Instagram story viewer> @nyundo_tv> Posts
2321
posts
166.2K
followers
89
following
Matangazo, Promo & unahitajii interview njoo Dm
YouTube πŸ‘‰ Nyundo tv
Facebook πŸ‘‰ Salum Lwambo
TikTok πŸ‘‰ Nyundo tv
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Huyubhapa @sheikh_yusuf_diwan akieleza na kufafanua maswali 6 ambayo mwanaume ambaye ameoa hapendi kuulizwa na mkewe na ameeyazungumza haya kupitia kwenye jukwaa lake ambalo hufanyika kila siku ya Alhamis kituoni kwake Mbagala Kizuiani.

Endelea fufuatilia mfululizo wa majukwaa haya kila Alhamis uweze kujifunza vitu tofauti

Unaweza kufika ofisini kwake @sheikh_yusuf_diwan kwa maelekezo zaidi maeneo ya Mbagala Kizuiani au unaweza kumcheki kupitia kwenye no 0659869734 au 0748869733

Full video hii tayari tumepost kwenye youtube chanel yetu ya nyundo tv nenda sasa ukaitazame.

Please follow @Nyundo_tv πŸ™ by @nyundo_tv
2k
a month ago
Download
Muigizaji nguli nchini ambaye alicheza sana kama mchepuko wa marehemu Mzee Majuto @isha24823 ambaye pia ni wifi wa muigizaji @riyamaally amempa maneno mazuri na ya faraja wifi yake kufuatia kitendo cha Wema kupata mtoto huku akiamini ipo siku hata wifi yake atapata na hapa alikuwa anampa hongera pia #Wemasepetu kwa kupata mtoto wakiume huku akiwajibu wanaomsema kwa kuwahi kumpost mtoto wake.

Full video hii tayari tumepost kwenye youtube chanel yetu ya nyundo tv nenda sasa ukaitazame.

Please follow @Nyundo_tv πŸ™ by @nyundo_tv
978
a month ago
Download
Tunaishi tunatembea na tunajifunza vile ambavyo watu wanaishi maisha yao ....β€οΈπŸ”¨πŸ–₯

Please follow @nyundo_tv πŸ™ by @nyundo_tv
2
2 months ago
Download
Leo inapigwa chaka 2 Chaka hapa mrogoro by @nyundo_tv
0
5 hours ago
Download
@hanifajikelachui ndio mtoto pendwa wa @mzee_kikala by @nyundo_tv
0
5 hours ago
Download
@kobisi_kikala_ jobless wa taifa yupo Morogoro by @nyundo_tv
0
5 hours ago
Download
Ndani ya Morogoro @_bistar by @nyundo_tv
1
5 hours ago
Download
Wakazi wa Morogoro @_bistar anawaita muje kwenye jambo lake

Sponsored by @dijavacompany by @nyundo_tv
0
5 hours ago
Download
Jamani mbona huyu @vene_kombolela kachangamka hivi

Sponsored by @dijavacompany by @nyundo_tv
4
5 hours ago
Download
Hii hapa familia nzima ya @mzee_kikala ndani ya Morogoro kwenye jambo la @_bistar na mashabiki ni Furaha na upendo tu
Sponsored by @dijavacompany 
PLEASE FOLLOW US πŸ™ by @nyundo_tv
6
6 hours ago
Download
@shabikiwamashavu akisalimiana na mashabiki zake wa morogoro
Ni usiku wa @_bistar na mashabiki
Sponsored by @dijavacompany by @nyundo_tv
2
6 hours ago
Download
Upendo ni mkubwa sanaa kwa familia nzima ya wasanii wa Kombolela ndani ya Morogoro na hapa kuelekea kwenye jambo zito la @_bistar ndani THE PALS 

Sponsored by @dijavacompany by @nyundo_tv
2
6 hours ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up