Instagram story viewer> @mwinjanavil> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Kwenye Collabo ya Bye Bye iliyowakutanisha wakali wawili kutoka kwenye kiwanda cha muziki hapa Tanzania na East Africa kwa ujumla,mule ndani kuna kionjo cha maneno yanayopatikana kwenye ngoma ya black butterfly mwasitij ambayo ni ya kitambo kidogo. Sasa ni nani alileta ile idea ya kuchomeka yale maneno na kuyatumia kama kionjo kwenye ngoma yake na @harmonize_tz
 Huyu hapa @phina__tz akitupa majibu ya hilo.

Lakini pia the melanin queen phina,amesema anaamini  live performance inaweza kumpa msanii platform kubwa kwenye mziki wake.

Ukitaka good look ya kimataifa tembelea @official_chrisdesigner_dodoma

Ukitaka manukato ya level za magician smells waone @bigbrandperfumes05

Mdada ukitaka ujiweke smart dunia ikushangae basi fika pale @divinebeautypoint ukanoge!!

Follow @mwinjanavil
Sikiliza 96.5 @pointfmtz Dodoma kokote uliko kupitia https://radio.garden/listen/point-fm-96-5/hnenpaSF pamoja na https://onlineradiobox.com/tz/point/ taken in Point FM by @mwinjanavil
3
a year ago
Download
this is ma new family...
96.5 @pointfmtz Dodoma 
ULIMWENGU WA BURUDANI by @mwinjanavil
3
2 years ago
Download
Mrembo aliyezidiwa dozi na wanaume 583 wakasababisha akimbizwe hospitali baada ya kuzidiwa

@j19michezo by @mwinjanavil
1
a year ago
Download
BEST CHEMISTRY!!

Rapa wa Tanzania, Darassa, ameachia rasmi ngoma yake mpya "Love Design" akimshirikisha nyota wa Bongo Fleva Harmonize, ikiwa ni mara ya tatu kwa mastaa hao kuunganisha nguvu kwenye kazi moja. Ngoma hiyo ilitoka rasmi Julai 23, 2026 na imepokelewa vizuri na mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva na Hip Hop.

Safari ya ushirikiano wa @darassacmg255 na @harmonize_tz ilianza kupitia ngoma "Yumba" iliyotoka December 2019, ambayo iliwapa mashabiki ladha ya kipekee ya mchanganyiko wa rap na uimbaji. Baadaye wakarejea tena na "Mazoea" iliyotoka September 2024 ngoma iliyofanya vizuri na kuendelea kuthibitisha uwezo wao wa kutengeneza hits wanapokutana studio.

Sasa, wawili hao wamerejea kwa mara nyingine na "Love Design", ngoma ya kimapenzi inayounganisha mistari ya Darassa na sauti ya Harmonize kwa mtindo wa kisasa wa Bongo Fleva. Ujio wa kolabo hii umeongeza orodha ya kazi zao za pamoja na kuwafanya mashabiki wengi kuamini kuwa ushirikiano wao unaendelea kuwa miongoni mwa unaopendwa zaidi kwenye muziki wa Tanzania.

#entertainment #newsupdates #remnakvmedia by @mwinjanavil
0
11 hours ago
Download
One of the best collabo
@princedullysykes Ft. @zee_cuty
Kings & Queens bangs on and on!! taken in Dodoma, Tanzania by @mwinjanavil
2
a day ago
Download
THROW BACK PROFILE (TBP)
Huyu ni Mr. Cheeks, rapper mkongwe kutoka Marekani ambaye ameacha alama kubwa kwenye historia ya Hip Hop, hasa upande wa East Coast Hip Hop. Jina lake halisi ni Terrance Cocheeks Kelly, alizaliwa Machi 28, 1971 huko Queens, New York.

@mrcheeksofficial alijipatia umaarufu mkubwa akiwa mmoja wa waanzilishi wa kundi la Lost Boyz, kundi maarufu la Hip Hop lililotokea Queens, pale New York, miaka ya 1990. Kupitia Lost Boyz walifanya ngoma zilizopata mafanikio makubwa kama “Renee”, “Lifestyles of the Rich & Shameless” na “Bimaz & Benz”, ambazo mpaka leo zinakumbukwa na mashabiki wa Hip Hop ya kizazi cha zamani.

Baada ya mafanikio akiwa na Lost Boyz, Mr. Cheeks alianza kazi yake ya solo na mwaka 2001 akaachia albamu yake ya kwanza iliyojulikana kama “John P. Kelly”. Albamu ambayo ilimpa mafanikio makubwa kupitia wimbo wake maarufu “Lights, Camera, Action!” uliowashirikisha Missy Elliott, P. Diddy na Petey Pablo.

Mr. Cheeks anatajwa kama mmoja wa rappers waliowakilisha vyema sauti ya mitaani ya Queens, akijulikana kwa uwezo wake wa kusimulia maisha halisi, anavyopiga michano kitulivu na mtindo wake wa kurap unaovutia.

Ingawa hakufikia umaarufu wa baadhi ya majina makubwa kama Jay-Z au Nas, Mr. Cheeks bado ana heshima kubwa ndani ya Hip Hop kutokana na mchango wake katika kuijenga na kuikuza sauti ya New York katika miaka ya 90 na 2000.

UNAMKUMBUKA MR CHEEKS KWA NGOMA GANI NA ILIKUKUTA WAPI? by @mwinjanavil
43
3 days ago
Download
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Tid amesema kitendo cha msanii Marioo kusafiri kwa kutumia Treni ya Mwendo Kasi (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ni hatua muhimu ya kuitangaza Tanzania na kuhamasisha utalii pamoja na kukuza uchumi wa nchi.

Msanii huyo amesema kuwa kutokana na ukubwa wa jina na ushawishi wa Marioo, kuchagua kutumia SGR kuna mchango mkubwa katika kuhamasisha Watanzania na wageni kuamini na kutumia huduma hiyo huku akisisitiza kuwa kwa kiwango cha Marioo, kutumia SGR ni jambo lenye athari chanya kubwa katika kuitangaza Tanzania kuliko hata kusafiri kwa ndege.

✍️ @mwinjanavil
______________________
🙏 Ikumbatie Point Fm 96.5 Mhz wakati wote popote huku ukitufuata katika mitandao yetu yote ya kijamii. Tusikilize Online pia kupitia Radiobox na Radiogarden. 
#pointfm96.5 #ulimwenguwaburudani taken in Dodoma, Tanzania by @mwinjanavil
1
3 days ago
Download
Mtayarishaji wa Muziki Jijini Dodoma, King Sumbali amefunguka kuwa  muziki wa Dodoma unakumbwa na wimbi la kukosa sapoti kutoka kwa Wadau jambo linalokuwa kikwazo muziki huo kufika mbali .

"Ingawa wapo wakali wengi sana lakini bado hawajajua soko linahitaji nini na nini kifanyike ili sanaa ikue zaidi", Amesema King Sumbali  wakati wa Mahojiano na Point Fm kwenye kipindi cha Talk Of the Town alipoulizwa kuhusu muziki wa Dodoma.

Je nini kifanyike ili muziki huu uende mbali zaidi?

📹 @ciphaleesfm
____________________________
🙏 Ikumbatie Point Fm 96.5 wakati wote popote, Tufuate mitandao yote ya kijamii sambamba na kuisikiliza Online kupitia Radiobox na Radiogarden. 
#pointfm96.5 #ulimwenguwaburudani taken in Dodoma, Tanzania by @mwinjanavil
14
3 days ago
Download
Katika ulimwengu wa muziki wahip-hop, kuheshimiana miongoni mwa magwiji ni jambo linaloleta hamasa kubwa.

 Rapa mkubwa duniani, Lil Wayne, ameweka wazi wasanii wanaomvutia zaidi kwa kuwataja Jay-Z na Missy Elliott kuwa ndio rapa wake pendwa wa wakati wote (GOATs). ​Uamuzi huu unazidi kuonyesha heshima kubwa waliyonayo wasanii hawa wakongwe kutokana na mchango wao mkubwa na wa kipekee kwenye tasnia ya burudani ya kimataifa.

Je, kwa upande wako ni Rapa yupi Bora wa muda wote duniani?

✍️ @mwinjanavil
__________________________
🙏 Ikumbatie Point Fm 96.5 MHz muda wote popote. online: Radiogarden / radiobox
#pointfm96.5 #ulimwenguwaburudani taken in Dodoma, Tanzania by @mwinjanavil
0
3 days ago
Download
The Number One Central Zone Music Chart
Maabara by Spana @vanillahmusic ft @yammitz is busting the air!

@mwinjanavil taken in Capital City...Dodoma by @mwinjanavil
9
5 days ago
Download
REPLAY by @inorhymestz produced by Dupa and Hans B. Wozane!! taken in Dodoma, Tanzania by @mwinjanavil
0
5 days ago
Download
Sherehe linazidi kunoga watu kwenye pati wanapiga mpunga tu.
Huyu hapa @clickmaster_1 kwenye the number one central zone music chart..
Nafasi bado ipo!!

@goldenwakanda_
@bettymuteikyallo by @mwinjanavil
0
5 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up