Instagram story viewer> @mufty_0073> Posts
1K
followers
1294
following
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Kwa masiliano zaidi 0615357731 by @mufty_0073
0
10 days ago
Download
🌙 ASSALAMU ALAIKUM WARAHMATULLAHI WABARAKATUH 🌙

Unatafuta kanzu na kofia zenye ubora, muonekano wa kuvutia na bei nafuu? Karibu upate bidhaa bora kwa matumizi ya kila siku na kwa Ijumaa, Eid au hafla mbalimbali.

📞 Wasiliana nasi: 0615357731

Huduma bora, bei rafiki, na usafirishaji kulingana na makubaliano.

Karibu sana kufanya oda yako leo! by @mufty_0073
2
4 months ago
Download
اَلشَّيْخُ مشاري بن راشد العفاسي مِنْ أَجْمَلِ قُرَّاءِ الْقُرْآنِ، صَوْتُهُ خَاشِعٌ وَتِلَاوَتُهُ مُؤَثِّرَةٌ تَدْخُلُ الْقَلْبَ بِسُهُولَةٍ. by @mufty_0073
1
5 months ago
Download
Habari 

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba 
0615357731
0682191988. by @mufty_0073
0
5 months ago
Download
Hizi ni faida kuu 5 za Tre-en-en (NeoLife) 👇
Huongeza nguvu mwilini ⚡
Tre-en-en husaidia seli za mwili kupata lishe kamili, hivyo unakuwa na nguvu zaidi na hupunguki haraka.
Inasaidia afya ya moyo ❤️
Mafuta mazuri yaliyomo (grain lipids) husaidia kulinda moyo na kuboresha mzunguko wa damu.
Huboresha afya ya ngozi ✨
Husaidia ngozi kuwa laini, yenye afya na kupunguza matatizo kama chunusi au ukavu.
Huimarisha kinga ya mwili 🛡️
Mwili unakuwa na uwezo mzuri wa kupambana na magonjwa kwa sababu ya virutubisho vyake.
Husaidia afya ya mfumo wa fahamu (brain & nerves) 🧠
Inasaidia ubongo kufanya kazi vizuri, kuongeza umakini na kupunguza uchovu wa akili. by @mufty_0073
0
5 months ago
Download
Asalam alaikum warahamtullah wabarakatu ,naam ndugu zangu waislamu jambo hilo la Allah (sw) nimewaletea na nyinyi ili tuweze kulifanikisha in shaa Allah kwa pamoja . Naam tutumieni hii fursa katika kuijenga nyumba ya Allah (sw) kwa chochote kitu utakachojaaliwa ewe ndugu yangu muislamu .

:
﴿إِنَّمَا يَعْمُرُ مَسَاجِدَ اللَّهِ مَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَأَقَامَ الصَّلَاةَ وَآتَى الزَّكَاةَ وَلَمْ يَخْشَ إِلَّا اللَّهَ ۖ فَعَسَىٰ أُولَٰئِكَ أَنْ يَكُونُوا مِنَ الْمُهْتَدِينَ﴾ — (Surat At-Tawbah 9:18)

“Hakika wanaoziimarisha (wanaojenga na kuzihudumia) misikiti ya Allah ni wale wanaomuamini Allah na Siku ya Mwisho, na wanasimamisha Swala, na wanatoa Zaka, wala hawamuogopi yeyote isipokuwa Allah. Basi hao ndio wanaotarajiwa kuwa miongoni mwa walioongoka.”
 
Barakallahu fykuum wajakamullahu kheir . by @mufty_0073
0
6 months ago
Download
 by @mufty_0073
4
9 months ago
Download
 by @mufty_0073
2
10 months ago
Download
Usisite kutoa msaada kwa yoyote yule anaehitaji , moja ya njia ya kufanikiwa katika malengo yako ni kutoa misaada kwa wengine iwe wa kifedha ,mawazo na mfano wa hayo .

Kamwe usisite kufanya hivo,matokeo yake utakuja kuyaona 🙏🙏.
#mufty_ _ 0073.
#zuico. by @mufty_0073
0
2 years ago
Download
Be part of solution , not pollution. 
MBTO forever 💚💚 by @mufty_0073
0
2 years ago
Download
 by @mufty_0073
0
2 years ago
Download
 by @mufty_0073
0
2 years ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up