Instagram story viewer> @mwanabajeti> Posts
8.4K
followers
9
following
Maisha ndani ya Bajeti
Kula, Kuishi na Biashara kwa bajeti
Social Media Show
Host @anisakitenge
POSTS STORIES REELS TAGGED
Msisahau kujoin kwenye whatsapp channel yetu ya Mwanabajeti bure kabisa.

Link ipo kwenye bio na kwenye story ❤️ by @mwanabajeti
0
a month ago
Download
Analipwa laki 5 kwa mwezi lakini analipa kodi laki 2

Sheria ya 50%, 30% & 20%

Jiunge sasa kwenye whatsapp channel yangu kama mwanabajeti ♥️

Link ipo kwenye bio

#tanzania #mwanabajeti by @mwanabajeti
101
a month ago
Download
Karibu Mwana Bajeti!

Je, unataka kujifunza kupanga fedha zako vizuri bila kujali kipato chako ni kiasi gani?

Jiunge na Channel ya WhatsApp ya Mwana Bajeti na upate elimu ya fedha kwa vitendo itakayokusaidia: 
• Kupanga bajeti kwa ufanisi. 
• Kuweka akiba kwa nidhamu. 
• Kudhibiti matumizi yasiyo ya lazima. 
• Kutimiza malengo yako ya kifedha. 
• Kupata template za bajeti na vidokezo vya kila wiki. 
• Kushiriki changamoto za akiba na vipindi vya maswali na majibu.

Ada ya uanachama ni TZS 30,000 kwa mwaka mzima.

Lipa kupitia: 0699884936 Jina: Nisa Omar Kitenge

Baada ya kulipa, tuma uthibitisho wa malipo pamoja na jina lako ili uongezwe kwenye channel.

Anza leo. Panga leo, fanikisha kesho.

#MwanaBajeti by @mwanabajeti
1
3 months ago
Download
Tutumie shilingi elfu mbili siku nzima 🔥🔥🔥🔥

#tanzania by @mwanabajeti
401
5 months ago
Download
Bajeti ya mtu anaelipwa laki 4
na akiba ya 85,000
 
Mwanabajeti 

Maisha yanahitaji bajeti by @mwanabajeti
71
5 months ago
Download
Leo hatusherehekei uchapakazi wako tu, bali pia nidhamu yako ya kusimamia mipango yako na bajeti zako kwa uthabiti.

Mwanabajeti 

#tanzania by @mwanabajeti
1
6 months ago
Download
Bajeti ya mtu anaelipwa laki 5 kwa mwezi , anataka kusave laki pia 🙏

What do you think 🤦🏽‍♀️ by @mwanabajeti
888
6 months ago
Download
Tusaidie mawazo kwenye comment section ❤️
Thanks for the love and support ❤️ 

Mwanabajeti 

#tanzania by @mwanabajeti
30
6 months ago
Download
Watatiiii 🙌🙌🙌🙌❤️

#tanzania by @mwanabajeti
764
6 months ago
Download
Pilau, Kuku, Nazi kwa elfu 4000

Najua mlinimiss na mimi niliwamiss mara 2 yake 

#tanzania by @mwanabajeti
322
6 months ago
Download
Hii ni safari ya maisha halisi, Karibu Bajetini Ewe Mwanabajeti ❤️

Safari mpya inaanza leo ❤️

#mwanabajeti #tanzania by @mwanabajeti
46
6 months ago
Download
Tule kwa bajeti is now Mwanabajeti ❤️ by @mwanabajeti
0
6 months ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up