Instagram story viewer> @mtaa.wapili> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Ila huyu Madame hapana jamani 🤣🤣 Heti zawadi nifanyie Massage.... Zawadi toa kibanio... Zawadi kwanini unatoa Kibanio? 

Hii Tamthilia haichoshi kutazama jamani inaitwa House of Love ipo YouTube channel @busatitv by @mtaa.wapili
0
6 months ago
Download
UPO TAYARI KWA SIMULIZI ITAKAYOGUSA MOYO? 

@busatitv  Tunawaletea Mzigo mpya kabisa
❤️ HOUSE OF LOVE ❤️

Tambala litakuwa hewani kuanzia 👇👇 
📅 Tarehe 09.01.2026

Viwango vimezimgatiwa kabisaa!! Ni hadithi ya mapenzi, siri nzito, maumivu, maamuzi magumu na ukweli unaoumiza…
Ndani ya House Of Love, kila upendo una gharama yake,
na kila siri ina siku yake ya kufichuka.

👉 Usikose Episode ya Kwanza
👉 Subscribe, Share & Washa 🔔
Busati TV – Burudani Bila Kikomo
#HouseOfLove
#BusatiTV
#TamthiliaMpya
#LoveDrama
#ComingSoon by @mtaa.wapili
1
7 months ago
Download
Mapenzi ni Hisia zinazoumiza lakinihazichoshi .... Haijalishi umeumizwa Mara ngapi, unapoamua kumpenda muoneshe kuwa unampenda na wala husiwe na hofu kuruhusu furaha yako. Tunaishi muda mfupi sana, usikae mbali na furaha ... 

Mpenzi mzuri ni yule anayejua kukupa furaha kwa Wakati sahihi hata inapotokea umepata na udhuni, Mtu sahihi wa kurudisha Tumaini ni Mpenzi wako.. 

Je wewe Mpenzi wako kama Mpenzi wangu Mimi? 

Usikose kutazama House Episode 2 utazame Penzi jipya la Kilamba na somoe 

Bonyeza link hapo chini itakupeleka moja kwa moja YouTube 👇👇

https://youtu.be/SzB2kSHRI5Q?si=CrR7r5YB79zxbYqs by @mtaa.wapili
0
2 years ago
Download
Happy Birthday Madame @sauda_mjapani by @mtaa.wapili
1
3 years ago
Download
Happy Birthday To You Big Boss @abdulkarimdee by @mtaa.wapili
2
3 years ago
Download
Anaitwa nani Huyu? Je umewahi kumuona katika Filam Gani? by @mtaa.wapili
2
4 years ago
Download
Mtaa Wa Pili Coming soon 🔜 by @mtaa.wapili
3
4 years ago
Download
Mtaa wa pili Coming soon 

@mtaa.wapili by @mtaa.wapili
2
4 years ago
Download
Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake!

@officialcikagi 

M T A A W A P I L I
*
*
*
*
Photo by  @mr_msemaji
Models by  @busati_casting

#mtaawapili #busatitv #busaticasting by @mtaa.wapili
4
4 years ago
Download
Usiwaambie Watu nini utafanya au nini umepanga kufanya,. Fanya and Shock them, after shocking them kaa kimya nenda kwenye next Project ......

M T A A W A P I L I
*
*
*
*
Photo by  @mr_msemaji
Models by  @busati_casting

#mtaawapili #busatitv #busaticasting by @mtaa.wapili
3
4 years ago
Download
Furaha ya kweli hipo ndani yako, Usitarajie kupata Furaha kutoka kwa Mtu Mwengine, jifunze kujipa Furaha kwanza. Ukitaka Furaha yako idumu, punguza kuchunguza vitu vinavyokupa Furaha

M T A A W A P I L I
*
*
*
*
Photo by  @mr_msemaji
Models by  @busati_casting

#mtaawapili #busatitv #busaticasting by @mtaa.wapili
3
4 years ago
Download
Wakikuuliza Mapenzi ni Nini? Waambie "Mapenzi ni hisia zinazoumiza lakini hazichoshi" ... Mtaa wa pili unanifanya nitabasam, kwanini nisioneshe upendo kwa yule nimpendae?

@officiall_bebe
@official_micha9 

M T A A W A P I L I

Photo by  @mr_msemaji
Models by  @busati_casting

#mtaawapili by @mtaa.wapili
4
4 years ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up