Instagram story viewer> @hplusmastersaloon> Post
2 years ago
katika maisha ukiona sababu 10 za kukuliza ujue ni maandalizi ya sababu 1000 za kukufrahisha naipenda Simba kuliko kitu chochote Kwa sababu hata mwanamke wangu hapati unyumba Simba ikifungwa  na kama chakula ndo kutamu sana  huwa sipati hamu ya kula Wala kugusa chakula Simba ikifungwa na kama haitoshi huwa naweka pesa ili kuipa nguvu Simba ishinde  kwahio inatosha kusema naipenda Simba kuliko kitu chochote.  Napenda kuwaomba Wana Simba wezangu  tuishi katika njia zifuatazo.  Tukipoteza point tuishi katika 
@nguvumoja na tukishinda basi tuishi katika @ubaya_ubwela_sc  Jana kijana wetu @official_ladack_chasambi alikuwa na wakati mzuri sana
 Na kama sikosei lisingetokea Hilo kosa bas alistahili kuwa man of the match  naomba kutamka Leo Simba ni dude kubwa sana kila timu inajiandaa inje ya uwanja na ndani ya uwanja tunapokutana nazo huwezi amini yule golikipa kama yupo @fountaingate_fc Kwa alivyo daka Jana naomba tusimulaumu yeyote kwani hata dhahabu hupata samani yake halisi baada ya kuchomwa kwenye moto mkali aminini na waambieni huyu kijana thamani yake IPO kalibu na Leo nitaongea kama mtabili IPO sku tutawaimba Kwa nyimbo zote Hawa watu nilio wapost hapo juu  na ndo waliofanya kila hitaji letu Jana  ukweli kabla ya kutuumiza chasambi alikuwa mchezaji hatari sana  acha niwataje wanadamu tumeumba kusau @elie_mpanzu_official @ladark_chasambi ni watu hatari sana.  Nawaomba sana tustie maneno ya kuumiza wachezaji wetu makosa yapo Kwa ajili yetu. @simbasctanzania @ahmedally_ @crescentius_magori @murtaza._mangungu @wasafifm @wasafitv @cloudstv @crownfmtz @crowntvtz @shaffihdauda_tz @georgeambangile @azamtvsports @azamtvtz 
 
SIMBA  NGUVU MOJA.  @official_ladack_chasambi @ladark_chasambi  ni zawadi kuwa Simba wachezaji wa aina yake wamebaki wachache sana duniani wengi wanajua kupokea mpira na kutoa pasi but kwake unapata kila kitu
1
Posted On: February 7th 2025, 08:28 am

Comments (1)
maswilalucasdaud 2 years ago

maswilalucasdaud

IT WAS A CHASAMBI DAY

More posts

back to up