Instagram story viewer> @mozannah_> Posts
45.4K
followers
478
following
Mozah benbela🌸
Food bloger🥪🥗
🏡Homemade recipes
Founder @thehomemade_foodproducts
DM for collaborations & brand partnerships ✨
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Assalam alaykumm guyyyss... Leo tupike pepper steak / Beef stir fry😍 Tamu na rahisi . Mahitaji yetu ni 
-Paper steak 1 kg (unaweza ukatumia fillet) 
-Beef seasoning (Nimetumia onga beef) kijiko 1 tbspn 
-Corn flour 1 tbspb
-Soy sauce 2 tbspn 
-Garlic paste @thehomemade_foodproducts 
-Black paper kidogo
Utamix na utaweka pembeni kidogo ili viungo vijichanganye vizuri, Usiweke chumvi😁
Utaanza kuandaa veg zako, Nimetumia vitunguu maji na pilipili hoho , Unaweza ukamix hoho za kijani na nyekundu hata njano ila kama huna hata kijani zinatosha😍nimeweka na pilipili 1.
Utakaanga nyama yako mpaka uone imekaukia vizuri utaweka pembeni. Utaweka mafuta kiasi utaweka garlic & ginger utakaanga na baada ya hapo utaweka veg zako usikaange sana utaweka ile nyama😍
Utachukua kikopo pembeni utaweka 
-Soy sauce ukiwa na oyster sauce unaweza ukaweka pia kidogo 
-Corn flour 1 tbspn
-Ndim au limao kipande 
-Sukari / Asali kidogo nlisahau kuonesha hapo kwenye video . Utamix vizuri na maji kiasi. 
Mwisho utamix kwenye nyama na ukoroge kiasi na nyama yako itakuwa tayari😍😍😍
#viral #creatorsearchinsights #cooking by @mozannah_
12
11 hours ago
Download
Assalam alaykum guyyss... Haya nimeona nisiwacheleweshee video ya sauce 😂mahitaji yetu ni-
-Maziwa nusu lita
-Maji kikombe 1 na nusu (Utaweka kikombe 1 kwanza na nusu utaweka mbele)
-Cocoa Vijiko 2 nimeweka kijiko 1 primo na kijiko 1 dark cocoa  sio lazma kama hauna 
-Diary milk hyo pakt 1 na nusu
-Corn flour kijiko 1 na nusu tbspn
-Sukari vijiko 3 tbspn 
-Condensd milk nimetumia kama robo kopo hivi😁
-Vanilla
-Prestige kijiko 1 tbspn
Utaweka maziwa jikoni pamoja na maji kikombe 1 yakianza kupata moto weka condensd milk. Ukiona imechemka utachukua maji nusu kikombe na umix cocoa pamoja na corn flour uendelee na hatua nyingine kama hapo katika video. Utakoroga mpaka uone uzito umekuwa sawa utaacha ipoe 😍😍Bye guyyysss
#viral #creatorsearchinsights #cooking by @mozannah_
41
2 days ago
Download
Assalam alaykum guyyyss.. Haya leo tupike chocolate cake tamu na rahisi. Mahitaji yetu ni
-Unga kikombe 1 na nusu
-Nusu kikombe cocoa 
-Sukari kikombe 1
-Prestige nusu kikombe 
-Mayai 4 
-Chumvi kidogo
-Maziwa nusu kikombe 
-Baking powder vijiko 2 teaspn
-Baking soda 1 teaspn (ila mi sikuweka iliniishia) so nikaweka 3 teaspn baking powder 
-kahawa kidogo tu (Sio lazima) 
Utafanya hatua zote kama katika video hapo , na utabake moto 180 mpaka cake itakapokuwa tayari🩷😍Next video tawawekea hiyo rojo ya chocolate inshaAllah 💃🩷
#viral #creatorsearchinsights #cooking #food by @mozannah_
19
2 days ago
Download
Assalam alaykum guyyss😍Leo breakfast nimefanya puri za baking powder rahisi na tamu sana.. Sie wanyamwezi hapo tukipata asali tumemaliza kazi😍Mahitaji yetu ni 
-Unga wa ngano 3 cups
-Maziwa ya unga 3 tbspn
-Mafuta 3 tbspn 
-Chumvi 1 teaspn
-Sukari kidogo (Nlisahau kuonesha hapo) 
-Baking powder 2 teaspn
-Maji vugu vugu 1 1/2 cup 
Utakanda unga wako kisha utakata madonge kama hapo mi nimetoa 6 , utaskuma kama chapati ukate mara nne. 
Mafuta yakichemka utaanza kuweka moja moja usijaze kwenye karai mi nimepika mawili mawili tu😍 Na raha ule hapo hapo yamoto. Yakipoa hayawi fluffy kama hvo🩷
We ungependa kula na nini??? 

#viral #creatorsearchinsights #cooking by @mozannah_
29
4 days ago
Download
😍😍😍Uff mashallah,, original non-Stick from @brinaxtanzania @brinaxkenya 
#viral #creatorsearchinsights by @mozannah_
22
4 days ago
Download
Spanish iced latte😍🩷
#coffee #icedlatté #creatorsearchinsights #viral by @mozannah_
10
5 days ago
Download
Assalam alaykum guyyysss.. Haya leo tupike cinnamon rolls tamu , sofffttt yani sina lakusema mashaAllah😍Mahitaji yetu nu
-Unga 4 cups
-Sukari 3 tbspn 
-Chumvi 1 teaspn
-Hamira 1 1/2 tbspn au ile pakt 1
-Prestige / Blueband 3 tbspn utaipasha 
-Vanila 
-Yai 1 
-Maziwa 1 1/2 cup
Utaweka maziwa kikombe 1 , yai, sukari, hamira na vanila kwenye bakuli mi nimetumia hiyo vanila original. Utakoroga kisha utaweka unga wako na utaongeza maziwa kidogo mpaka uone unga wako umekuwa kama wangu hapo😍
Uache uumuke , utaanza kuandaa sasa cinnamon mix. Utaweka abdalasin kiasi unachopenda, sukari na cocoa kidogo ukipenda. 
Utaskuma unga wako mi nilikata pembeni ili nipate shape nzuri, unaweza unga ukaugawa mara mbili ukiwa unataka cinnamon rolls ndogo ndogo. Mi leo nlitamani hizi kubwa🤪😍
Utapaka blueband au prestige na utamwagia mix yako. 
Ukishakunja acha tena kama 5-10 mnts
Utabake moto 200 kwa dk 15-20 . 
Na hatua ya mwisho utaandaa topping yako, leo mie nimefanya topping ya cheesecream
-Creamcheese nusu kikombe
-Vijiko 3 icing sugar
-Vijiko 3 whipping cream
-Maziwa robo kikombe 
-Vanila
Zikipoa cinnamon rolls zako, Utaweka topping na utaenjooyyy😍😍😍
Msiache kujaribu yani nzuri sanaaa😍😍😍
#cinnamonrolls #viral #creatorsearchinsights #cooking #viralinstagramreelsvideo♥️ by @mozannah_
46
8 days ago
Download
Assalam alaykum guyyysss😍😍🩷Leo nimewaletea kitu kizuri sanaa.. Angalia video yote😍
“Jamani, kama unapenda juice za fresh nyumbani, hii mashine hapa inaweza kukurahisishia sana maisha! 😍

Hii ni Brinax Powercrush High Performance Juicer, na kitu kizuri zaidi ni kwamba ni 4-in-1. Yaani unapata matumizi manne tofauti kwenye mashine moja....Sijui nilichelewa vipi kuijuwa uwi😍😂
Kwanza kabisa, ina uwezo mkubwa wa kusaga na kutengeneza juice vizuri kabisa, na motor yake ni high performance, kwa hiyo inafanya kazi kwa nguvu na kwa haraka.

Na kwa sababu ni 4-in-1, unaweza kuitumia kwa kazi tofauti tofauti za jikoni, badala ya kuwa na mashine nyingi kila sehemu.

Kwa mtu anayependa kupika, kutengeneza juice, smoothies na vitu vingine vya nyumbani, hii ni moja ya zile appliances ambazo ukiwa nazo jikoni zinakufanyia kazi nyingi.💃💃

#brinaxtanzania 
#creatorsearchinsights #viral by @mozannah_
23
9 days ago
Download
Assalam alaykum guyyyss... Sio kila siku mle sato au jodari🤪Siku moja moja unapiga kambale💃💃💃
Mi leo nilitamani samaki wa aina hii yani wa kukausha nipike wa nazi😁nikakosa kibambala ikabidi nichukue kambale 💃Uwi ni mtamu sanaaa yani sanaaa... steki kama zote😂
sema leo ni walaini sana ningempika zaidi ya hapo nisingepata kitu😂Angetepeta woteeeee 
Bye guyyyssss enjooyyy 🩷 by @mozannah_
41
13 days ago
Download
Assalam alaykum guyyyss... Haya leo tupike chicken pockets Nzuri sana . Mahitaji yetu ni 
-Unga 1kg 
-Hamira 1 1/2 tbspn 
-Maziwa ya unga 3 tbspn
-Baking powder 1 teaspn
-chumvi 1 teaspn
-Sukari 1 tbspn
-Mafuta 4 tbspn , Utaweka 3 tbspn mwanzo na mwisho utaweka 1 tbspn
-Maji 3 cups (angalia unga wako uwe kama wa chapati usiwe mlaini sana wala mgumu) kama wangu hapo🤪
Utakanda unga na uache uumuke. Utaanza kuandaa nyama yako
-Vidali 4 , utachemsha na garlic, chumvi, limao, chicken masala. 
-Vitunguu maji 4
-Karot 1 kubwa
-Hoho 2 
-mafuta kidogo 
Ukishaipika nyama yako utaacha ipoe na uandae sauce. 
Mayonnise 1 cup, ketchup na pilipili yoyote unayopenda utaweka na vinegar kidogo. 
Unga wako ukishaumuka utaskuma kama mandazi na ukate round kama hapo. Kisha utapika mikate yako kwenye grill.. Mi nimetumia hii sandwich maker set kutoka kwa @sherry_homeware unapata hii grill , waffles, na sandwich maker. 😍
Na hatua zote fanya kama hapo katika video utapata matokeo mazuri🩷Bye guyyyss
#viral #creatorsearchinsights #food by @mozannah_
58
15 days ago
Download
Assalam alaykum guyyyss. Baada ya miaka 4 kukaa na chopper yangu, Imeshafika mwisho😂Leo nime unbox kitu kipya💃💃💃Kutoka kwa @sherry_homeware 
Haya Leo tupike vitumbua vya kuku vitamu na rahisi.. mahitaji yetu ni
-Nimetumia vidali 4 (chicken breast) 
-Karot 1, Hoho 2, Vitunguu maji 3 
-Mayai 10
-Baking powder 1 tbspn 
-Spices nimeweka hizo katika video ila unaweza kuweka unazotaka wewe
-Chumvi & Ndim. Mi nilikuwa sina limao au ndim nikaweka vinegar vifuniko 2
Nimeanza kuchemsha kuku , nimeweka greenpaste , Chumvi na chicken masala. Ikishawiva iache ipoe na uendelee na hatua nyingine😍
Utasaga veg zako katika chopper, kisha utasaga kuku. Utapunguza kuku nusu na veg nusu. Nyingine weka kwenye chopper na mayai usage tena. Na umix tena na vile ulivyoweka pembeni.
Baada ya hapo tena ukishamix utachukua nusu ya mchanganyiko usage tena kwenye chopper na mwisho kabisa utaweka baking powder.. Tayari kwa kupika... 
Bye guyyysss🩷
#viral #creatorsearchinsights #food by @mozannah_
16
18 days ago
Download
Assalam alaykum guyyyss, Leo tupike kuku mkalai😍Tamu na rahisi . Mahitaji yetu ni
-Kuku 
-Vitunguu vyakutosha
-greenpaste au garlic paste yoyote mi nimetumia greenpaste kutoka kwetu @thehomemade_foodproducts 
-Ukwaju 
-Chicken masala, blackpaper na corriander powder 
-Chumvi 
-Soy sauce 
-Hoho . 
Utafanya hatua zote kama nlivofanya hapo😍bye guyyyss🩷👋 by @mozannah_
38
20 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up