Instagram story viewer> @wasafifm> Posts
203842
posts
6.4M
followers
2
following
88.9 Dar/Znz/Pwani | 104.1Dom | 94.5Arusha | 97.3Mbeya |94.9Mwanza | 106.3Shinyanga | 101.7Kigoma | 94.5Tabora | 104.5Tanga | 100.5 Iringa |100.7Moshi
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
WASAFI MEDIA and @tala_waves present to u THE NBC MARATHON @nbc_tanzania PRE-PARTY at @talatala_lounge with the Mega Superstar from Badnation @marioo_tzRunners na wapenda burudani wote tukutane tarehe 25 Julai 2026 pale @talatala_lounge tule bata la Live Band kutoka kwa @marioo_tz na @heroes_band26 na kesho yake tukimbie pamoja kwenye Mbio za NBC MARATHONPowered by: @wasafitv @wasafifm @tala_waves@talatala_lounge na @heroes_band26 by @wasafifm
78
5 days ago
Download
Baada ya Kuwasili Tarime Simba @Diamondplatnumz amewashika mkono Wanawake Wafanyabiashara wadogo zaidi ya 600 kwa kuwapatia mtaji wa shilingi laki moja (TSh 100,000) kila mmoja, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi zao za kujikwamua kiuchumi na kukuza biashara zao.Hii Ni Kuelekea Retro Tour Jumapili Hii Katika Uwanja Wa Shamba La Bibi, Ambapo Wakazi Wa Tarime Watapata Burudani Kali Kutoka Kwa @diamondplatnumz. Cc. @serengetibeer & @cmghoteltarime by @wasafifm
4k
8 days ago
Download
Asanteni sana kwa wote mliojitokeza na kushiriki katika uzinduzi wa kampeni ya Simama Naye, Ukitoa Anaishi kwa ajili ya kusaidia watoto wenye ugonjwa wa Selimundu. ❤️Ushiriki na sapoti mliyoionesha ni mwanzo wa safari ya kuleta matumaini mapya kwa watoto na familia zao. Kwa pamoja tunaamini tutakusanya msaada utakaogusa na kubadili maisha ya wengi.Hii ni hatua ya kwanza ya safari ya upendo na mshikamano. Tuendelee kusimama nao, kwa sababu ukitoa, anaishi. 🙏Toa Mchango wako kupitia Control Number : 986930000001 - Jina: BMH ORGAN TRANSPLANT Cc. @bmhdodoma @diamondplatnumz #SimamanaeUkitoaAnaishi by @wasafifm
136
a month ago
Download
"Kabla Ya Kukata Wese, Tunakata Stress Kwanza Pale @talatala_lounge Kwenye Pre-Party" - @theheavyweight1 (Msabaha) Kuelekea Mbio Za Nbc Dodoma Marathon Kesho Pale Uwanja Wa Jamhuri, Dodoma. @nbc_tanzania #KataWeseOkoaMaisha by @wasafifm
9
26 minutes ago
Download
Kilomita 42 Ni Chamtoto Kwa @ricardomomo Anazitaka Kilomita Hata 80 😀🙌 | NBC Dodoma Marathon 2026 Kesho Tunazikata Wese Kilomita 10, 21 - 42 Za Nbc Dodoma Marathon Tukianza Pale Uwanja Wa Jamhuri, Dodoma 🔥. @nbc_tanzania #KataWeseOkoaMaisha by @wasafifm
10
40 minutes ago
Download
"Sisi tutakimbia Kilomita 10 Bila Shida, Yani Bila Haraka😁" - @heavyweight_dullah Baada Ya Kutua Dodoma Kwa Ajili Ya Kukata Wese Kwenye Mbio Za Nbc Dodoma Marathon Kesho Zitakazoanzia Pale Uwanja Wa Jamhuri. @nbc_tanzania #KataWeseOkoaMaisha by @wasafifm
9
an hour ago
Download
Kutoka Sports Arena @brownmchapakazi Tayari Yupo Dodoma.... Ambapo Atakesha Kwenye Burudani La Pre-Party Kisha Kuamkia Kukata Wese Kilomita 42 Za Nbc Dodoma Marathon Kuanzia Pale Uwanja Wa Jamhuri🔥. @nbc_tanzania #KataWeseOkoaMaisha by @wasafifm
6
an hour ago
Download
Marathon Haiwezi Kuisha Kinyonge Bila Burudani!! Huyu Hapa ASUMANII @djallybi Tayari Ametua Dodoma Kwa Ajili Ya Kuwapa Vibe Wakazi Wa Dodoma Pale Uwanja Wa Jamhuri Baada Ya Kukata Wese !!! 🙌Fanya Uwahi Mapema Kesho Uwanja Wa Jamhuri 🔥🔥@nbc_tanzania #KataWeseOkoaMaisha by @wasafifm
20
5 hours ago
Download
"Wote Tunamkaribisha @marioo_tz Dodoma, Tunamtegea Leo Kutupa Burudani @talatala_lounge" PRE-PARTY | NBC DODOMA MARATHON - MARIOO (Leo Jumamosi Talatala Lounge - Dodoma) Hizi ndizo Table Packages Reserve Your Table now:* Marathon Royal Table: 1m (10 people)* Marathon VIP Table: 500k (5 people)* Marathon Twin Table: 200k (2 people)* VIP: 50k* Regular Entrance: 20KDate: 25.7.2026Venue: @talatala_loungeContacts: +255 777 155 315 by @wasafifm
11
5 hours ago
Download
BAD @marioo_tz Tayari Ametua Dodoma Kwa Ajili Ya Kukiwasha Kwenye Pre-Party Ya NBC Dodoma Marathon Leo ndani Ya @talatala_lounge. Ikiwa ni muda mrefu hajafanya show Dodoma, ameahidi kuandika historia kubwa ndani ya Talatala kwa kuwapa wakazi wa Dodoma burudani yenye hadhi wanayoistahili 🔥🔥🔥🙌. Dodoma Leo Sehemu Ni Moja Tu @talatala_lounge !!PRE-PARTY | NBC DODOMA MARATHON - MARIOO (Leo Jumamosi Talatala Lounge - Dodoma) Hizi ndizo Table Packages Reserve Your Table now:* Marathon Royal Table: 1m (10 people)* Marathon VIP Table: 500k (5 people)* Marathon Twin Table: 200k (2 people)* VIP: 50k* Regular Entrance: 20KDate: 25.7.2026Venue: @talatala_loungeContacts: +255 777 155 315 by @wasafifm
44
5 hours ago
Download
"Mimi Kwanza Ni Shabiki Mkubwa Sana Wa Marioo, Lazima Niwepo Leo Kwenye Pre-Party @talatala_lounge"PRE-PARTY | NBC DODOMA MARATHON - MARIOO (Leo Jumamosi Talatala Lounge - Dodoma) Hizi ndizo Table Packages Reserve Your Table now:* Marathon Royal Table: 1m (10 people)* Marathon VIP Table: 500k (5 people)* Marathon Twin Table: 200k (2 people)* VIP: 50k* Regular Entrance: 20KDate: 25.7.2026Venue: @talatala_loungeContacts: +255 777 155 315 by @wasafifm
2
6 hours ago
Download
MWANAMKE CHUKUA CODE KUTOKA KWA @director_onnesmo_tz ITAKUSAIDIA#lavidavi by @wasafifm
37
9 hours ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up