Naunga mkono hoja wahudumu wa Bistro ni balaa kuna mmoja anaitwa Judith asee mtoto cheupe sura nzuri yule mtoto kama kashushwa kutoka juu kwa Mungu baba Mwenyezi.
Bistro hapana mashart kama bambalaga
Kuna pisi palee bistry nzr sanaaa nyeupe hivi
Platinum 4G mwayaa😂😂🙌
Sawa!nakubali mwanangu, nitazidi kuongeza vyuma vikali zaidi
Kalipwa hyuuu 😂😂😂😂