Instagram story viewer> @official_dyaga> Posts
990
posts
6.1K
followers
2330
following
Journalist 🎤
Sports presenter⚽
News anchor 🎧
News writer ✍️
News reporter 🎤
Am @manutd fan❤️
Facebook: @aminadyaga
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Unaambiwa huko Rwanda si maandalizi ya kagame piq majaribio ya vyuma vipya yanaendelea huko kwa wekundu wa msimbazi Simba. 🙌🙌🎤 I am @official_dyaga by @official_dyaga
0
a day ago
Download
 by @official_dyaga
5
21 days ago
Download
Afisa habari wa klabu ya Yanga Ally Kamwe akielezea hali ilivyokuwa baada ya Pacome kupata majeraha na kufanya wachezaji, benchi la ufundi na mashabiki wakiwa katika hali ya taharuki. by @official_dyaga
364
25 days ago
Download
Kocha mpya wa Yanga Manqoba akiwa mazoezini akiandaa kikosi cha yanga kwa ajili ya msimu ujao 2026 /27🙌🙌🎤 I am @official_dyaga by @official_dyaga
0
a day ago
Download
Kuna ukweli wowote wakuu?? 🙌🙌🎤 I am @official_dyaga by @official_dyaga
0
a day ago
Download
Klabu ya simba imemtambulisha mshabuliaji wa kati Ibrahim Doumbia kutoka katika klabu ya As Korofina ya mali.2025 /2026 Ibrahim alifanikiwa kucheza mechi 24 na kufunga mabao 17na kutoa Asist 5 katika ligi ya Mali🦁🦁 by @official_dyaga
0
2 days ago
Download
Klabu ya Aston Villa imemsajili Alejandro Garnacho kutoka Chelsea kwa mkopo wenye kipengele cha kumnunua moja kwa moja kutokana na masharti waliyowekeana🙌 🙌🎤 I am @official_dyaga by @official_dyaga
0
2 days ago
Download
Tanzania na Jeshi letu 🇹🇿@stevechampion17 @jwtz_military @ngome_media @jeshi_la__wananchi_jwtz @jeshi_la_polisi_tanzania by @official_dyaga
116
3 days ago
Download
Mapema siku ya leo klabu ya simba ilibainisha kuwa itaendelea kusalia na mshabuliaji wa Wydad Casablanca Seleman mwalimu kwa muda wa mwaka mmoja kwa maana ya msimu ujao wa 2026 /2027.Saa chache zilizopita klabu ya wydady imekanusha kuwa haijafanya makubaliano yoyote na klabu ya simba kuhusu mchezaji huyo na ikidai kuwa benchi la Ufundi lina mpango wakumtumia mshabuliaji huyo kwa msimu ujao🙌🙌🎤 I am @official_dyaga by @official_dyaga
0
3 days ago
Download
Eeeh suala limeshakuwa diipu🙌🙌🎤 I am @official_dyaga by @official_dyaga
0
3 days ago
Download
Hujafa bado 🫂@stevechampion17 by @official_dyaga
83
4 days ago
Download
Muda wa wanasimba kufurahi🙌🙌 in @joerwegasira 's voice🙌🙌🎤 I am @official_dyaga by @official_dyaga
1
4 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up