23 days ago🤣🤣🤣 watu tulikuw tunakuon mtu wa maan mwenu subra tukajua unapamban kwasababu ya simba duh kumba mhujumu kabis mo alitukosea san kukuweka kweny uongoz @simbasctanzania
2 months agoJeyruty mnampiga vita @rashid_juma47 unamkumbuka daahh wewe baba wewee
3 months ago@salim_tryagain wewe ninani labda umetumw kuleta migogoro kwenye simba sasa safari hii hutoboi
3 months agoInatosha inatosha inatosha ww baba kuna timu nyngi zinahtaji watu wa kuzifadhili tunakuomba hii timu ni ya watu wote wanaoipenda kwa dhati why uwe unazunguka muda wote kuiaribu timu pindi haupo kwenye mfumo wache wenzako wafanye kazi muda wako na akina sawa dogo ,apparently inatosha tafta sehem nyngne ya kusumbua damu zingne changa zifanye kaz hata uanachama hautoshei kwa sasa kaa pemben kabisa na mwenzako chief mangungo msovero man" oneni aibu
10 months ago@salim_tryagain Mzee wetu unapata raha gani unapotuona mashabiki wa Simba SC tukikusononekea...sisi tunamshitakia Mwenyezi Mungu aliyeumba mbingu ardhi na Maji ndiye pekee usipoacha iyo tabia yako akuadhibu wewe na kizazi chako chote😢
10 months agoWatu wasiangaike na albadili wakati ukweli wote wanaujua nani chanzo ndio ujue wanakuogopa sababu walikuwa wanapata mseleleko wa bahasha toka kwako kama mainfluancer wa simba
10 months agoHuyu ndio source ya poor governance.. bora usepe tu watu hawakutaki unaishia kuwapiga pini wachezaji
