Instagram story viewer> @ms.ndaro> Posts
1.3K
followers
706
following
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Hodi Rukwa ๐Ÿ”ฐ taken in Rukwa, Tanzania by @ms.ndaro
2
7 hours ago
Download
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, Wala usizisahau fadhili zake zote. 

Zaburi 103:2 by @ms.ndaro
0
9 days ago
Download
Loko kuri nkarhi lowu nga veka hi
Xikwembu swilo hinkwaso
swa hlangana

Isiaiah 60:22 by @ms.ndaro
17
15 days ago
Download
Just a quick recap ๐Ÿ”ฅ by @ms.ndaro
0
21 days ago
Download
๐ŸšจTAARIFA MUHIMU
UKUMBI WA KUFANYIA TUKIO LA BuYTaP UMEBADILISHWA.

UKUMBI MPYA NI: *UKUMBI WA MKUU WA MKOA WA DODOMA*.

TAREHE NA MUDA VINAENDELEA KUWA VILEVILE. by @ms.ndaro
0
a month ago
Download
Mwangaza wa Mwenge wa Uhuru si wa kumulika barabara tu, bali ni wa kumulika na kuchochea maendeleo ya wananchi wetu

#MwengeWaUhuru2026  #Kigoma #TanzaniaKwanza #MaendeleoKwaWananchi by @ms.ndaro
20
a month ago
Download
Mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Kigoma  Septemba 7โ€“14 zimekamilika kwa mafanikio makubwa, na leo tarehe 15 Septemba umekabidhiwa rasmi mkoani Tabora.Kazi kubwa imetendeka mkoani Kigoma kwa kukagua na kuzindua jumla ya miradi 52 ya maendeleo. Kiini cha miradi hii si namba tu, bali ni tija na lengo lake kuu la kurahisisha, kuinua na kuboresha maisha ya wananchi wetu wa kawaida. Hili ndilo lengo la uongozi,kuleta matokeo chanya kwa jamii.Sasa zamu ni ya Tabora gurudumu la maendeleo halisimami, kazi inaendelea! 

Tukumbuke Kauli Mbiu yetu ya mwaka 2026: Tanzania ni Yetu Sote, Tushikamane kwa Pamoja Kuleta Maendeleo. #MwengeWaUhuru2026 #Kigoma#Tabora #TanzaniaKwanza MaendeleoKwaWananchi by @ms.ndaro
43
a month ago
Download
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ MWENGE WA UHURU 2026 - MKOA WA KIGOMA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Kaulimbiu ya Mwaka 2026:
โ€œTanzania ni Yetu Sote, Tushikamane kwa Pamoja Kuleta Maendeleo.โ€

Mkoa wetu wa Kigoma unaadhimisha na kupokea Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa shangwe na uzalendo mkubwa! Mwenge huu wa amani, umoja, na matumaini unaendelea kuangazia na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayoboresha maisha ya wananchi katika halmashauri zetu. Karibuni tujitokeze kwa wingi! ๐Ÿคโœจ
#MwengeWaUhuru2026 #Kigoma #
Cc: @makwaya_joseph Mwandamizi Mkimbiza Mwenge wa Uhuru 2024 by @ms.ndaro
31
a month ago
Download
MWALIKO MAALUM KWA VIJANA! ๐Ÿ”ฅ

Una wazo la ubunifu au unatamani kubadilisha changamoto kuwa fursa? ๐Ÿš€
Jiunge nasi kwenye BUILDING YOUTH TALK PROGRAM โ€” jukwaa la vijana la kujifunza, kubadilishana mawazo na kuibua suluhisho bunifu.

๐Ÿ“Œ MADA KUU:
๐ŸŒฑ Ubunifu wa Kilimo
๐Ÿ’ป Ubunifu wa Kidigitali & Ajira
๐ŸŒ Mazingira & Mabadiliko ya Tabianchi
๐Ÿ’ก Ubunifu wa Ujasiriamali

๐Ÿ“… 19/09/2026
๐Ÿ“ Ukumbi wa Zamani wa Jiji la Dodoma
โฐ 09:00โ€“13:00 Mchana

โœจ Jifunze. Unganisha. Buni. Badilisha.

๐Ÿ“ JISAJILI HAPA ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ
๐Ÿ‘‰ REGISTER HERE โ€“/Au gusa link Kwenye BIO https://appt.apptrainings.com/r/6H7qwIk4yR39SGFv

๐Ÿ“ž 0744 220 587 | +255 758 492 093

๐Ÿ”ฅ WAZO BORA โ€ข UBUNIFU BORA โ€ข MAENDELEO BORA! by @ms.ndaro
19
a month ago
Download
The hidden wellspring of your soul must needs rise and run whispering to the sea; and the treasure of your infinite depths would be revealed to your eyes. by @ms.ndaro
41
2 months ago
Download
Oktoba Tunatiki taken in Kasulu, Kigoma, Tanzania by @ms.ndaro
0
a year ago
Download
Weka yako Nia, Mola wako anakusikia.
#ishikwamalengo by @ms.ndaro
0
a year ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up