Posted On: December 18th 2025, 05:12 am
Je, uko tayari kwa 'Adventure' ya mwisho wa mwaka? 🐘
Jiunge nasi kwa safari ya siku 2, usiku 1 kwenda Nyerere National Park
@nyerere_national_park, kirahisi kabisa kutokea Dar es Salaam! 💫
Hii si safari ya kawaida; ni uzoefu wa kuishi ndani ya pori!
✅ Bush Dinner: Furahia chakula cha jioni kando ya bonfire chini ya mwezi.
✅ Camping Experience: Lala katikati ya asili, ukisikia sauti za mto Rufiji na wanyama wa usiku. Ni utulivu ambao huwezi kuupata mjini.
✅ Wildlife: Kutana na Simba, Tembo, na Mbwa Mwitu wakiwa kwenye mazingira yao ya asili.
Kuandaa safari yako sasa ni "bonyeza tu"!
Tumia mfumo mpya wa
🌍📲 www.mytanzaniasafari.app
💺 kulipia safari yako haraka na kwa usalama.
👌Hakuna haja ya foleni, kupiga simu, kuandika barua pepe wala makaratasi mengi!
Msimu huu wa sikukuu, jipe zawadi ya utulivu wa porini, twende Nyerere National Park, twende na Shangwe la Sikukuu!. 🇹🇿
.
.
#SafariByAfriRoots#MyTanzaniaSafariApp #TanzaniaSafariBookings
#NyerereNP #BushCamping