Instagram story viewer> @azamtvtz> Post
7 months ago
4
Posted On: April 9th 2026, 10:50 am
Wiki hii kwenye kipindi cha #KitiChaUongozi , tutamtembelea Mwenyekiti wa Chama cha Wanunuzi na Wauzaji wa Madini Tanzania (TAMIDA), Osman Tharia akiweka wazi changamoto alizokumbana nazo katika safari yake ya uongozi.

Amesema changamoto hizo zilimfundisha uvumilivu na umuhimu wa jitihada endelevu ili kufanikisha maendeleo ndani ya chama cha madini.

Usikose kufuatilia kipindi cha #KitiChaUongozi kinachoangazia masuala ya uongozi kila Jumatano saa 1:30 usiku kupitia kisimbuzi chako cha #AzamTV

#AzamTVupdates
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi
@goodluckpaul_mc
@hildaphoya
Comments (4)
msangai_quality_carpet 9 days ago

msangai_quality_carpet

Boss 👏👏👏

da_nusrat 7 months ago

da_nusrat

Naombeni kujua ivi pale ile my son ndo mwisho au mpka.tulipie tena 2000

ridahs_store 7 months ago

More posts

back to up