Instagram story viewer> @mybwoy7> Posts
29
followers
14
following
30jul😋y 🎂
@dadybwoy4
@mancity 💙💙💙
#The 📖 writer 🤲
#Enjoy ⚽😂 or😡
@deeramzcartoon
#AL Islam Dinna🤲
POSTS STORIES REELS TAGGED
@💙4rm🇹🇿 by @mybwoy7
0
2 years ago
Download
#Anasema Allah kila penye uzito na wepesi upo
Leo nimetimiza miongoni mwa ndoto ambayo
Ni kubwa sana kwa life langu kwa ajili yako @mybwoy7 .
 Happy new year 
Date to remember 
9/6/2024 
  @💙from🇹🇿 taken in Magole, Morogoro, Tanzania by @mybwoy7
0
2 years ago
Download
@💙4rm🇹🇿 by @mybwoy7
0
2 years ago
Download
@mybwoy7 Leo namalizia ile hadithi niliyo iwacha 
Kipolo kwenye picha ya nyuma OK! Ipo ivi 👇
Yule mtoto ambae alienda kuomba mvua inyeshe 
Akiwa na ☂️ jawabu alikuwa na iman kuwa ☔
Ni kweli itanyesha na ndio 7b alibeba mwamvul. 
Maana yangu ni kuwa ata @dadybwoy4 kuna 
Siku nitakutumainia wewe inshaallah kama tukifanikiwa kufika ayoh masiku Ombi langu kwako ni vitu viwili ty. 
#Amani 👉 Dunia inaitaji sana ilo neno ili iweze kuwa salama 
#Upendo👉Ili tujivunie kuwa duniani tunaitaji sana upendo kwani kwenye upendo kuna huruma py. 
Mwisho nakuombea ukuwe kwa kumpendeza mola wako mlezi mana pasina yeye sie sio kitu.
#The future 
#Upendo💙
#mtoto wa baba👊 taken in Kilosa, Morogoro, Tanzania by @mybwoy7
0
2 years ago
Download
@malaikas_mom by @mybwoy7
0
2 years ago
Download
@dadybwoy4 by @mybwoy7
0
2 years ago
Download
Kuna mzee mmoja alikuwa akicheza na mwanawe
Kwa kumlusha juu ajabu yule mtoto akuwa akilia 
Ila mwenyew alikuwa anacheka ty?

#Nahodha 
#HB ⚽ taken in Mtaan Vibe by @mybwoy7
1
2 years ago
Download
kuna kijiji fln kilikuwa na ukame sana ivyo wana
Kijiji wakaona waende kuomba mvua milimani 
Kwa imani yao lkn.
Iakini kati ya walioenda kulikuwa na mtoto mmoja yeye alienda na mwamvuli je? 
Ni 7b ipi iliyofanya akachukua ⛱️
Picha zijazo nitakujuza @mybwoy7 

#HB alafu Toz like @dadybwoy4 👊 taken in Kitaa Safii by @mybwoy7
1
2 years ago
Download
MNYAMWEZI LIKE........ !?

Way back 🎤
📴
mybwoy7🧢 taken in Mtaani.com by @mybwoy7
1
2 years ago
Download
 by @mybwoy7
0
3 years ago
Download
 by @mybwoy7
0
3 years ago
Download
Hatujafika tunapotaka Kuwa ila hatupo tulipo 
Kuwa Jana. 
Mybwoy7 leo April 9 ya mwezi 4 mwezi ambao 
amezaliwa BABA ako @dadybwoy4 na ndio 2po
Ukingoni mwa mwezi mtukufu wa ramadan ni
matumaini yangu siku za usoni utatimiza hi
nguzo mihongoni mwa zile nguzo za dini yako
Inshaallah.
Furaha yangu kuona unakuwa vyema 🤲
#Upendo 💞 taken in Masasi, Lindi, Tanzania by @mybwoy7
0
3 years ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up