Instagram story viewer> @ludacriss97> Post
a year ago
5
Posted On: July 29th 2025, 05:36 pm
Ilikuwa ni wasaa bora na wa neema kuonana na Paroko wa Parokia ya Ichwandimi (Uganda Martyrs Catholic Church – Ichwandimi Parish) pamoja na wasaidizi wake.
Tulibarikiwa kwa mazungumzo yenye hekima, upendo na mwanga wa kiroho. Ni faraja kuona utume wa Kristo ukiendelea kwa moyo wa unyenyekevu na bidii.
Tunaendelea kuwaombea, ili Mungu azidi kuwatumia kama vyombo vya amani, tumaini na nuru kwa jami

#catholicchurch #kagera
Comments (5)
seductive255 a year ago

seductive255

Ulivo tulia sasa kama mtu vile😂😂😂😂

More posts

back to up