Instagram story viewer> @morocontent> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Wanawake mmefikiwa 😂🤣 taken in Morogoro, Tanzania by @morocontent
5
3 years ago
Download
Hwa unao waina hapo ni Watoto wa Kiume🤬

Muhimu cha kukumbusha wazazi ni kutokuacha kufuatilia Maendeleo na mienendo ya watoto Mashuleni🙏 Lasivyo tutafikia pabaya sana kama wenzetu walivyo avza hap💔😰😭 by @morocontent
9
2 years ago
Download
🔥 Harry Kane amemkubali Lionel Messi!
Baada ya England kuondolewa na Argentina kwa mabao 2–1, Harry Kane hakutafuta visingizio. Badala yake alimpongeza Lionel Messi kwa kiwango chake cha juu, akisema kuwa bado anaendelea kung’ara akiwa na umri wa miaka 39 na ni mfano wa kuigwa kwa wachezaji wanaotaka kudumu kwenye kiwango cha juu.

Lakini mchezo haukuisha kwa utulivu! Baada ya filimbi ya mwisho, kulizuka vurugu na mabishano kati ya wachezaji wa England na Argentina, huku Jude Bellingham akihusika kwenye mzozo na Valentín Barco.

Je, unaamini Messi bado ndiye mchezaji bora duniani, au ni wakati wa kizazi kipya kuchukua nafasi yake? 👇⚽

#Argentina #England #Messi #HarryKane #Bellingham WorldCup2026 Football by @morocontent
0
10 days ago
Download
Watu wataikumbuka Hat-Trick ya Messi… lakini usiku huu Luca Zidane hatausahau maisha yake yote. 💔
Mechi ya kwanza kubwa mbele ya dunia nzima, baba yake Zinedine Zidane akiwa jukwaani akimtazama… halafu Messi akaonyesha kwa nini bado ni mfalme wa soka. ⚽👑

Na leo mashabiki wa Ronaldo mko kimya kimya WhatsApp kuangalia status tu bila ku-comment. 😂🐐

Soka linafuraha yake, lakini pia lina maumivu yake. by @morocontent
0
a month ago
Download
Somo la leo ni kwamba ukiona mambo yanachelewa kutimia, usikate tamaa. Mkasa wa @wemasepetu  umetukumbusha kuwa muda wa Mungu si muda wa binadamu. Miaka zaidi ya 10 ya kusubiri, lakini mwisho wa siku furaha imefika.
Wengine tulishaanza kufikiri labda mtoto alikuwa anatafuta anwani sahihi ya kufika! 😄 Lakini leo tunajifunza kuwa hakuna mganga, shekhe, padre wala mbinu za ajabu zinazoweza kuzidi uwezo wa #Mungu. Bila Mungu sisi si chochote, na kile alichopanga hakikosei njia.
Hongera za dhati kwa @whozu_ na mpenzi wake kwa zawadi ya mtoto. Hakika watoto ni baraka, na furaha ya mzazi ni jambo la thamani sana. Mungu azidi kuwabariki na kumlinda mtoto

NB #ripmanunu😭 by @morocontent
0
a month ago
Download
Kwa sasa wasanii wanaotokea Morogoro wanapaswa kufahamu combination ya @negoletmedo na @medybotion ni moto sana 🔥 haijawahi kutokea nyimbo zaidi ya 3 na zote kali👏 hongera sana kwenu wakubwa. Na kwa upande wa Rap, @medybotion na @fredrickmulla wako level nyingine. 

Sio kwa ubaya, ndivyo ilivyo. 🫡 taken in Morogoro, Tanzania by @morocontent
1
a month ago
Download
Watoto waMorogoro wanazidi kuwa gumzo mitaani 🚀
Kwa sasa @sinajinam anaendelea kuthibitisha kuwa kipaji + juhudi = Matokeo makubwa 💯 na sasa wamempa
A.K.A “50 Cent wa Singeli” 🎤🔥 Namna anavyopanda kwenye midundo, energy yake jukwaani, na mwitikio wa mashabiki… ni wazi kabisa hii ni next big thing!
Hongera respect kwa @samakispotmorogoro #NyumbaniPark kwa kusimama na wasanii na kutoa platform halisi ya kukuza vipaji 👏
Na hongera pia kwa kutoka kwa wadau mbalimbali kama mashabiki na wote wanaowekeza kwenye haya 🙌

Hii ni safari, na bado tunaona mwanzo tu @ndototoreality 
Morogoro stand up! Singeli to the world 🌍🔥 by @morocontent
10
4 months ago
Download
UJUMBE KWA MEDIA ZA MOROGORO–KWA UPENDO NA UJENZI🤍
Ni muhimu sana media za Morogoro kuendelea kui-support sanaa ya nyumbani kwa upana wake: wasanii wa muziki, dancers, wachekeshaji, wanamichezo na vipaji vingine.
Kwa muda mrefu,media zetu zimeonekana kuelekeza nguvu zaidi kwa wasanii wa kwenye miji iliyoendelea kama #DaresSalaam na kwingineko. Ukweli ni kwamba huko tayari kuna media nyingi zinazopost habari zao kila siku na kwa kasi.

Hali hii inasababisha hata watu wa #morogoro kuona hakuna utofauti wa kufuatilia media za kwao, kwa sababu wanachosikia ni kilekile kinachopatikana kwenye radio na online media za nje ya mkoa.

Sikatai umuhimu wa kuzungumzia yaliyopo nje, lakini kipaumbele cha kwanza kinapaswa kuwa cha nyumbani ili kujenga Imani, uthamani na uhalisia wa media zetu.

Kwa mfano, @suafmtz ilikuwa ikifanya vizuri sana kipindi cha @adamclassic_ —nguvu ilikuwa tofauti.
Abood FM wanajitahidi sana, lakini bado tunahitaji msukumo wa ziada. Mtangazaji Abekidunda anapambana sana kui-push sanaa ya Morogoro, hata nje ya ofisi—hilo linastahili pongezi kubwa 🔥
@dizzimfm mlianza kwa kasi nzuri sana kwenye hili; bado tungependa kuona mwendelezo wake.
Kwa upande wa @smartgin_tz @aminaya_tz @neemakasote na cleff mmechangamsha sana mji kupitia mashindano na shows mbalimbali. Tukio la Mamiss mwaka jan lilitoa performances kali za wasanii wetu kama @negoletmedo @kidevuamina na wengine wengi—hongereni sana 👏🏽Kwa @planetfmtz FM, pengo la @sulemreno_tz bado linaonekana, lakini jitihada za @nazzer_15 zinaonekana—endelea kupambana kaka, usichoke. Mimi binafsi niliona interview yako na @medybotion kuhusu album yake; album ambayo imezungumzwa na wasanii wakubwa, imefanyiwa reaction na radio za nje ya Morogoro hadi online media za nje ya Tanzania—lakini nyumbani kimya🥹Jana ilikuwa birthday ya msanii @officialduzu na pia siku ya kumbukumbu ya album yake aliyotoa mwaka jana 2025. Ame-post mafanikio na mapokezi makubwa ya kazi yake—lakini hakuna media ya nyumbani iliyochukulia haya kama content, ilhali haya yote ni habari zetu😡
Lengo la ujumbe huu sio kushambulia, bali kuamsha fikra. Kama kila mmoja wetu analengo la kukua, basi ni lazima tupeane support kwa nguvu zote.🙏 by @morocontent
22
5 months ago
Download
@swax_grapher akipiga picha mpaka unaweza sema ni #AI 🤣📸 Morogoro, hii ni talent halisi haboi💥
Hongera sana kwa kazi kubwa unayoifanya, 👏📸
@swax_grapher ni moja ya wapiga picha wanaofanya poa sana Morogoro sasa, Ana-capture matukio halisi, vibes za usiku, na moments zenye uhai hasa kwenye sehemu za usiku mfano @samakispotmorogoro 
Kazi safi na nzuri🔥
Tunaendelea kusupport vipaji— Ndot zinaishi 💪 by @morocontent
1
5 months ago
Download
Kumuamsha mdada wa kazi saa 11 alfajiri na kuwaacha binti zako wamelala Ni kumuandaa binti wa kazi kuwa mke Bora kuliko wanao. 

Eti kumtumikisha dada wa kazi apige deki, apike, afue nguo, aoshe vyombo wakati wanao wanaangalia TV. Ni kumuandaa mdada wa kazi  kuwa mwanamke anayewajibika kuliko wanao.

Kumuacha binti wa kazi aandae watoto kwenda shule, awaandalie uji mapema, awalishe, awasafishe wakati wanao wanacheza gemu kwenye simu au computer Ni kumuandaa binti wa kazi kuwa mama na mlezi bora kwa watoto kuliko wanao.

Kumuacha dada wakazi awafulie watoto nguo mpaka wapo sekondari ukijua kwamba wewe  unawapenda jua unaandaa mke bom kwenye nyumba yake mwenyewe 

Na kwakuwa yote hayo unayafanya kwa masimango na manyanyaso unamfanya mdada wa kazi kuwa jasiri mwenye kuzikabiri changamoto za ndoa yake kuliko wanao.

Ukimaliza kwa kusema mwanao akiwa hajui hayo yote, ndoa ikiharibika mnazunguka kutafuta maombi kwa wachungaji kumbe ninyi mmeharibu ndoa za watoto wenu.

Msiwasumbue Wachungaji wala Mashekhe by @morocontent
0
7 months ago
Download
Kutana na bwana mdogo Bernardo Lopes, mchezaji mpya wa akademi ya Botafogo huko Brazil.

Bernardo alipokuwa na umri wa mwaka 1 tu, alikutana na janga kubwa sana,akiwa jikoni kwao  kwani  sufuria ya maji ya moto ilimwagika usoni mwake 😔 na kumuunguza vibaya.

 Kuishi kwake ilikuwa  ni kama muujiza na alikaa hospitali kwa kipindi cha miezi 7 akipambana na maumivu ambayo mtoto kwa mdogo hakupaswa kuyapitia kabisa 

Lakini badala ya kukubaliana na yote  Bernardo aliamua kupigania ndoto yake ambayo ni kucheza mpira wa miguu na miezi michache iliyopita baada ya miaka kadhaa kupita hatimae  alicheza kwenye mashindano mbele ya maskauti kibao na hatimae uwezo wake uliwavutia wengi kiasi kwamba klabu Botafongo ilivutiwa nae na wakamsajili kwenye timu yao ya vijana.

✍️Kutoka kitandani hospitalini akiwa mtoto hadi kufuata ndoto yake uwanjani, safari ya Bernardo ni msukumo wa kweli!!

Best wishes Bernardo Lopes,💪

✍️ @georgeambangile by @morocontent
0
10 months ago
Download
Nimeshindwa kucheka peke yangu🤣 by @morocontent
4
10 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up