Instagram story viewer> @mosesluka_> Posts
60.2K
followers
245
following
One day it will make sense
#Authenticgospel Isaiah 41:10
Moses Luka ep out ๐Ÿ‘‡
POSTS STORIES REELS TAGGED
DUNIA SIO SEHEMU SALAMA HUJUI NANI NI NANI NA NANI ANATAKA NINI ๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน

Track number 5 ft @melanie__anthony #moseslukaep Out everywhere

๐Ÿ‘•: @iamadry7 by @mosesluka_
384
6 months ago
Download
MOSES LUKA EP is out now๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐ŸŽต

Nashukuru kila mmoja aliyeweka nguvu, maombi na muda wake kufanikisha hili, sio kitu kidogo kabisa tarehe 15/04 ni siku iliyoandikwa kwenye historia ya maisha yangu MOSES LUKA EP yangu ya kwanza katika maisha yangu ya huduma na muziki.

My special thanks to @donpyuza my executive producer and my boss together with @ospofamily & @empire.africa team for working hand in hand with me to make this dream come true.

All of my producers @mationbeats @mecklion4 @itsalkeys thank you for giving my sound life your creativities carry a piece of this journey.

To my family brother @joellwaga , mama yangu @msritapaulsen @ecejay and @bongostarsearch team asante kwa kunifungulia njia kisha familia yangu kabisa @melanie__anthony , @bayo_altar , @mosses.jm , @iamadry7 

Mungu awabariki kwa sadaka yenu iliyokuu ๐Ÿ™๐Ÿฝ

This is just the beginning, zaidi nikuombe wewe unayesoma post hii kuendelea kusikiliza EP yangu andika tu MOSES LUKA inapatikana kwenye digital platforms zote link kwenye bio yangu kama utapata changamoto kuipata nitumie message tu au comment hapa chini utapata msaada wa link ya kusikiliza

Blessings๐Ÿ™๐Ÿฝ by @mosesluka_
39
6 months ago
Download
โ€œNimekuwa nikiandaa hii ep kwa muda mrefuโ€ฆ na leo itโ€™s yours guys ๐Ÿ”ฅ
EP yangu Moses Luka sasa ipo kila mahali!
Naamini itawabariki ilivyo nibariki pindi natengeza โ€ฆ

Pia nina furaha kubwa kushare kwamba nimechaguliwa kuwa msanii wa Apple Music Up Next East Africa ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Iโ€™m  honoured kuwa sehemu ya vipaji bora vinavyoibuka afrika mashariki 

Nendeni mkacheki playlist ya #UpNextโ€”msikose hii moment!
Sikiliza sasa: apple.co/UpNext-Playlistโ€ by @mosesluka_
35
6 months ago
Download
Happy Sunday Family โœ๏ธ

#yesuhajasafiri @obbyalpha by @mosesluka_
26
8 hours ago
Download
Familia yangu, nina imani kwamba wote tupo salama kwa huruma za Mungu. โค๏ธ๐Ÿ™๐Ÿฝ

Leo nina furaha na faraja kubwa moyoni mwangu ninapohitimisha darasa langu la Bible College, ambalo limekuwa baraka kubwa sana kwangu. Nimekuwa nikijifunza kwa siku 40 mfululizo, na katika kipindi hiki, Mungu amejidhihirisha sana katika maisha yangu. ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ

Hili ni darasa lililobeba mafunuo ya mbinguni.
Ni darasa lililobeba majibu ya maswali yetu.
Ni darasa lililobeba mabadiliko ya maisha!

Haijalishi unajiona hufai kiasi gani, au unapitia tatizo gumu kiasi gani, njoo umjaribu Mungu kupitia darasa hili. Ninaamini utanishukuru baadaye! โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ

Hivyo basi, ninawaletea hamasa nyote msikose fursa hii 
ya kulisoma na kujifunza Neno la Mungu.

Itaanza tareh 11 January 2027 โ€ฆ 

๐Ÿ“ Linapatikana @livingwaterchurch_tz  Kawe.

Karibuni nyote! Nawapenda sana. โค๏ธ๐Ÿ™๐Ÿฝ by @mosesluka_
42
21 hours ago
Download
โœ๏ธ Mathayo 5:8 โ™พ๏ธ by @mosesluka_
11
7 days ago
Download
Happy birthday mtu wa Mungu @diamondplatnumz by @mosesluka_
105
16 days ago
Download
Baba Sikia Dua Yetu #nikumbuke ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ˜”

@joellwaga x @diamondplatnumz ๐ŸŽต๐Ÿซก๐Ÿ”ฅ

@radee_juice ๐Ÿฅค๐Ÿ˜‹

#nikumbuke #tanzania #kenya #spiritofjoy๐Ÿคฉ by @mosesluka_
20
17 days ago
Download
Kuna muda tu wote kwenye maisha we feel like this ,
Mungu atu kumbuke โ€ฆ. by @mosesluka_
351
17 days ago
Download
Ilikuwa heshima kubwa sana kukutana na mama huyu ambaye amekuwa akini inspire tangu nikiwa mdogo. ๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿ˜ญ @marthamwaipaja_ 

Sema kaka @ministerpaulclement  ulini haribia video ๐Ÿ˜๐Ÿ’” by @mosesluka_
267
20 days ago
Download
Nikumbuke dinner ๐Ÿ•Š๏ธโ™พ๏ธ

#nikumbuke by @mosesluka_
24
21 days ago
Download
Baba Nakungoja ๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน

@diamondplatnumz @joellwaga by @mosesluka_
47
24 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up