili mjini watu Wanajipata uzeeni 

Sio tunavunga inauma inapoa, Ata ukipiga ukunga hakuna wa kukuokoa, 

Kitaa kinatufunza Kukokotoa izi stress zinagonga kwenye kichwa .

Chini ya jua Akili vita kichwani kusuka au kunyoa kuwa white or Black 

Asante sana kwa mapokezi yenu ya wimbo wetu ingawa bado hujatoka soon siku chache 

SONG; FIRE TOWN
ARTIST; MIPOZO
#badomoto #firefire #mipozo #motounawaka #firetown by @mipozojaz
43
a day ago
Download
Verse: 2 Fire Town 

Naweza Sema Huu ni moja kati ya wimbo wangu pendwa katika list ya Nyimbo nazokwenda kuwaletea wa Tanzania wenzangu.

TRUE STORY: Nakumbuka siku naandika hii verse nilikua nimetoka kufukuzwa kazi katika sehem niliokua nafanya kupata kipato, cha kusangaza zaidi nakumbuka io siku kabla sijafukuzwa alikuja mzee mmoja nilipokua nafanya kazi hakuja kununua kitu bali aliniambia nje jua kali na kuna mtu anamsubiri anaomba akae kidogo, katika mazungumzo ya hapa na pale nakumbuka neno la mwisho aliniambia;
“kijana we bado mdogo sana usikae sehem moja utapoteza uwezo wako wa asili”
 gafla sim yake ikaita akaniaga n kuondoka nilibaki na maswali sana kichwani mwangu maana pia na ndo siku io naachishwa kazi nipokua nyumba ghetto chumba kimoja Afu Mwenyenyumba anataka kodi yake anapiga simu Kama 100, picha linaanza unajua mwenye nyumba wako akiwa anaitwa jina la SWAI mnisamee 🙏 , Dah hilijambo lilikua linasumbua sana akili yangu maana nilikua sina ata sumli akuna mtu sio ndugu wana ata mpenzi wa kukusaidia ata kimawazo tu najifungia ndani nikiongea na mimi lakini ugumu mambo Ukupa wazo Hapo ndo nikapata wazo la kuandika hii verse..

Karibu kusikiliza labda hii verse inamgusa mtu moja 

FIRE🔥 FIRE🔥 EEH
#badomoto #motounawaka #mipozo #mipozomusic by @mipozojaz
42
4 days ago
Download
FIRE 🔥TOWN 
#badomoto #motounawaka #firefire #firetown

🎥: @jaden6d 
👕👖: @a6_boy_famous by @mipozojaz
50
6 days ago
Download
NEW CHAPTER : 

Wakati mwengine Mazingira ya Maisha tunayokutana nayo tunajikuta tunajiingiza mahara tusipopatarajia..

Mi naitwa ”Mipozo” ni msanii wa kizazi hiki kipya karibu kwenye Safari yangu ya BURUDANI ya Mziki mpya Maskioni mwako 

Ninapatika kwenye social media/platform zote 

FIRE🔥FIRE🔥TOWN 
#badomoto #motounawaka #badomoto #firefire by @mipozojaz
36
7 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up