It is possible!!
Wooow 💋
Mbona nyele lakinane sasa
🔥🔥😂😂
Kwa nn hujamaliza tikiti umeniuzi
tuko pamoja firstborn mwnzng kuwa na amani hawatuelewi ❤️😂😂😂😂
😂😂😂🙌
UNATUMIA HELA VIBAYA TIKITI UMELIACHA NA UTAMU JAMANI😂😂
Nimekupenda buree😂😍
ANISA NINA ELFU TANO NIJE NIKUPE UONGEZE BAJETI
Umenifanya nianze kukufatilia🙌🙌🙌
Nilikuwa nimeshakupa Credit nyingi sanaa mwanangu ila shida Tikiti maji hujafika kwenye ule weupe na hapo ndo umezingua😂😂😂😂😂
Wakuoa ww wallahi
Viongozi wenu wakiona mnavyojitahidi kuishi kwa taabu wanapata ahueni😂😂😂😂
😂😂😂huyu dem wake nani