Instagram story viewer> @kuzachap> Post
2 years ago
Co Creator: mtandaonii
64
Posted On: September 26th 2024, 01:21 pm
Tagged Users:
Asante sana @kilelenii Kwa Kutuamini.

Tembelea kuzachap.com kujihudumia.

Kwa maulizo zaidi, wasiliana na Msaidizi 0714251702.
Comments (64)
miamala__ 16 days ago

miamala__

Safi👏

tattoo_tanzania a month ago

tattoo_tanzania

Kafite commente zako kwenye account yangu, mimi sio tapeli kama wewe, JIELEWE umenitapeli 3500 alafu unaendelea kunihalibia biasha

tattoo_tanzania a month ago

tattoo_tanzania

👏👏👏👏👏 Umejitaidi sana kuweka comment za kuhalibu biashara yangu🔥🔥 ila acha nikuambie wewe unanunuwa vita ya kibiashara ambayo madhala yake ni kuwashtuwa watu ili wakuogope na wakujuwe kwenye utapeli wako 🙌 Jana umesema utanifanyia kitu kibaya, leo sitoamka, nimeamka na naenda kukufungulia kesi, sababu umenihaidi kuwa utanifanyia jambo baya

camycarso 4 months ago

camycarso

Shngp

afriworldconnect 7 months ago

afriworldconnect

Nimelipa, lakini hela hamjaionyesha kwenye balance. Mkaniomba msg ya muamala, nimewatumia lakini mok leo ni wiki mmekaa kimya na msg mna blue tik

call_me_joe61 10 months ago

call_me_joe61

Ingia dm

dray_tz a year ago

dray_tz

Hao followers wanatoka Wapi?

smile_computers_ a year ago

smile_computers_

📢 MATAPELI 📢 MATAPELI 📢 MATAPELI 📢 📢 USIJE UKATHUBUTU 📢UTANISHKURU

okwii_davoo a year ago

okwii_davoo

Nataka kurudisha akaunt email naikumbuka password nimesahau na lain niliyokuwa natumia nimebadrisha miaka mingi

theindustrysigntz a year ago

theindustrysigntz

Njoo tukufungulie account na uweze kujiboostia mwenyewe na kuboostia wengine

abrih_kitchentz a year ago

abrih_kitchentz

brother mbona hupokei cmu

karol_charles_mb a year ago

karol_charles_mb

@iddy_stay check this out

chaser_media 2 years ago

chaser_media

Na kuna watu wanaamini 😂 Dah, there’s no such a thing kama ii, weka ig details zako kwa website yao wakuhack wachukue account yako! Me nilishawah kufanya hizi mambo, najiwekea followers hata 1m but naona peke yangu tu ndo ikawa njia ya kudanganyia watu nihack account zao niziuze, 4-5 yrs ago

ashi_cyrill 2 years ago

ashi_cyrill

Mbona follower wanachuka kutoka 1,000 hadi 280 nipe maelezo boss ?

king_.a.s.u.r.a 2 years ago

king_.a.s.u.r.a

Na followers million Moja ni shingapi?

Load More

More posts

back to up