Instagram story viewer> @blessed_tillah> Post
a month ago
143
Posted On: June 12th 2026, 04:09 pm
Ilikuwa ni heshima kubwa kwangu kupata nafasi ya kusalimiana na Waziri wa Afya Mheshimiwa @mohamed_mchengerwa Leo hii na kubwa zaidi maneno yake machache ambayo yameweka alama moyoni mwangu “Unafanya vizuri, nakufuatilia” 🙌🏾

Hali yangu ya kupambana imeinuka tena na pale nilipotaka kusimama nimepata sababu nyingine ya kuendelea mbele bila kuchoka wala kukoma.

Asante kwa video @dullyxd_

#BlessedTillah
Comments (143)
josephat7835 16 days ago

josephat7835

Mpoto vipi apo miguuni😂😂😂😂

nasmircreative a month ago

nasmircreative

Keep figjting @blessed_tillah

gaxnho_jr a month ago

gaxnho_jr

Keep going champ ❤️🔥

steven_kanumba7 a month ago

steven_kanumba7

Unajituma Sana kwenye kazi yako ❤️❤️

deedy_diana a month ago

deedy_diana

❤️❤️❤️ tushafika 😍😍 @blessed_tillah

official_pimbi1 a month ago

official_pimbi1

Ndio upige magoti jamanii, hii nidhamu ungekuwa nayo muda huu ungekuwa unafua nguo za mumeo😂

emmanuel.mgaya.5439 a month ago

emmanuel.mgaya.5439

Sema ulikutana na boss wako

klesiuh a month ago

klesiuh

Halafu ushindwe kupata kazi

majaliwashop a month ago

majaliwashop

Ujapiga

seme5854 a month ago

seme5854

Mh Waziri amekubari kunongonezwa leo ana kazi aombe Mungu Mh Wanu Hafidh asiione hii picha ac

isco_de_sisco a month ago

isco_de_sisco

Ila thathaaa🙌🔥🔥❤️

majaliwashop a month ago

majaliwashop

Ujapiga

midfilder_kisheti a month ago

midfilder_kisheti

Mpoki peku imemshinda

mwinjanavil a month ago

mwinjanavil

MWAMBIE HUYU

bagalu.bangweli a month ago

bagalu.bangweli

Msafaea wa Wanafiki!😢😢

Load More

More posts

back to up