Instagram story viewer> @mtandaonii> Posts
370
posts
81.3K
followers
1003
following
🚀 Nakusaidia Kupata Wateja Online
📈 Biashara 5000+ Zimeongeza Mauzo
🎯 Ads | Content | Training
👇 Jifunze au Pata Huduma!
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Asante sana @kilelenii Kwa Kutuamini. Tembelea kuzachap.com kujihudumia. Kwa maulizo zaidi, wasiliana na Msaidizi 0714251702. by @mtandaonii
85
2 years ago
Download
Je, Unaijua Siri Ya Kuleta Matokeo Makubwa Kwenye Matangazo Ya Kulipia Instagram?Tumekuandikia kozi ya “Namna Ya Kufanya Matangazo Yenye Matokeo Makubwa” yenye siri zote za kufanya matangazo yako kuleta wateja.Inawafaa wale wanaochipukia katika ulimwengu wa kufanya matangazo hadi kwa wale wanaotafuta kuboresha matangazo yao, hii ni fursa yako ya kupata ufahamu wa kitaalamu na mikakati inayofanya kazi.🎓 Jifunze Jinsi Ya:🚀 Kuepuka Kosa Kubwa linalosababisha Matangazo Mengi ya Kulipia Yasiwe na Matokeo!🎨 Kuweka Tangazo Litakalokuletea Matokeo Makubwa.💡 Ushauri wa Bure wa Kitaalamu kuhusu Matangazo Ya Kulipia. BONUS: Namna Ya Kufanya Matangazo Hatua Kwa Hatua Kwa Mtu Ambae Hajawahi Kufanya Kabisa.Masomo Yote Yapo Kwenye Website (Videos), Bonyeza Link Hapo Chini Sasa Hivi Kuanza Darasa. Jiunge sasa hivi na upate ufahamu wa kitaalamu unaoweza kuboresha matokeo yako ya matangazo! 💡✅Kwa Maulizo - 0758 897829#MatangazoYaInstagram #KoziYaBiashara #MatokeoBora by @mtandaonii
687
3 years ago
Download
Namna Ya Kutoa Zuio La Kupata Followers kwenye account yako ya instagram. Maelekezo. Ukiwa Kwenye Profile Yako. 1. Nenda kwenye sehemu ya “Settings and activity”2. Search au chagua sehemu ya “Follow and invite friends”3. Kisha Zima/Disable sehemu ya “Flag for review” Baada ya hapo unaweza kuendelea na majukumu mengine ya kujenge taifa, amani. ✌🏼 by @mtandaonii
32
2 years ago
Download
#tutakupigapicha 😂 by @mtandaonii
4
3 days ago
Download
#contentcreater #mtandaonii #tanzania by @mtandaonii
21
13 days ago
Download
Account yangu ilienda na kimbunga, nikapiga simu moja kwa @mtandaonii nikamwambia “mkuu page ya masimango imeondoka” akasema “cool down, nilizaliwa kwa ajili hiyo” 😁🙌Guess what, ndani ya muda mchache Page ya Masimango imerudi. Kama una changamoto yoyote ya mitandaoni mchecki @mtandaonii by @mtandaonii
57
16 days ago
Download
Prompt ipo kwenye comments! by @mtandaonii
75
16 days ago
Download
“Tangazo lisikae muda mrefu.” 🤔Hii ni moja ya kauli ninazosikia mara nyingi kutoka kwa wamiliki wa biashara.Lakini je, ni kweli?Jibu ni HAPANA.Ukiona tangazo linaendelea kuleta wateja kwa gharama nzuri, hakuna sababu ya kulifuta kwa sababu tu “limekaa muda mrefu.”Kulifuta kunaweza kukufanya:❌ Upoteze data muhimu ambayo Meta ilikuwa imekusanya.❌ Uanze upya mchakato wa kujifunza (Learning Phase).❌ Upate matokeo mabaya kuliko yale uliyokuwa unapata.Badala yake, fanya hivi:✅ Endelea na tangazo linalofanya vizuri.✅ Tengeneza creative mpya na uifanyie majaribio.✅ Zima tangazo la zamani pale tu litakaposhindwa na jipya kwa data.Usibadilishe kinachofanya kazi. Badilisha kinachoacha kufanya kazi. 🎯Je, wewe uliwahi kufuta tangazo kwa sababu uliambiwa “limekaa sana”? Tuambie kwenye maoni. 👇#mtandaonii by @mtandaonii
15
19 days ago
Download
#instagram #disabled #suspended #meta @yramtrends 🔥✔️👍🏻 by @mtandaonii
1
23 days ago
Download
Kwenye video hii nakuonyesha namna ninavyoset tangazo, kuandika primary text, headline, na description kulingana na level ya utayari wa mteja.Sio kila mteja yuko tayari kununua leo, ukijua hilo, ads zako zinabadilika kabisa.#adsmanager #mtandaonii by @mtandaonii
12
24 days ago
Download
#suspended #disabledinstagram #insta #mtandaonii! @casa_luna_apartments by @mtandaonii
18
24 days ago
Download
Bravo Ameoa. by @mtandaonii
33
a month ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up