CALEBINTO ENTERPRISES LTD AND MUULOVE BRAND Presents
DADAZ NIGHT FINAL CONCERT Hapa Tunakuwatanisha Mafundi Wa Kuyaimba Mapenzi...!! Wenye Ushawishi Uliopitiliza Kwenye Nyimbo Za Mahaba...!! KING OF HEART'S @juma_jux MOPAOO @barnabaclassic Pamoja Kijana Aliyesumbua Mwaka 2022 @realjaymelody
Mwana Dar Es Salaam Utake Nini Tena...!! Usitake Kuidhurumu Nafsi Yako,Unachopaswa Kufanya Ni Kupita NILIPE APP Chukua TIKETI Yako Mapema Kisha Tukutane Viwanja Vya POSTA KIJITONYAMA Mkesha Wa Mwaka Mpya 31.12.2022