Instagram story viewer> @salim_tryagain> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Nafasi kupokea maombi ya kusoma kozi ya FIFA Diploma in Club Management inefunguliwa. Nafasi zipo chache, kwa ambaye angependa kushiriki atume maombi kupitia email Digreport22@icloud.com by @salim_tryagain
25
a month ago
Download
Leo nimepata nafasi ya kumtembelea Mhe. Rais wetu, Dkt. Samia Suluhu Hassan kumpa pole na kumfariji. Tunazidi kumuombea mzee wetu Hafidh Ameir Hassan kwa Mwenyezi Mungu aipokee roho yake mahala pema peponi na kumuonea dua. by @salim_tryagain
56
a month ago
Download
 by @salim_tryagain
23
7 months ago
Download
Heri ya mwaka mpya 2026 kwetu sote. Ukawe mwaka wa baraka kwa kila mmoja wetu, tuwe na afya njema na mafanikio tele. Mwenyezi Mungu atubariki. by @salim_tryagain
25
10 months ago
Download
Leo tunakamilisha siku 365 za mwaka 2025, ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kipindi cha mwaka mzima ambao amekuwa nasi. Ni mengi yametokea lakini wema wake umekuwa mkubwa kwenye maisha yetu. Tuzidi kuombeana dua tukamilishe masaa kadhaa yaliyobaki na tuuone mwaka mpya wa 2026. by @salim_tryagain
6
10 months ago
Download
“Ndani ya Bodi ya Simba kazi yetu ni kuhakikisha brand ya klabu inazidi kupanda siku baada ya siku. Nguvu kubwa ya Simba ni mashabiki wake ambao wanafanya wadhamini waje kuwekeza kwenye klabu yetu. Sisi tunataka Simba izidi kuwa na nguvu ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.”

“Kwa mashabiki wa Simba tuipe ushirikiano @betwaytanzania_ ili wapate wanachokihitaji na hata ambapo tutakuja kusaini mkataba mwingine tupate fedha zaidi. Lakini pia waendelee kuipa ushirikiano klabu yao.”- Mjumbe wa Bodi, Salim Muhene. #BetWay #NguvuMoja by @salim_tryagain
318
a year ago
Download
Sikiza kiumbe mambo kwa mpango,sijifanye ng’ombe jitulize bongoo,
Jino la pembe si Dawa ya PENGO🤔 by @salim_tryagain
539
a year ago
Download
Insha’Allah huu utakuwa mwaka wetu wa mafanikio makubwa barani Afrika. Tuna kila sababu ya kushinda ubingwa huu. Hii Tunabeba. by @salim_tryagain
144
a year ago
Download
Furaha ya mbingu ya saba unaijua? Ndipo ilipo furaha aliyonayo Mjumbe wa Bodi, Salim Muhene ‘Try Again’.

Furaha yako ipo mbingu ya ngapi? #WenyeNchi #NguvuMoja by @salim_tryagain
361
2 years ago
Download
Tumevuka kwa kishindo. by @salim_tryagain
219
2 years ago
Download
Kabla ya kuondoka Cairo kurejea nyumbani Tanzania, nilipata nafasi ya kutembelea Ubalozi wetu wa Tanzania nchini Misri.

Nilikutana na Mhe. Balozi Meja Jenerali Richard Mutayoba Makanzo pamoja na maafisa wa Ubalozi kubadilishana mawazo pamoja na kuzungumzia maandalizi ya awali ya mchezo wetu ambao unatarajiwa kufanyika Aprili 2, 2025 dhidi ya Al Masry.

Balozi amenihakilishia kwamba tayari Ubalozi umefanya maandalizi ya kuipokea timu yetu jambo ambalo linatupa matumaini ya kwenda kufanya vizuri.

Kwa niaba ya Rais wa Klabu ya Simba namshukuru sana Mhe. Balozi pamoja na maafisa wa Ubalozi. by @salim_tryagain
34
2 years ago
Download
Nikiagana na Rais wa FIFA, Gianni Infantino baada ya mazungumzo mafupi katika hoteli ya Marriott iliyopo Giza karibu na zilipo pyramid. Tuko hapa Cairo, Misri kushiriki Mkutano Mkuu wa 14 wa CAF (The CAF 14th Extraordinary General Assembly). taken in Cairo, Egypt by @salim_tryagain
111
2 years ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up