Instagram story viewer> @mwanachuo_comedy_show> Posts
1521
posts
48.9K
followers
68
following
Official page for MWANACHUO COMEDY SHOW
C.E.O & Founder @mchaga_warombo
Next Show to be announced soon🔥
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Mwanachuo Comedy Show ni tukio kubwa la burudani linalotarajiwa kufanyika hivi punde, likiwa na lengo la kuwakutanisha wanafunzi, vijana na jamii kwa ujumla kupitia sanaa ya ucheshi yenye maudhui chanya, ubunifu na ujumbe wenye kujenga. Hii ni zaidi ya show — ni jukwaa la kukuza vipaji, kuhamasisha ajira za ubunifu na kuimarisha ushiriki wa sekta binafsi katika maendeleo ya vijana.Kupitia Mwanachuo Comedy Show, tunatoa fursa kwa makampuni, taasisi na brands kushirikiana nasi kama wadhamini na washirika rasmi, ili kufikia kundi kubwa la vijana, kuongeza uonekano wa brand na kujenga taswira chanya inayohusishwa na sanaa, elimu na maendeleo ya jamii.KWANINI UDHAMINI MWANACHUO COMEDY SHOW NA USHIRIKIANE NASI?• Ufikivu wa moja kwa moja kwa audience kubwa ya wanafunzi na vijana• Brand visibility kupitia majukwaa ya kidijitali, mabango, matangazo na tukio lenyewe• Fursa ya kushiriki katika kukuza vipaji vya ndani na kuacha alama ya kudumu kwa jamii• Ushirikiano wa kimkakati unaojenga uaminifu wa brand kwa kizazi cha sasa na kijachoMwanachuo Comedy Show inaandaliwa kwa weledi, ubunifu na mipango madhubuti ili kuhakikisha inakuwa tukio la kukumbukwa na lenye matokeo chanya kwa wadau wote wanaohusika. Tunakualika kushirikiana nasi katika safari hii ya kuwekeza kwenye vipaji, burudani yenye maadili na nguvu ya vijana.Kwa maelezo zaidi kuhusu fursa za udhamini na ushirikiano, tafadhali wasiliana nasi kupitia Mawasiliano yafuatayo: 0753217889 Whatsapp au tupigie kwenye namba hizi 0610257534 au njoo DM.Graphics by: @gs_house_of_graphics @gs_house_of_graphics#mwanachuocomedyshow #mwagachekotuonegego #university #chuo #college by @mwanachuo_comedy_show
1
6 months ago
Download
Tunapenda kukupongeza sana Mkurugenzi Mtendaji wa @mwanachuo_comedy_show ndugu @mchaga_warombo kwa namna ulivyohost show kwa kiwango cha juu cha weledi na ubora. Uliiongoza kwa kujiamini, utulivu na mvuto wa kipekee uliowafanya watazamaji wabaki wakifuatilia kwa umakini kuanzia mwanzo hadi mwisho. Lugha yako, ucheshi wa asili na namna ulivyowaunganisha wasanii pamoja na hadhira vilifanya show iwe hai, ya kuvutia na yenye kumbukumbu nzuri.Kwa kweli, ulionyesha kuwa wewe sio tu kiongozi wa platform bali pia ni host bora mwenye uwezo wa kuipa show hadhi na mwelekeo sahihi. Uliwapa wasanii nafasi ya kung’ara huku ukiendelea kudhibiti mtiririko wa tukio kwa ustadi mkubwa. Hongera sana kwa kazi nzuri na kwa kuendelea kuinua kiwango cha burudani katika tasnia ya comedy.👏Pia tunapenda kuwashukuru sana wanachuo wote wa chuo Cha LGTI(LOCAL GOVERNMENT TRAINING INSTITUTE),HOMBOLO kwa kujitokeza kwa wingi na kuipatia show yetu heshima kubwa kwa uwepo wenu. Nishati, shangwe na ushiriki wenu vilifanya tukio liwe la kipekee na lenye uhai mkubwa, na kwa kweli mmeonyesha upendo wa dhati kwa sanaa ya burudani na vipaji vya ndani. Asanteni kwa kuunga mkono, kuhamasisha na kufanya show ya @mwanachuo_comedy_show ndani ya chuo cha LGTI, HOMBOLO iwe ya kukumbukwa🙏Cc: @mchaga_warombo#mwanachuocomedyshow #mwagachekotuonegego#university #chuo #comedyshow by @mwanachuo_comedy_show
3
6 months ago
Download
Kwanza tunamshukuru Mungu kwa kutufikisha hapa. Kisha shukrani za dhati ziende kwa kila mmoja aliyejitokeza kwa wingi kuhudhuria MWANACHUO COMEDY FESTIVAL. Uwepo wenu, vicheko vyenu, na sapoti yenu vimetupa nguvu kubwa sana ya kuendelea kusukuma sanaa ya ucheshi mbele zaidi. Mmetuonyesha kuwa ndoto zinawezekana pale watu wanapoamua kuziamini na kuzisimamia kwa vitendo.Kwa kila aliyekata tiketi, aliyeshare post, aliyewaalika marafiki, na aliyesimama nasi tangu mwanzo hadi mwisho wa show, tunasema asanteni sana kutoka mioyoni mwetu. Hii siyo mwisho bali ni mwanzo wa safari kubwa zaidi. @mwanachuo_comedy_show ni jukwaa la vipaji, ni sauti ya vijana, na ni uthibitisho kwamba kwa umoja, bidii, na imani, tunaweza kufikia mbali sana.Endeleeni kutuunga mkono, endeleeni kuamini katika sanaa ya Kitanzania, na zaidi ya yote endeleeni kueneza tabasamu na vicheko kila mahali. Safari inaendelea, na mambo makubwa zaidi yanakuja. Mungu awabariki sana nyote.#mwanachuocomedyfestival#mwanachuocomedyfestival2025#mwanachuocomedyshow #mwagachekotuonegego #comedyshow by @mwanachuo_comedy_show
26
6 months ago
Download
Wanawake wa Katoro karibuni sana @_alessiastore ujipatie nywele aina zote zenye quality kubwa kwa bei ya jumla na rejareja. Pia @_alessiastore wanafanya delivery ndani na nje ya Tanzania kwa uaminifu mkubwa.Wanapatikana Kariakoo Msimbazi A pamoja na Mwananyamala shule.Wacheki kwenye account yao @_alessiastore au kwenye hizi namba chini ujipatie nywele aina zote kwa bei nafuu sana.WhatsApp: 0682042286Normal call: 0629323229/0760293229#mwanachuocomedyshow #mwagachekotuonegego#university #college #chuo by @mwanachuo_comedy_show
8
10 days ago
Download
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Karibuni sana @_alessiastore mjipatie nywele aina zote zenye quality kubwa kwa bei ya jumla na rejareja. Pia @_alessiastore wanafanya delivery ndani na nje ya Tanzania kwa uaminifu mkubwa.Wanapatikana Kariakoo Msimbazi A pamoja na Mwananyamala shule.Wacheki kwenye account yao @_alessiastore au kwenye hizi namba chini ujipatie nywele aina zote kwa bei nafuu sana.WhatsApp: 0682042286Normal call: 0629323229/0760293229#mwanachuocomedyshow #mwagachekotuonegego#university #college #chuo by @mwanachuo_comedy_show
76
21 days ago
Download
🎓 WEWE NI MWANAFUNZI WA CHUO AU COLLEGE? HII NI FURSA YAKO! 💰Usisome tu… anza kujenga msingi wa maisha yako ya kifedha mapema. 💪Karibu ANNES WANACHUO VICOBA @annes_finance , kikundi maalum kilichoundwa kwa ajili ya wanafunzi wanaotaka kujifunza:✅ Utamaduni wa kuweka akiba✅ Nidhamu ya fedha✅ Uwekezaji✅ Ujasiriamali✅ Kupata mikopo ya kikundi kwa maendeleo💵 Michango ya kila wiki:🔹 Hisa – Tsh 10,000+🔸 Jamii – Tsh 2,500+🟢 Bima – Tsh 2,500+📌 Kiwango cha chini cha kuchangia ni Tsh 15,000 tu kwa wiki!🌱 Akiba ya leo ndiyo mafanikio ya kesho.Usisubiri hadi umalize chuo ndipo uanze kujenga maisha yako ya kifedha.📍 Ofisi: ANNES FINANCE – Madale📞 0694 697 569Jenga akiba leo, timiza ndoto zako kesho! 🚀Kwa taarifa zaidi wacheki @annes_finance#mwanachuocomedyshow #mwagachekotuonegego #university #college #chuo by @mwanachuo_comedy_show
0
a month ago
Download
🌟 JIUNGE NA ANNES VICOBA 🌟Je, unatafuta njia salama ya kujenga tabia ya kuweka akiba, kupata mikopo na kukuza biashara yako?Karibu kwenye ANNES VICOBA DAY 2026 iliyoandaliwa na @annes_finance ambapo utapata:✅ Elimu ya VICOBA✅ Usajili wa VICOBA vya Wiki na Mwezi✅ Fursa ya kuanza kununua hisa siku hiyo hiyo✅ Ushauri wa kukuza biashara na fedha zako📅 Jumapili, 28/06/2026🕗 Saa 8:00 Mchana📍 Ofisi za ANNES FINANCE – MadaleWanachama wapya wote wanakaribishwa!“Tafadhali mshirikishe ndugu, rafiki au mfanyabiashara mwenzako. Fursa nzuri ni nzuri zaidi inaposhirikishwa.” 🤝📞 0694 697 569Kwa taarifa zaidi tembelea page ya @annes_finance Akiba Leo, Maendeleo Kesho! 💙❤️#mwanachuocomedyshow #mwagachekotuonegego #university #college #chuo by @mwanachuo_comedy_show
1
a month ago
Download
Wewe na huyo mpenzi wako asiye na hela karibuni sana @_alessiastore ujipatie nywele aina zote zenye quality kubwa kwa bei ya jumla na rejareja. Pia @_alessiastore wanafanya delivery ndani na nje ya Tanzania kwa uaminifu mkubwa.Wanapatikana Kariakoo Msimbazi A pamoja na Mwananyamala shule.Wacheki kwenye account yao @_alessiastore au kwenye hizi namba chini ujipatie nywele aina zote kwa bei nafuu sana.WhatsApp: 0682042286Normal call: 0629323229/0760293229#mwanachuocomedyshow #mwagachekotuonegego #university #college #chuo by @mwanachuo_comedy_show
64
a month ago
Download
😅😅 TUKUTANE KWENYE COMMENTS👇Wewe na mpenzi wako mnakaribishwa sana @_alessiastore mjipatie nywele aina zote zenye quality kubwa kwa bei ya jumla na rejareja. Pia @_alessiastore wanafanya delivery ndani na nje ya Tanzania kwa uaminifu mkubwa.Wanapatikana Kariakoo Msimbazi A pamoja na Mwananyamala shule.Wacheki kwenye account yao @_alessiastore au kwenye hizi namba chini ujipatie nywele aina zote kwa bei nafuu sana.WhatsApp: 0682042286Normal call: 0629323229/0760293229#mwanachuocomedyshow #mwagachekotuonegego #university #college #chuo by @mwanachuo_comedy_show
303
a month ago
Download
Mtag kwenye comments👇Wewe na huyo rafiki yako mnakaribishwa sana @_alessiastore mjipatie nywele aina zote zenye quality kubwa kwa bei ya jumla na rejareja. Pia @_alessiastore wanafanya delivery ndani na nje ya Tanzania kwa uaminifu mkubwa.Wanapatikana Kariakoo Msimbazi A pamoja na Mwananyamala shule.Wacheki kwenye account yao @_alessiastore au kwenye hizi namba chini ujipatie nywele aina zote kwa bei nafuu sana.WhatsApp: 0682042286Normal call: 0629323229/0760293229#mwanachuocomedyshow #mwagachekotuonegego #university #college #chuo by @mwanachuo_comedy_show
869
a month ago
Download
TUKUTANE KWENYE COMMENTS👇Karibuni sana @_alessiastore ujipatie nywele aina zote zenye quality kubwa kwa bei ya jumla na rejareja. Pia @_alessiastore wanafanya delivery ndani na nje ya Tanzania kwa uaminifu mkubwa.Wanapatikana Kariakoo Msimbazi A pamoja na Mwananyamala shule.Wacheki kwenye account yao @_alessiastore au kwenye hizi namba chini ujipatie nywele aina zote kwa bei nafuu sana.WhatsApp: 0682042286Normal call: 0629323229/0760293229#mwanachuocomedyshow #mwagachekotuonegego #university #college #chuo by @mwanachuo_comedy_show
935
a month ago
Download
😃😃😃Aya karibuni sana @_alessiastore mjipatie nywele aina zote zenye quality kubwa kwa bei ya jumla na rejareja. Pia @_alessiastore wanafanya delivery ndani na nje ya Tanzania kwa uaminifu mkubwa.Wanapatikana Kariakoo Msimbazi A pamoja na Mwananyamala shule.Wacheki kwenye account yao @_alessiastore au kwenye hizi namba chini ujipatie nywele aina zote kwa bei nafuu sana.WhatsApp: 0682042286Normal call: 0629323229/0760293229#mwanachuocomedyshow #mwagachekotuonegego #university #college #chuo by @mwanachuo_comedy_show
63
a month ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up