Instagram story viewer> @nattyebrandy> Posts
450
posts
57.1K
followers
1001
following
๐‘น๐’‚๐’…๐’Š๐’ ๐‘ฌ๐’Ž๐’‘๐’“๐’†๐’”๐’”
๐Ÿ“ป #jembefmtz
๐ŸŽฌ Entertainment|โšฝ๏ธSports
๐ŸŽคVoice Overs|Creativity ๐Ÿง |Dj๐ŸŽง
๐Ÿ’ป Founder @nafri_entertainment
๐ŸŒŒTrailblazer
#GOM
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโšฝ Martinelli ndiye shujaa wa Brazil! Goli lake la ushindi limeihakikishia Brazil kutinga hatua inayofuata. Mchezaji wa mechi, mfungaji wa bao la ushindi! ๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ”ฅ

#WorldCup2026
#FIFAWorldCup2026 #FIFA2026
#WorldCup taken in Tanzania, Africa by @nattyebrandy
0
a month ago
Download
Bom dia!!! ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น

#reels #portugal๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น #porto #streettour #radioempress taken in Mabatini by @nattyebrandy
22
3 years ago
Download
๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ โ€œFootwork on point, game on fire.

Kinda workout i Enjoy the most ๐Ÿ”ฅ
#TennisDrills #nextlevel #tennisislife #tennisballcricket taken in Lake Victoria, Mwanza Tanzania by @nattyebrandy
5
4 months ago
Download
SATURDAY ON KIKWETU

Leo ndani kikwetu Kali za Africa Mashariki tunapiga story na mkali kutoka bongo @raj_zorah usikae mbali bila kusahau tutamsikiliza ndani ya 93.7 
Via @jembefmtz Stay tuned 
โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”
Host: #Radioempress @nattyebrandy
 
  #Wakufunziwaburudani #Radioempress 
#Jembefm2026 #AsantekwaTime Usipojisikiasikiliza  kikwetukalizaafrikaMasharikia by @nattyebrandy
5
12 hours ago
Download
Usilolifahamu kuhusu PETE (FIFA WORLD CUP CHAMPIONS RING ๐Ÿ’)

Hata shabiki unaruhusiwa kuinunua 

#WorldCup2026
#FIFAWorldCup2026 #FIFA2026
#WorldCup taken in Tanzania, Africa by @nattyebrandy
0
2 days ago
Download
PITCH AND POP NEWS

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ๐Ÿ”ฅ

Cape Verde ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ป na Malawi ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ wanajiandaa kushiriki kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya WAFCON! ๐Ÿ†๐ŸŒ
Kwa Wanasoka wanawake barani Africa.

Ni safari mpya, ni ndoto mpya, na ni hatua kubwa kwa soka la Afrika. ๐ŸŒโšฝ๐Ÿ”ฅ

Je, unadhani nani ataandika historia zaidi kwenye WAFCON hii? ๐Ÿ‘€

#WAFCON2026 #WAFCON #WomensFootball #AfricanFootball #FootballReels taken in Tanzania, Africa by @nattyebrandy
2
3 days ago
Download
โšฝ๐Ÿ† WAFCON is on the Way๐ŸŒ๐Ÿ”ฅ

WAFCON ilianza mwaka 1998, lakini mwaka huu ni wa kihistoria! Kwa mara ya kwanza, timu 16 zitashiriki mashindano haya makubwa ya soka la wanawake barani Afrika. ๐Ÿ‘‘โšฝ

Mashindano yanaanza rasmi Julai 26! ๐Ÿ”ฅ๐ŸŒ

Nani anaenda kunyanyua kombe? ๐Ÿ†๐Ÿ‘€
2022 Afrika Kusini Banyana Banyana walichukua kombe 

#WAFCON2026 #WAFCON #WomensFootball #AfricanFootball #FootballReels taken in Tanzania, Africa by @nattyebrandy
2
4 days ago
Download
Kuna kitu kimoja kikubwa ambacho nimejifunza kupitia @ishowspeed ishowSpeed: si lazima uwe perfect ili uthubutu kuanza.

IshowSpeed ametufundisha kwamba wakati mwingine unaweza kufanya kitu ambacho si eneo lako la utaalamu, na hata kama hujakifanya kwa kiwango kikubwa, bado ni muhimu kuthubutu na kujaribu. Kwa sababu unapojaribu, unawapa watu nafasi ya kuona kwamba kumbe una uwezo wa kufanya zaidi ya kile walichokuzoea.

Alianza kwa kuandika wimbo wa Kombe la Dunia, na wimbo huo ukapata nafasi kwenye albamu ya Kombe la Dunia. Kisha akapewa nafasi ya kufanya livestream ya Kombe la Dunia kwa kipindi chote hadi mashindano yalipokamilika.

Na kama hiyo haitoshi, akaenda mpaka kwenye fainali za Kombe la Dunia na kupata nafasi ya kutumbuiza na kuimba wimbo wake mbele ya dunia.

Yeye mwenyewe amesema aliogopa. Alikuwa na wasiwasi kwa sababu ilikuwa ni mara yake ya kwanza kufanya performance ya aina hiyo. Na kwa mtazamo wake, anaweza kusema hakufanya vizuri sana.

Lakini kuna kitu kimoja alichofanya vizuri zaidi ya yote: HE SHOWED UP kama jina lake I show โ€ฆ..

Na wakati mwingine, huo ndio ushindi mkubwa zaidi. ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Usisubiri uwe perfect. Usisubiri ujue kila kitu. Thubutu. Jaribu. Jionyeshe.

Kwa sababu huwezi kujua ni milango mingapi itafunguka mpaka uthubutu kugonga mlango wa kwanza. ๐ŸŒโœจ

#ฤฑshowspeed #WorldCup2026
#FIFAWorldCup2026 #FIFA2026 taken in Tanzania, Africa by @nattyebrandy
4
5 days ago
Download
Hivi ndivyo Torres alivyoipa UBINGWA WA DUNIA spain kwa Bao moja tu La Ushindi dhidi ya Argentina 

#WorldCup2026
#FIFAWorldCup2026 #FIFA2026
#WorldCup by @nattyebrandy
2
6 days ago
Download
Moment of Truth ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‘๐Ÿผ ๐Ÿซก

#WorldCup2026
#FIFAWorldCup2026 #FIFA2026
#WorldCup #espanฬƒa taken in Tanzania, Africa by @nattyebrandy
3
6 days ago
Download
Espanฬƒa 

Mabingwa Wa Dunia 2026 ni Hispania 

Sherehe ndio Muhimu kwa sasa 

#WorldCup2026
#FIFAWorldCup2026 #FIFA2026
#WorldCup taken in Tanzania, Africa by @nattyebrandy
3
6 days ago
Download
Jude Bellingham akaona Isiwe tabu Tulipoteza kwa La Pulga  basi tusiondoke kinyonge๐Ÿ˜‚๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ

#WorldCup2026
#FIFAWorldCup2026 #FIFA2026
#WorldCup taken in Tanzania, Africa by @nattyebrandy
0
7 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up