Instagram story viewer> @onetheincredible> Posts
210.2K
followers
9625
following
Artist/Producer
Founder: @cltrmvmnt™ @one_media_tz &
Co- Founder Of @thetouch_tz. #CltrmvmntApparel |
Bookings: [email protected] | 8RY2EQSG
POSTS STORIES REELS TAGGED
Mwanaume wa Kiafrika ndio huyu hapa! 🙌🏿👑
> AFROKANMAN - Vaeni utamaduni, vaeni ubabe.
> Kama wewe ni mtaani na unajua thamani ya style, hii ni yako.
>
> Oda yako tunakuletea popote! 

Cc: @gatezdesigns_ @cltrmvmnt 

#cltrmvmnt #Cltrmvmntapparel #GATEZDESIGNS 
#afrokanman taken in Dar es Salaam, Tanzania by @onetheincredible
1
16 days ago
Download
@onetheincredible — “Kesho Yetu” kutoka Soga Za Mzawa.

@duketachez  kwenye production, @niitesonga kwenye chorus.
Hii ni ile HipHop inayokukumbusha nguvu ya uandishi. Kuna track zinatoka, zinapita. Kuna nyingine zinaacha alama na zinaendelea kuishi kizazi hadi kizazi.

Real Hip-Hop is forever. by @onetheincredible
272
16 days ago
Download
taken in Dar es Salaam, Tanzania by @onetheincredible
35
16 days ago
Download
Leo tarehe 1 Oktoba, 2026, SOMA imeshiriki katika mafunzo ya CMO (Collective Management Organisation) na Artist Management yaliyoandaliwa na @marafikiartsfestival 

Mafunzo haya yanalenga kuwajengea wasanii uelewa zaidi kuhusu usimamizi wa kazi zao za muziki, haki zao, usimamizi wa taaluma zao pamoja na umuhimu wa mifumo ya pamoja ya usimamizi wa haki za wasanii. Vilevile tulipata wasaa kutoka kwa mmoja wa Founding Members kutoka SOMA @onetheincredible ambaye nae alieleza kuhusu SOMA kwa wasanii. 

SOMA inaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kutoa elimu na kuwawezesha wasanii kuelewa na kulinda haki zao pamoja na kunufaika na kazi zao. @cosotatanzania @wizara_sanaatz @marafikiartsfestival @soma.tanzania @onetheincredible by @onetheincredible
3
17 days ago
Download
One The Incredible 40 barz freestyle🔥

#tanzania
#kenya 
#hiphop 
#rap by @onetheincredible
25
18 days ago
Download
> Not just fashion. It's CULTURE. ✊🏿
> AFROKANMAN 🔥
> Available in Black & White.
> DM to order 👉🏿
> #CLTRMVMNT #GATEZDESIGNS #Cltrmvmntapparel

Cc: @cltrmvmnt @gatezdesigns_ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @onetheincredible
3
18 days ago
Download
Jumamosi hii!!

Obsessions Live Album Experience, a music reunion! 

Link ya ticket ipo kwenye hii page @obsesiiions 

Moment flani memorable. 

#october3rd #obsessions by @onetheincredible
25
19 days ago
Download
Tulitengeneza AFROKANMAN kwa ajili ya yule kaka anayejivunia asili yake. Afro sio nywele tu, ni alama ya nguvu, ya historia, ya ufalme. 👑
> Ndio maana tumeweka na taji.
> Unapovaa hii, unavaa utambulisho wako.
> Karibu kwenye movement.
#cltrmvmnt #Cltrmvmntapparel #GATEZDESIGNS 

Cc: @cltrmvmnt @gatezdesigns_ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @onetheincredible
9
19 days ago
Download
> AFROKANMAN is here! 🔥👑
> Street wear done RIGHT. Sio t-shirt tu, ni statement.
> Long sleeve | Quality kali | Design ya kipekee
>
> PLACE YOUR ORDER NOW!
> 📲 0745 439 635 | 0718 228 899
>
> #cltrmvmnt #Cltrmvmntapparel #Afrokanman #StreetWearTz #GATEZDESIGNS

Cc: @cltrmvmnt @gatezdesigns_ taken in Dar es Salaam, Tanzania by @onetheincredible
11
20 days ago
Download
Mdundo uliguswa na mtu hatari MUJWAHUKI. The rest is history. Na wazo la Nikki Mbishi kuwa wa mwisho kwenye hili dude lilikuwa wazo bora kwenye huu muwa. One of My best song ever from Tamaduni MC's.🙌🏻 by @onetheincredible
143
20 days ago
Download
FUTURE NI LEO COME ALIVE 2026 🇹🇿

Tutakuwa Na PANEL MAALUM Kuanzia saa 8 Kamili Mchana , pale Don Bosco/Osterbay!

PANEL /Kongamano Ni FREE Kabisa!
Vaa | Pendeza | Wahi Mapema.

N.B
Baada Ya PANEL, Tutakuwa Na Burudani Za wasanii Mbali Mbali Na Deejays wa Tanzania Kuanzia saa 12 Jioni Hadi Usiku.

Tupo Na ONE THE INCREDIBLE, Moko wa Miujiza 

List Bado Inaendelea Kuwa Karibu Na Page ya @futurenileo

JIONI / USIKU 
KIINGILIO Ni Kununua Moja Ya Bidhaa Zetu
Kutoka Future Ni Leo Ziko Hapa ==>> @b_plus.tz 

Bei Ni Rafiki Kwa Mtanzania Kuanzia 5k 

FUTURE NI LEO, WEAR THE VISION.. 🌍 by @onetheincredible
27
25 days ago
Download
Ilitoka wakati huo chini ya MLab Records, Album yote ilikuwa hatari sana.[SAUTI YA JOGOO] Kwa Duke Tachez na Brother Patrick.[Patrick Gondwe].

Ilibidi akae G Nako, Ikashindikana ikaingia miujiza. One The Incredible unasikia huo M-Verse.🙌🏻

Alafu The Late Godzilla anaenda kama Jay Z kwenye Run This Town. Chorus ya Belle 9 ni mazishi alafu hiyo finishing ya Nikki Mbishi.🙌🏻 Huu muwa ulikamilika kila eneo, Huo muwa ni 10/10.🙌🏻 by @onetheincredible
283
a month ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up