Instagram story viewer> @obbykiwango> Posts
101
posts
1.1K
followers
1201
following
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Pika pakua Ndani ya maisha @maishamagicbongo @dstvtanzania kila siku ya ijumaa saa 2 usiku by @obbykiwango
3
3 months ago
Download
Pika pakua kila siku ya ijumaa saa 2 usiku ndani @maishamagicbongo by @obbykiwango
0
3 months ago
Download
“Unaweza kumwambia Siri żako Kesho akatumia Kama Siri kukuchapa…✍️✍️”
#HubaSeries
#HubaSeries
#HubaSeries by @obbykiwango
2
a year ago
Download
Kuna wakati unajua unachokifanya ni kizuri lakini kuna muda unagundua uzuri wa unachokifanya. Shukrani sana Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete,Waziri wa nchi ofisi ya waziri Mkuu,Kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu kwa kututembelea na kutufunza kwamba “Dhamana ya Uongozi haikufanyi uwe na haki zaidi kuliko mtu mwingine ambae sio Kiongozi” by @obbykiwango
0
a year ago
Download
“Kuchota Busara kwahitaji usikivu,utiifu na heshma.
Ilikua faraja sana kwa wasanii wa Huba na Jiya kupata Fursa ya kufaidika na busara zake Rais Mstaafu Jakaya Kikwete…!
Yeye kuenzi,kuthamini na kutambua Juhudi zetu hakika ni chachu kubwa ya Ufanisi wa kazi zetu” by @obbykiwango
1
2 years ago
Download
Mashabiki zangu wapendwa nimechaguliwa kuwania @tuzozatamthiliatazania katika kipengele cha (UHARIRI BORA - BEST EDITING) 
Kilichobakia  sasa ni wewe Shabiki yangu wanguvu kuweza kunipigia kura iliniweze kuwa mshindi
katika kipengele hiki. 

Jinsi Yakunipigia kura nikama ifutavyo; 
1. Bonyeza link ifutayo https://tuzozatamthilia.info/
2. Kisha Bonyeza kitufe kilicho andikwa(Vote/Piga Kura)
3. Kisha Chagua Kipengelee kilicho andikwa UHARIRI BORA - BEST EDITING
4. Baada ya hapo utachagua jina langu “OBBY KAZI” katika list ya majina ya washiriki wengine
5. Baada ya kufanya hivyo Utaletewa kitufe kilicho andikwa Vote Ukibonyeza tuu Kitakuletea 
Idadi ya kura ambazo unataka kunipigia kisha kwa chini utajaza number yako ya simu 
6. Na baada ya kufanya hivyo Itakuletea ujumbe wakukamilisha malipo ya idadi za kura zako
Kumbuka kura moja ni shilingi elfu moja 
 
Asante kwa upendo wenu na sapoti isiyoisha! 
❤️🙏 Endelea kupiga kura ili ndoto itimie. 🏆

 #TuzoZaTamthilia
 #PigaKuraTukuzeSanaaYetu by @obbykiwango
5
2 years ago
Download
Fredy fredy😭😭😭💡🫡 by @obbykiwango
7
2 years ago
Download
"Wanajaribu lakini kiwango bado,aliyekuwepo yupo na ataendelea kuwepo. Alifanya,anafanya na ataendelea kufanya zaidi,yeye huongoza njia na wengine wanafuata nyuma"
Ni Zam ya Mfale wa Boma"
Si mwingine ila ni Dstv.

#Jiya Series
#Jiya Series 
#Jiya Series 

jiyaseries

@maishamagicbongo 
@loulou_hassan
@azizmohamedsharj
@rashidyabdalla
@zaramwangi 
@kidetejr 
@kidete_vision
@obbykiwango
@fahmi_mohamed7
@onorato_muyinga1
@salimmaru
@abdulkarimdee
@adobeokoye07
@shuunainah
@tadeodavid_photocinema
@masainyota3
@luckey_luckamo
@officialstellambuge
@gabozigamba
@masai_nyeupe
@v_pithia09
@shakeebrafique
@nusrat_rafiquetz
@farzanarafique
@veekashera
@rukhsaar_varda
@jiya_patel_jiyaseries
@_bistar
@shamsaford
@auntyezekiel
@arafatpapati
@akilthebraintz
@Arwapatel2024
@lilboytrey542
@masai_entertainment
@richiemtambalike by @obbykiwango
4
2 years ago
Download
Ndoa ya Nandy na Roy kizungumkuti,akufukuzae hakwambii toka,Mkojani yamemkuta.
Chibu amkatisha tamaa Dada yake,Vipi juhudi Ndoa ya Doris????
Fuatilia Tamthilia ya Huba leo saa 3 usiku.
@maishamagicbongo 
@official_getrudemwita
@kidoasalum
@rammygalisofficial
@nicolejoyberry
@marryblizzy
@azizmohamedsharj
@grace__mapunda
@loulou_hassan
@rashidyabdalla
@big0ne_entertiment
@brendamalembeka1
@officialnandy
@titozimbwe
@benkinyaiya
@zaramwangi
@esha.s.buheti
@ussyhajjizanzibar 
@director_issa 
@_hanipha
@kikiofficialtz
@bonventureabongo
@caymbo_beastus
@godfrey_kazinyingi 
@kidete_vision
@obbykiwango
@qrasdon
@cute_sanaiyan
@tiffney21
@fahmibaghoza
@ahmedbojo
@salimmaru
@nelly_kamwelu
@mbotohajiog
@mkojani_bin_daruweshi
@shany pius_360
@hubaseries_fans 
@shamla_bby 
@abdulkarimdee
@director_issa by @obbykiwango
3
5 years ago
Download
Pata uhondo ndani ya Tv 3 ...NYAVU | leo Saa 1:00 Usiku | @tv3tanzania 🔥🔥 CH.197/ 131
#startimeson #nyavuonstartimes #lipiatukupandishe @startimes @jumasharobaro @johnlister_dir by @obbykiwango
3
5 years ago
Download
@tv3tanzania channel mpya ndani ya king'amuzi  startimes kinakuletea tamthilia ya NYAVU 

Ni  Stori kali, matukio ni 🔥🔥🔥picha yenye ubora wa hali ya juu! Hautobanduka!!

Kuanzia tarehe 5 Julai kupitia @tv3tanzania ni Mara nne kwa wiki Jtatu mpaka Alhamis StarTimes Pekee!

USIPITWE! Offer yetu ya kulipia Smart / Mambo na upate kifurushi cha juu inaendeea🔥🔥🔥

Antena (Mambo) 15000
Dish(Smart) 21000

#startimeson #nyavuonstartimes
@johnlister_dir
@jumasharobaro
@bigone_entertainment by @obbykiwango
0
5 years ago
Download
Sisemi kitu January 4. Mchawi atanasa by @obbykiwango
2
6 years ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up