Instagram story viewer> @mr_mangapi> Posts
37.2K
followers
3602
following
+255 |πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Theologian
I am Goal, Oriented πŸ“ˆ
Mwalimu wa Maisha Halisi πŸ–ŠοΈ
Relationship Coach || Book Author πŸ“š
Personal Development Trainer & Mentor 🎀
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
TABIA HIZI TANO(5) HAZIFAI KABISA KATIKA MAHUSIANO 

1. Lengo la Kupokea Tu, Bila kuwaza na yeye Anatoa nini.....
2. Anayekufananisha na Wengine kila Wakati.....
3. Asiyependa Kurekebisha Vitu Vidogo Vidogo.....
4. Asiyependa Maono Yako au Asiyependa Unachokifanya....
5. Anayesimulia Watu Madhaifu yako.......
__________________________________________________________
THIS IS KINGDOM PLATE "Ufalme Uko Hapa πŸͺ„ by @mr_mangapi
101
3 months ago
Download
Tulia Kwa Makini, Sikiliza kwa Makini, Tafakari Kwa Makini Utaelewa "Note - Ondoa Hisia" 
_________________________________________________
THIS IS KINGDOM PLATE "Ufalme Uko Hapa....✍️ by @mr_mangapi
843
3 months ago
Download
Hii ni Tafiti ya Kweli kisayansi na Kisaikolojia, Kwahiyo Chukua hii kama Darasa wewe na Mwenza wako.
__________________________

KINGDOM PLATE/ Ufalme Uko Hapa.....✍️ by @mr_mangapi
692
3 months ago
Download
PROPHET UEBERT ANGEL @uebertangel Has set himself apart in the wilderness for a period of time with no fixed limit, following the instructions he received from Almighty God......

"You can join him in prayer for the manifestation of God’s power"
_________________________________________________________

Nabii Uebert angel, amejitenga peke yake porini kwa muda ambao hauna kipimo, kwa maelekezo aliyoyapata kutoka kwa mwenyezi Mungu. Unaweza kuungana naye katika maombi ya udhihirisho wa Nguvu za Mungu......

@spiritembassylondon @spiritembassytanzania by @mr_mangapi
2
5 hours ago
Download
KAZI NI SEHEMU YA UFALME WA MUNGU/ AISE HII NIMEIRUDIA ZAIDI YA MARA 5 NIKABEBA MAMBO MATATU.

1. Maisha Ni Kazi
2. Uungu Ni Kazi
3. Ufalme Ni Kazi

This is From Mwl. @onesmoprosperity @mbingu_duniani_radio by @mr_mangapi
41
a day ago
Download
Sio lazima sana upambane kwa kutumia kinywa, Wakati mwingine pambana kwa kutumia matokeo (Results) βœ“ by @mr_mangapi
15
a day ago
Download
PONA KWANZA.......πŸ’« by @mr_mangapi
5
2 days ago
Download
Hutakiwi kabisa Kukosa, Kwa Wakazi wa Dar Es Salaam na Viunga Vyake...........

TWIN BROTHERS Mwl @onesmoprosperity  na Pastor Ndewa Anaely. by @mr_mangapi
0
2 days ago
Download
UPONYAJI WA MWANAUME NI "AKILI" 
Chukua Hii dawa kutoka kwa Mwl @onesmoprosperity Kipo kitu Utajifunza πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ by @mr_mangapi
16
3 days ago
Download
MAFANIKIO SIO SURPRISE.......✍️ by @mr_mangapi
17
4 days ago
Download
CHUKUA HILI SOMO KIDOGO........
Ndani ya Zile siku saba zote ambazo zimepewa Majina tofauti tofauti, kila jina la siku fulani linasimama badala ya Mungu fulani.

TAZAMA HAPA CHINI:

JUMA-TATU. Siku ya Mungu " SELENE" 
Mungu wa Kike wa Mwezi au Mungu Mwezi πŸŒ™ Huyu Mungu huhusishwa na siku, Mwezi na mizunguko ya Asili.

JUMA-NNE. Siku ya Mungu "ARES" Hii ni siku ya Mungu wa Vita, Ujasiri na Nguvu za Kijeshi. 

JUMA-TANO. Siku ya Mungu "HERMES" Mungu wa Mawasiliano, Biashara, Wasafiri na Wajumbe pia inahusishwa na Ujanja wa Kiakili (Mental Techniques) 

ALHAMIS - Siku ya Mungu "ZEUS" Hii ni Siku ya Mungu Mkuu wa Miungu katika Mythology zao, Huusishwa na Anga/ Radi/ Mamlaka na Utawala. 

IJUMAA - Siku ya Mungu "APHRODITE" Mungu wa Kike wa Upendo, Uzuri, Mvuto na Utawala. 

JUMA-MOSI. Siku ya Mungu "CRONUS" Hii ni Siku ya Mungu anayehusishwa na Wakati, Kilimo na Kizazi cha zamani cha miungu. "Time & Season" 

JUMA-PILI. Siku ya Mungu "APOLLO" Hii Ni Siku ya Mungu Jua β˜€οΈ, Mwanga, Nguvu ya Utawala. Apollo katika Mythology ya kigiriki pia inahisishwa na sanaa, Unabii na Uponyaji. 
________________________________________________________________________

Nimekupa Mchanganuo wote huu ili Upate kujua kuwa unapoitaja Siku pamoja na jina lake Kuanzia (MONDAY - SUNDAY) Lile Jina La hiyo siku Maana yake halisi ndio hiyo.

Ndio maana wayahudi badala ya Kutumia Neno Juma pili au "SUN-DAY" Wanatumia Siku ya Kwanza ya Juma....

Chukua Haya Maarifa kisha Changanya na Uwezo wako wa asili wa kufikiri. Ahsante. Naongea na Machampions Siongei na kila mtu hapana.....✍️

THIS IS KINGDOM PLATE "Ufalme Uko Hapa" by @mr_mangapi
53
5 days ago
Download
Ukiondoa Ushabiki, Ukiondoa Hasira, Ukiondoa Udini, Ukiondoa Hisia......Utaelewa Vema hiki Alichokisema Mwl @onesmoprosperity 

Haya Ni Mafundisho ya Kifalme si Mafundisho ya Kitumwa, Ukomavu wa Mtu ni pale tu Utakapokuwa Selective kwenye kile Unatamka au Kwenye Kile Unaimba.......✍️

TAMKA USHINDI 
TAMKA UWEZA 
TAMKA UKOMBOZI 
TAMKA MPENYO 

#HeavenOnEarth by @mr_mangapi
71
6 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up