Instagram story viewer> @nomaseries> Posts
281
posts
49.4K
followers
44
following
🏆 2X Best ZIKOMO TV Series of the Year 2025
🏆 2X Business Award Winner 2026
🏆 3X Winner — ZIFF 2026
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
WE DID IT! 🏆🏆🏆Kwa furaha kubwa tunawashukuru kwa upendo, support na kura zenu.NOMA imefanikiwa kushinda tuzo zote tatu kwenye ZIFF 2026 People’s Choice Awards.🏆 Best Drama Series Tanzania🏆 Best Actor TV Drama Series Tanzania — Sadam Nawanda (Nawanda)🏆 Best Actress TV Drama Series Tanzania — Magdalena Munisi (Wendy)Huu ni ushindi wa kila mmoja aliyekuwa sehemu ya safari hii — cast, crew, production team, na mashabiki wote waliotuunga mkono tangu siku ya kwanza.Asanteni sana kwa kuamini NOMA na kwa kuendelea kutupa support kubwa namna hii.Ushindi huu ni wa familia nzima ya NOMA. 🌹🌹🌹Hii si mwisho…Safari bado inaendelea.#NOMA#ZIFF2026#PeoplesChoiceAwards by @nomaseries
155
a month ago
Download
ALHAMDULILLAH 🙏🏾NOMA SERIES officially is the Best TV Series of the Year 2025–2026 at @business_awards_africa Business Awards.Na pia tunajivunia ushindi wa Best Actor — Habibu Mtambo @alexander_malick Hii ni ushindi mkubwa kwa familia nzima ya NOMA.Asanteni kwa support yenu, kura zenu, na upendo mnaotuonyesha kila siku.Hongera kwa cast wote, crew wote, producer, director, na team nzima iliyofanya kazi usiku na mchana kuhakikisha NOMA inafika hapa ilipo.Special congratulations to Habibu Mtambo kwa performance bora iliyogusa watu wengi na kuonesha ubora wa kazi ya Kitanzania. This is more than an award.This is proof that passion, consistency, and hard work pay off. @amokfilms_tz by @nomaseries
78
a month ago
Download
TUMECHUKUA:✨ Best ZIKOMO TV Series of the Year 2025 @nomaseries ✨ Best ZIKOMO Actress in a TV Series of the Year 2025 @ngelikah Mashabiki wetu, huu ni ushindi wenu 💛🌷Bila nyinyi hakuna NOMA. Kila sapoti yenu imetufikisha hapa na imetupa nguvu ya kuendelea kuvunja mipaka.Tunawashukuru kwa mioyo yote 🙏Historia imeandikwa, lakini hadithi bado inaendelea…NOMA ni zaidi ya series — ni familia 💥Director- @khaleed_mfundo AD-@am_taviaWardrobe-@miriambomaMakeup-@alice_abacadabra📺 Ijumaa – Jumapili saa 1:00 usiku🔁 Marudio: saa 3:00 usiku, 5:00 asubuhi, 12:00 jioni📅 Marudio ya wiki nzima: Jumatano saa 6:00 mchana hadi 8:00 mchana by @nomaseries
39
7 months ago
Download
Better late than never team Noma tukiwa sabasaba Ground kutembelea maonyesho ya Sabasaba na kusalimiana na watu Barikiwa sana 🙏 @tanzania_film_board @nomaseries @sinemazetuhd @azamtvburudani by @nomaseries
18
10 days ago
Download
Leo tunasherehekea siku ya kuzaliwa ya mmoja wa nyota wetu pendwa. Tunakutakia afya njema, furaha isiyoisha, mafanikio makubwa na baraka tele katika kila hatua ya maisha yako.Asante kwa kutupa burudani na kuifanya familia ya NOMA ijivunie kuwa na wewe. Endelea kung’ara na kutimiza ndoto zako. Happy Birthday, Suzy Wa Noma @sapna__filoz 🥳🎈🎁 by @nomaseries
8
11 days ago
Download
💥💥 #behindthescenes🎬 #behindthescene #nomaseries🔥❤️ #film #lighthouse by @nomaseries
17
12 days ago
Download
Waachie neno moja la pongezi TEAM NOMA! by @nomaseries
40
14 days ago
Download
Happy Birthday, Adam! Leo tunasherehekea si tu siku yako ya kuzaliwa, bali ubunifu, juhudi na mchango wako mkubwa kwenye tasnia ya filamu. Kila mwaka unaongeza historia mpya, unahamasisha wengine, na unaonyesha kwamba ndoto hutimia kwa kazi na kujituma.Tunakutakia afya njema, mafanikio makubwa zaidi, ubunifu usioisha, na baraka tele katika kila hatua ya maisha na kazi yako.Happy Birthday, Adam! @daniel_lufingo 🥂🎂 by @nomaseries
14
14 days ago
Download
Team @nomaseries Vibing together with GOP x ambassadors at Saba Saba Tanzania Film board day. by @nomaseries
14
14 days ago
Download
WATU WANATAKA SEASON 2 NYIE MNADHURULA 🤔🥲 by @nomaseries
86
15 days ago
Download
Vibe la jana Kwenye viwanja vya saba Saba grounds asante sana @tanzania_film_board kwa kuwa nasi hakika tumejifunza mengi sana zaidi zaidi mashabiki zetu asanteni sana kwa upendo 🫶🫶🫶🫶🫶 Na kaka zetu gentlemen making sure we are well @alexander_malick @daniel_lufingo @official_nawanda @selesupro @tomluckshukuru my girls @pinkieto_ @suh_gracious and I were happy kakosekana @ngelikah Team Noma tulikuwepo @nomaseries by @nomaseries
48
15 days ago
Download
Furaha ni sehemu ya mafanikio, Tuendelee kujifunza maisha katika Tamthilia ya NOMA .photography 📸📸 By @willy_kanzale by @nomaseries
9
15 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up