Instagram story viewer> @_esmaplatnumz> Post
8 months ago
Co Creator: esma_luxury_collection
36
Posted On: February 24th 2026, 03:44 pm
Mitandio yetu pendwa imerudiii ila wateja mnajua kunipa raha mnachotaka nawaletea bila hiyana haya njoo uchague rangi yako pendwa

Abaya Langu Tshs 155,000
Mitandio Tshs 35,000

Tunapatikana Sinza Africasana/Namba zetu 0719646705

❌ REFUND ❌
Comments (36)
hmyahw2024 7 months ago

hmyahw2024

Nina udi nitafute ni 92847374

mariamally8916 8 months ago

mariamally8916

@haloo_faa19

dijavabby 8 months ago

dijavabby

Mizuri kweli kweli🔥

shamsa_classic_style_hub 8 months ago

shamsa_classic_style_hub

ASSALAM ALAIKUM MASJID TWAIF NAMBA YA MITA: 54737745551 Toa sadaka nunua umeme wa msikitini na utume umeme huo kwa namba 0655034243. Allah (SW) katika Quran Sura Al-Baqarah, aya ya 261, anasema: "Mfano wa wale wanaotoa mali zao katika njia ya Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa punje iliyochipua mashuke saba, katika kila shuke zimo punje mia."

salehe9232 8 months ago

salehe9232

mm naipenda nitaipataje? nikovikindu

aminamsangi83 8 months ago

aminamsangi83

Mikoani mnatuma jamani

fundi_madish_azam_tv_dstv 8 months ago

fundi_madish_azam_tv_dstv

FUNDI MADISH AZAM TV DSTV 📡

latifaibrahim 8 months ago

latifaibrahim

Nahitaji

fifi.i7023 8 months ago

fifi.i7023

🔥🔥

xalma_xamid 8 months ago

xalma_xamid

Esma umemuona Nifer anavyo kufanyia umeleta penina na yeye mbio kenda Dubai kusema anauza penina anapenda kuharibu biashara za wenziwe

fundi_simu_china_plaza_online 8 months ago

fundi_simu_china_plaza_online

Fundi simu china plaza online

kuluthum_mbelwa8 8 months ago

kuluthum_mbelwa8

Asma mm nakupenda

Load More

More posts

back to up