Instagram story viewer> @mo_shine__> Posts
19
followers
133
following
God First | Entrepreneur
Building Brands. Creating Impact.
Dream Big • Work Smart • Stay Humble
Founder @shine_graphics | @shine_furniture_decor
POSTS STORIES REELS TAGGED
Ili ufanikiwe, kwanza penda unachofanya. Usiiweke pesa mbele; weka upendo, bidii, uvumilivu na ubora. Pesa itafuata baada ya thamani unayoiweka kwenye kazi yako. Mafanikio ni safari, si jambo la siku moja. 💯🔥
.
Kwa Huduma Za Printing pamoja na Decor👇🏾
@shine_furniture_decor 
@shine_graphics by @mo_shine__
0
2 months ago
Download
Fanya kazi kwa bidii na kujituma, hata kama matokeo hayaji haraka. Kila juhudi ina thamani yake, na siku moja utavuna matokeo ya kazi yako. Hakuna bidii ya kweli inayopotea,.

Kwa Huduma Za Printing pamoja na Decor👇🏾
@shine_furniture_decor 
@shine_graphics by @mo_shine__
0
2 months ago
Download
Biashara nyingi hufa kwa kuiga wengine bila kujua siri ya mafanikio yao. Kuona mtu anapata pesa hakumaanishi biashara hiyo itakufaa. Jifunze, tafuta njia yako na jenga biashara yako kwa uelewa, si kwa kuiga. 💯🔥
.
Kwa Huduma Za Printing pamoja na Decor👇🏾
@shine_furniture_decor 
@shine_graphics by @mo_shine__
0
2 months ago
Download
Spend your time building your future and chasing success, not talking about other people’s lives. Work hard, stay focused, stay patient—and let your success speak for you. by @mo_shine__
0
a month ago
Download
Ili ufike mbali zaidi, kimbia na wenye mbio. 🏃‍♂️🔥

Wazunguke watu wenye malengo, bidii, nidhamu na kiu ya mafanikio. Mazingira unayoishi na watu unaoshirikiana nao yanaweza kukujenga au kukurudisha nyuma. Chagua watu wanaokupa hamasa ya kuwa bora zaidi kila siku.
.
Kwa Huduma Za Printing pamoja na Decor👇🏾
@shine_furniture_decor 
@shine_graphics by @mo_shine__
0
2 months ago
Download
Usimsaidie rafiki kwa kumkabidhi biashara bila maandalizi. Wakati mwingine unachodhani ni kumuinua, kinaweza kukushusha wewe pia. Msaidie kwa kumjengea uwezo, lakini usiweke biashara yako rehani kwa sababu ya urafiki.
.
Kwa Huduma Za Printing pamoja na Decor👇🏾
@shine_furniture_decor 
@shine_graphics by @mo_shine__
0
2 months ago
Download
Usimshirikishe kila mtu malengo yako. Watu hawafikiri sawa; wengine wanaweza kukukatisha tamaa, kukubeza au kukufanya uamini huwezi. Wakati mwingine ni bora kunyamaza, kufanya kazi kwa bidii na kuyaacha matokeo yazungumze kwa niaba yako.

Kwa Huduma Za Printing pamoja na Decor👇🏾
@shine_furniture_decor 
@shine_graphics by @mo_shine__
0
2 months ago
Download
Ukipenda mafanikio, penda na kazi inayokufikisha kwenye hayo mafanikio. Usitamani gari zuri, nyumba nzuri na maisha mazuri bila kuwa tayari kulipa gharama yake kwa bidii, muda na kujituma. Kila unachokitamani kina bei yake—na bei ya mafanikio ni kazi, nidhamu na uvumilivu. 

Kwa Huduma Za Printing pamoja na Decor👇🏾
@shine_furniture_decor 
@shine_graphics by @mo_shine__
0
2 months ago
Download
Pesa sio kila kitu kwenye biashara. Unaweza kuwa na mtaji mkubwa, lakini bila msingi mzuri, unaweza kuupoteza wote. Kwanza jenga maarifa, mpango, nidhamu na mfumo wa biashara—mtaji utafuata. 

Kwa Huduma Za Printing pamoja na Decor👇🏾
@shine_furniture_decor 
@shine_graphics by @mo_shine__
0
2 months ago
Download
Usidanganywe na mafanikio ya wengine. Mafanikio hayaji kwa uchawi wala njia za haramu; nyuma ya kile unachokiona kuna kazi, kujituma, uvumilivu na kujenga misingi kwa muda mrefu. Usione matokeo tu, tafuta kujua safari iliyowafikisha hapo. 

Kwa Huduma Za Printing pamoja na Decor👇🏾
@shine_furniture_decor 
@shine_graphics by @mo_shine__
0
2 months ago
Download
Mkumbatie na kumthamini mtu anayesimama pamoja na wewe kwenye maisha. Si kila anayekuja wakati wa mafanikio atabaki wakati wa changamoto. Yule anayekuunga mkono, kukuamini na kusimama na wewe wakati mambo ni magumu, huyo ni mtu wa thamani—mlinde, mheshimu na usimchukulie poa. 

Kwa Huduma Za Printing pamoja na Decor👇🏾
@shine_furniture_decor 
@shine_graphics
.
@kiladesigns by @mo_shine__
0
2 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up