Instagram story viewer> @mtarawanjefoundation> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Mwaka 2026, Aprili 17, Mtarawanje Foundation ilitekeleza Mradi wa kuboresha makazi ya Bi. 

Pili Swalehe katika Kata ya Vingunguti, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam. Mradi ulihusisha ukarabati wa nyumba pamoja na utoaji wa Mahitaji muhimu ya Nyumbani, ikiwemo Kitanda, Godoro, jiko na chakula.

 Hii ni miongoni mwa programu zetu zinazolenga kurejesha matumaini na kuboresha maisha ya watu wenye uhitaji. by @mtarawanjefoundation
0
3 months ago
Download
Alhamdulillah @samia_suluhu_hassan @wizara_elimutanzania by @mtarawanjefoundation
3
6 months ago
Download
Mwaka 2023, Taasisi yetu ilitoa vifaa vya shule bila malipo kwa zaidi ya wanafunzi 1,000 katika Kata ya Kijichi, Jimbo la Mbagala, Mkoa wa Dar es Salaam. 

Huu ni mmoja wa programu zetu kuu za kila mwaka, unaolenga kuwasaidia watoto wenye uhitaji na kuimarisha upatikanaji wa elimu. 

Programu hii hutekelezwa kila mwaka na wakati wowote panapojitokeza uhitaji katika jamii. by @mtarawanjefoundation
5
4 years ago
Download
Grateful for friends who believe in the power of community. 🤝

A heartfelt thank you to my friend Hon. Elias Mtarawanje, Founder & Executive Director of Mtarawanje Foundation, for gracing the SamaKiba Nifuate 2026 Charity Gala Dinner and for your commitment to stand with us in advancing our shared mission of transforming the lives of vulnerable children.

Congratulations on the remarkable work you continue to lead through Mtarawanje Foundation. Your dedication to empowering communities and inspiring young people through purposeful leadership is making a meaningful difference. May your impact continue to grow, and I look forward to seeing what we can achieve together.

#Leadership #CommunityImpact #SamaKibaNifuate2026 #TogetherForChildren taken in Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro by @mtarawanjefoundation
3
14 days ago
Download
Jana, Mkurugenzi wa Mtarawanje Foundation – Tanzania, Eliasa K. Mtarawanje, 

Alishiriki katika hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya watoto kupitia programu ya NIFUATE 2026, inayoongozwa na  kwa kushirikiana na .

Katika kuunga mkono dhamira hiyo, Mtarawanje Foundation ilichangia TSh 10,000,000 kwa ajili ya kusaidia watoto wenye uhitaji.

Tunatoa shukrani za dhati kwa @officialalikiba na @samagoal77 kwa Moyo wao wa kujali na kuwekeza kwa watoto wa leo kwa ajili ya Tanzania ya kesho. Pamoja, tunaandika historia ya matumaini kwa kizazi kijacho. by @mtarawanjefoundation
3
21 days ago
Download
Mkurugenzi wa @mtarawanjefoundation alipata  heshima ya kushiriki kama mmoja wa Panelists katika kongamano la Ideas to Impact lililoandaliwa na @vijanainnovations. 

Ushiriki huu unaakisi dhamira yetu ya kushirikiana na taasisi mbalimbali katika kuleta mabadiliko chanya kwa jamii.

Tunawapongeza @vijanainnovations  kwa kazi nzuri wanayoendelea kuifanya katika kuwawezesha vijana na kuendeleza ubunifu wenye matokeo. @dorcasmshiu by @mtarawanjefoundation
2
a month ago
Download
Mkurugenzi wa Mtarawanje Foundation ameshiriki katika Hafla ya BusinessAwards 2026 kama mmoja wa wakabidhi tuzo,
 Akionesha dhamira ya taasisi katika kuunga mkono na kutambua ubora, 

Ubunifu na mafanikio katika sekta ya biashara. 

Hongera washindi wote. @business_awards_africa by @mtarawanjefoundation
0
a month ago
Download
 by @mtarawanjefoundation
2
a month ago
Download
It was a great honor to engage with young leaders today at the Youth Power Hackathon organized by Restless Development. 

Together, we explored the future of youth through finance, skills development, green and gig economy opportunities, and meaningful participation in policymaking.

Empowered youth are not only the leaders of tomorrow—they are the changemakers of today. 

#YouthLeadership #RestlessDevelopment #YouthEmpowerment #FutureReady #SDGs Innovation by @mtarawanjefoundation
3
a month ago
Download
 by @mtarawanjefoundation
0
2 months ago
Download
New Project Coming Soon — Empowering Communities, Inspiring Futures.”
MF - Youth Exchange Program (Tanzania to Canada- FULL FUNDED). #Timiza Ndoto Zako. by @mtarawanjefoundation
1
2 months ago
Download
 by @mtarawanjefoundation
0
3 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up