a year agoMBONA UNAIHUJUMU CLUB YETU YA SIMBA?!,HIVI ULIKUWA NA SABABU GANI YA KUMKATAA AZIZ K?!,ULIKUWA NA SABABU GANI YA KUMKATAA MAX NZENGELI?!,ULIKUWA NA SABABU GANI YA KUMKATAA PACOME?!.halafu unatoka hapo unawaita baadhi ya wanachama na mashabiki wa simba na kuwaambia kuwa eti Tajiri MO hataki kutoa hela ya usajili,unataka nini kwa kuyafanya yote haya?!,
a year agoAsante bosi. Nimekupenda bure. Upo began kwa began na timu. Msisikilize maneno ya watu. Kaeni chini mjenge timu. Kutoelewana ndani ya timu ni kawaida ila kutoelewana kusije kuleta mfarakano.
a year agoJamni naipenda Sana Simba..... Ila kwa swala la kipa naombeni viongozi walifanyoe kazi mana Kuna magori tunafungwa uzembe wa kipa..... Natamani sana kipa wa jkt aonekane kuchezea Simba yule dogo anajua sana ataziba pengo hilo Simba sio kujaza makipa wengi alafu hawana kazi ombi langu kwa viongozi wa Simba ni Hilo natamni kukuona huyo kipa.akidkia Simba na magori ya hovyo hovyo hatutafungwa tena
a year agoMKUU namna pekee kuepuka huu mtego ni kununuliwa tickets zote za elfu 60 alafu caf watatueleza hawa watu elfu 45 tuwapeleke wapi Maana amani stadium ni watu elfu 15 @salim_tryagain
a year agoMh pole na kazi nipo chini ya miguu yako nakuomba mfanye mfanyavyo fainali ichezwe kwa mkapa nusu ya nchi ni mashabiki wa simba tutaumia sana mechi kwenda zanzibar hasa simba akakosa kuchukuwa kombe mashabiki wote tutalaumu viongozi tusaidie una nguvu una uwezo mkubwa wa kazi CAF wasituzidi maamuzi ya nchi hao Berkane wanapajua kwa mkapa wanatumia fursa kuforce kwa viongozi wa CAF mechi iende huko
