29 minutes ago@airiness_store ya tano 😢😢😢 angeitoa kwanza😂😂 mbona mambo makubwa yapo mengi
an hour agoMbona siku hizi tunajihudumia wenyewe kwa kila kitu,mwanaume ni kama tairi la ziada tu Ukisubir huduma kwa mwanaume utasubiri sana.
3 hours agoHela ya mwanaume ni ya ziada tu wanawake wenzangu tupambane tupate pesa…pesa yako tamu sana kuliko ya kupewa trust me 👏
5 hours agomwanamke yeye anayataka hayo mambo unayo yasema hapo sisi wanaume tuwape ila wenyewe wanataka watupe tu stress ndo wenyewe wanacho kijua tu kwetu .
