Instagram story viewer> @noelamorsi> Posts
1.2K
followers
5019
following
GOD 🙏 plan
St Ritha pray 🙏 for us
❤️💙Binti ritha
POSTS STORIES REELS TAGGED
Mhubiri 11:9.

“Furahi, Ee kijana, katika ujana wako… lakini ujue ya kuwa kwa mambo hayo yote Mungu atakuleta hukumuni.” by @noelamorsi
10
7 months ago
Download
📖 Psalms 107:1 

“Give thanks to the Lord, for He is good .💜💜🙏 by @noelamorsi
10
8 months ago
Download
Thanks Lord 2026...🔥🔥❤️❤️😊🛫🛫 taken in Julius Nyerere International Airport by @noelamorsi
14
8 months ago
Download
*THANKS LORD* 🤍 🤍

“Ee Mungu wangu, Asante kwa wema wako usiokoma. Asante kwa uhai, afya, amani na kila baraka unayomimina juu yangu. Nainua moyo wangu mbele zako nikiwa na shukrani, maana umefanya mengi kuliko ninavyoweza kueleza. Nakutukuza kwa kila hatua ya maisha yangu, kwa ushindi na majaribu yote uliyoniwezesha kuvuka. Mungu wangu, Asante kwa upendo usiobadilika na neema ambayo hunibeba kila siku.”

⭐  Zaburi 107:1

> “Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; Kwa maana fathili zake zimedumu milele.”

⭐  1 Wathesalonike 5:18

> “Shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ndiyo mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.”

⭐ Zaburi 136:1

> “Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake ni za milele.” taken in morogoro town by @noelamorsi
11
a year ago
Download
Familia yangu ♥️♥️#Bint Rita. taken in Dodoma, Tanzania by @noelamorsi
22
a year ago
Download
taken in Casablanca, Morocco by @noelamorsi
6
a year ago
Download
"kumbuka ya kwamba wewe uliyapokea mambo mema katika maisha yako, na Lazaro mabaya..." Lk 16:19-31

Tajiri hakuhukumiwa kwa sababu ya utajiri wake, ila tu kwa sababu hakuwa na huruma. 

Hakumtendea Lazaro mabaya, lakini pia hakumtendea mema.

Tujitafiti: Je, tunagusa mioyo ya akina Lazaro walio katika milango ya maisha yetu, au tunapita bila huruma?

Tumwombe Mungu, atujalie macho ya kuwaona akina Lazaro waliopo milangoni mwetu.

Nakutakia Dominika njema by @noelamorsi
7
a year ago
Download
❤️❤️❤️❤️ taken in Morogoro, Tanzania by @noelamorsi
6
a year ago
Download
Tunashurkuru Mungu kwa Kila jambo 🙏🙏 tulipata wasaa wa kwenda Mwanza kuhiji  Buhongwa Kiloleni ambapo tumesali,Kuomba na kukesha na Yesu wa Ekaristi,🙏na Mwisho kutembelea watot kwa kuwapa tabasamu ❤️ MAHUJAJI KATIKA MATUMAINI 
Warumi 5 -5🙏 by @noelamorsi
7
a year ago
Download
 by @noelamorsi
12
a year ago
Download
Bwana ndiye mchungaji wangu sitopungukiwa na kitu 🙏♥️ taken in Morogoro, Tanzania by @noelamorsi
3
a year ago
Download
taken in Morogoro, Tanzania by @noelamorsi
8
a year ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up