Instagram story viewer> @wasafifm> Tagged
198687
posts
6.2M
followers
1
following
88.9 Dar/Znz/Pwani | 104.1Dom | 94.5Arusha | 97.3Mbeya |94.9Mwanza | 106.3Shinyanga | 101.7Kigoma | 94.5Tabora | 104.5Tanga | 100.5 Iringa |100.7Moshi
POSTS STORIES REELS TAGGED
Hustling to Turn my Dream to reality, @harmonize_tz kwangu alikua boss wangu nikiwa dancer wake, KING @officialalikiba kwangu bado ni Boss na mlezi wangu kwenye Media. Leo  wamekutana na mimi nikiwa Director wa Kazi yao.

Asante kwa upendo wenu kaka zangu neno la asante kwenu pamoja na team zenu halitoshi, haijakua rahisi kupata imani yenu, hii ni ishara tosha ya upendo na heshima katika kile nafanya. Msichoke kufanya kazi na biashara na mimi pamoja na team yangu.

Team The Throne hii ni alama ya kipekee na hakika siwezi isahau, Kwa wanangu kitaa tunaondelea kuzikimbiza ndoto zetu inawezekana tuendelee kupambana na kwa hakika ushindi uko mbele yetu @dullahplanet @lesa_sid @tony_sixteen @crownfmtz

Thanks for everything mah brothers ❤️ mnamchango mkubwa sana katika ukuwaji wangu @officialalikiba @harmonize_tz

Trust me sitokuja kuwaangushaa bado nasafari ndefu
289
back to up