Instagram story viewer> @quickrocka> Post
a year ago
67
Posted On: July 13th 2025, 07:58 am
Ellen nini tena kupeana pressure na hasira asubuhi asubuhi ๐Ÿ˜ก

#JuaKali
#Maria #KakaFule
@maishamagicbongo @dstvtanzania
@lamataleah @juakali_tamthilia
Comments (67)
mwanahamis2768 8 months ago
mwanahamis2768 8 months ago
hashim_nndola a year ago

hashim_nndola

Ungemtua hata bao

dijavabby a year ago

dijavabby

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚fumanizi la maana๐Ÿ™Œ

jacquekunda a year ago

jacquekunda

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

kiegezofatuma a year ago

kiegezofatuma

Usipanick๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

official_.dorice a year ago

official_.dorice

Maria akizaa jmn mniambie nilipie kifurushi ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข

therealabra_ a year ago

therealabra_

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Tunajua hakuna kitakachotokea hapo yani MARIA atazuga kwavile FRANK anampenda watasameheana basi ndio kila siku itakuwa ivyo

maggytatcher a year ago

maggytatcher

Siku zinaenda wapi hiyo mimba ina miaka miwili Maria hajifungui tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

beautytrinnaty a year ago

beautytrinnaty

Ifike mahali Maria ajurikane nabaya yake Bana Lamata sasa unatuchosha hapo utamkuta Maria yupo nje Kwa bill๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Lamata tumechoka fanya Maria Juwa limuwakie

wilhcreen_collection a year ago

wilhcreen_collection

Mbea mzur alikua ...lulu mwee๐Ÿ˜ข

whosner a year ago

whosner

Tunaomba maria umkamate bila kupepesq macho muachane รฑa aseme ukwel mimba ya nan jtano tunasubir kwa ham

miss_honello a year ago

miss_honello

Maria asipodakwa leo basi Lamata anatuona sisi wehu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

irene8127 a year ago

irene8127

Yaan Hellen anakupa taarifa za Maria alafu anakwambia ucpanic alidhani wew ni Idd, ona sasa ulivoenda kugonga mlango kwa hasira๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

love_dove202 a year ago

love_dove202

umeambiwa usipanick sasa ww nenda payuka mariaaaa mariaaaa๐Ÿ˜‚ ajifiche

Load More

More posts

back to up