Instagram story viewer> @officialchidi_beenz> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Mwanzaaaaaaaa..... by @officialchidi_beenz
25
2 days ago
Download
Stress ikija... SHIKA-MORE Kicheko. 😄
Problem zikija... SHIKA-MORE Amani. 🤝🏾
Madeni yakija... SHIKA-MORE Raha. ❤️

Mimi @officialchidi_beenz , Adam Mchomvu, Alikiba, Harmonize, Lady JayDee, Frida Amani, Hamadai, Banana Zorro pamoja na Kidum, tumeshachagua upande wa KUIJAZA RAHA ROHO YAKO

FURAHIDEI 24 Julai • SUPERDOME Masaki

SHIKA-MORE... RAHA 24/7! 🔥

Powered by BIGJOE • Clouds Media • Johnnie Walker @jidejaydee @officialalikiba @hamadaitz_ @bananazorro @harmonize_tz @kidumkibido_ @adamchomvu by @officialchidi_beenz
14
6 days ago
Download
Chuma @officialchidi_beenz akapita kusepa na kijiji chake kama ambavyo kila mmoja alitarajia! We unaijua ‘Ngoma Itambae’ wewe!? • #30yaBongoFleva by @officialchidi_beenz
600
15 days ago
Download
@mwasitij na @officialchidi_beenz 🙌🔥 #Miaka30yaBongoFleva 

🎥 @neypaul01 by @officialchidi_beenz
55
15 days ago
Download
 by @officialchidi_beenz
73
25 days ago
Download
KWENDA KWENYE MIAKA 30 YA BONGO FLAVA @officialchidi_beenz came to @mkl_ondon 🇬🇧|🇹🇿 To Show Some Love 🙌🏾.

Much Respect Mwanangu Rashid Abdallah Makwilo taken in Dar Es Salaam, Tanzania, East Africa by @officialchidi_beenz
5
a month ago
Download
Watoto wa 2000 naomba niwatambulishe kwa ndugu yangu anaitwa Rashid Abdallah Makwiro maarufu kama Chuma Chhiii Chiiii @officialchidi_beenz. Sie watu wa miaka ya hapo nyuma kabla ya miaka ya hivi karibuni (tusitumie neno ‘zamani’ please) tulikuwa tuna desturi ya kusikiliza nyimbo za kufoka foka (ndio ilitakuwa tafsiri ya rap 😂) alafu watu wa hip hop tunasema wanachana mistari. 

Sekta ya burudani ilikuwa ndogo sana, yaani mnafahamiana wote, kuanzia watangazaji, waimbaji, wanamitindo, mapromota, wote kuna namna tulikuwa karibu, imagine bila hisani ya whatsapp 🙌🏽

Chidi alikuwa miongoni mwa wasanii wanaochana freestyle na kufanya hip hop vizuri sana. Maisha yakamkuta na ndugu yangu akapata changamoto lakini hakukata tamaa. Chidi anajikutaga mzee wa falsafa sana, namna anavyofikiria na ukauzu wa majibu yake huwa nabaki nacheka sana.

Yote kwa yote nilifurahi kumuona tena jirani yangu kwenye birthday ya @josephkusaga. Kiukweli
@officialchidi_beenz ni mfano halisi wa kuteleza si kuanguka. We are proud of you!

Unaweza kuona maisha yamefikia mwisho lakini kwa pumzi uliyoamka nayo ujue bado unahitajika duniani. Hata kama umekata tamaa, unaona unanyanyasika, unadhalilishwa, unadhulumiwa, unasemwa vibaya, unaona huna thamani…ujue Mungu bado hajamalizana na wewe. Jikung’ute, jikusanye, uanze upya. 

Chidi ana msemo wake anasema ‘Hatushindwi Kitu’. Kutana nae kwenye miaka 30 ya Bongo Flava akiwa na wengine wengi wa miaka ya nyuma 😃🙏🏽 by @officialchidi_beenz
136
a month ago
Download
10.7.2026 miaka 30 ya Bongofleva by @officialchidi_beenz
223
a month ago
Download
Suprise ya CHIFU JOE @josephkusaga Kwenye birthday yake🔥 @officialchidi_beenz by @officialchidi_beenz
392
2 months ago
Download
Happy birthday Mr Joseph Kussaga..Maisha Marefu. by @officialchidi_beenz
13
2 months ago
Download
Mitaa Ishibe 🫡🔥

🗣️Kanji Apigwe Mpaka Asemeee 

Follow 👉 @kingmaokoto_  Upate Mikeka ya kibabe bure kabisa ushindi ✅✅ by @officialchidi_beenz
70
2 months ago
Download
Bukoba ilikuwa moto sana 🔥🔥🔥

Nilipata nafasi ya kufanya show na kukutana na watu wangu wa mtaani—upendo wenu ni mkubwa sana ❤️🙏🏾

Asanteni wote mliojitokeza, mlionipa support na vibes kali 💯 Hii ni mwanzo tu, bado tunaenda mbali zaidi! 🚀

Tazama kipande cha show kwenye hii video 🎤✨
Full video ipo YouTube 👇🏾

https://youtu.be/wvcKY_jEwvc?si=PQj7MiycX-SMQBRq

👉🏾 Link pia ipo kwenye bio
👉🏾 SUBSCRIBE • LIKE • SHARE

Tunaenda juu pamoja 🙌🏾🔥

#Bokubo #LiveShow #SupportLocal #YouTube #Vibes OnT by @officialchidi_beenz
75
2 months ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up