Instagram story viewer> @mtangi_duma> Posts
35.4K
followers
4155
following
πŸ―πŸ…šοΈŽπŸ…˜οΈŽπŸ…οΈŽπŸ…–οΈŽ πŸ…“οΈŽπŸ…€οΈŽπŸ…œοΈŽπŸ…οΈŽπŸ―
πŸ₯Š17- 1-1 -13k.o.s
πŸ†W.B.O AFRICA MIDDLE CHAMPION
#1 AFRICA
POSTS STORIES REELS TAGGED
 by @mtangi_duma
0
2 days ago
Download
Nitajie msemo mmoja una hujua kwa awa wazee by @mtangi_duma
14
2 days ago
Download
MUDA UTAONGEA by @mtangi_duma
7
4 days ago
Download
@mkaliwenuoriginal Nipo apa kuisubir hio tarehe31/10/2026 nione utakavyo bondwa ili ujuwe hizi ngumi kaz au comedy na utamlilia uyo promota wako @fayheroes sana sana nitakusaidia kuku peleka,kwa robby onePharmacy kuangaliwa,afya by @mtangi_duma
24
4 days ago
Download
Narudia Kukushauri Mdogo Wangu @mkaliwenuoriginal Usilete UKOMEDI Wako Kwenye NGUMI utafia URINGONI Bora uendelee kucheza na Wasanii wenzako Uku Watu hawachekeshi Acheni Utoto wewe na promota Wako Yangu Hayo Tu ✌️ by @mtangi_duma
48
5 days ago
Download
@daukasomba29 @kijiwechandondi_tz @mn_boxing_media_tanzania Haya MAONI YANGU Sema acheni Masihara na ngumi Jamani Yani kabisa Kuna Watu ngumi wanazidai wanazifanya zaidi ya Miaka Ata 10 wapo mtaani Tu hawajawai kupata Ata mechi Moja ya kimataifa Alafu eti Leo promota anaandaa ngumi anampa mechi ya kimataifa mchekeshaji tunazipeleka Wapi Sasa NGUMI zetu msichele vichekesho Kwenye NGUMI mtakuja kufia URINGINI Bure haya by @mtangi_duma
61
7 days ago
Download
Wapambanaji bila jasho akuna mkate. by @mtangi_duma
6
9 days ago
Download
Expensive Fight na champion Magoma πŸ₯Š by @mtangi_duma
6
11 days ago
Download
Robby onePharmacy ni suluhisho lako kwa dawa bora, za kuaminika na huduma za afya za kiwango cha juu. Karibu tukuhudumie kwa upendo na ustadi ili kulinda afya yako na ya familia yako.
#afya by @mtangi_duma
4
22 days ago
Download
apo nakumbuka ilikua ni skukuu ya #iddi_kubwa
naenda town apo kutembea by @mtangi_duma
7
a month ago
Download
Katikati ya machungu na huzuni kubwa, tulisimama pamoja na Mama yetu, Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan. Sio kama mabondia tu, bali kama watoto wenye mapenzi na heshima kwa kiongozi wao. Tulikuwepo hapo, tukiwa tumeridhia mapenzi ya Allah, kumpa pole na kumuomba Yeye Aliyetukuka ampe nguvu, uvumilivu na subira Mama yetu katika kipindi hiki kizito cha kuondokewa na mume wake mpendwa. Jicho linaweza kutoa machozi, moyo unaweza kuuma, lakini mikono yetu iko juu, ikinyenyekea kwa Mola kwa dua ya rahma kwa mpendwa aliyetangulia mbele ya haki. Innallilahi Wainnailaihi Rajiun. Tunaomba subira na wepesi kwa familia nzima. πŸ™πŸΎπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ•ŠοΈ#samiasuluhuhassan #ikulumawasiliano #tanzania @mafiaboxingpromotion @ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan @isarito_tmt by @mtangi_duma
18
a month ago
Download
Sikiliza maneno ya watu, ila amini kazi ya mikono yako na mpango wa Mungu.
Walidai nitapigwa na kutumia kalamu zao kunichafua, lakini maneno ya Dauka Somba hayawahi kubadilisha matokeo ya jasho ulingoni. Kazi ya mdomo umeifanya wewe, lakini kazi ya mikono nimeifanya mimi kwa ushindi wa kishindo!
Hiyo fight ilikuwa ni trela tu kwako, maana sasa tunaingia kwenye ngoma kubwa zaidi. Endelea kuongea, mimi naendelea kushinda. πŸ₯ŠπŸ”₯πŸ†@daukasomba29
@kijiwechandondi_tz by @mtangi_duma
11
2 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up