Instagram story viewer> @pointfmtz> Post
3 days ago
Co Creator: imocy_music kingsumbali mwinjanavil
14
Posted On: July 22nd 2026, 06:32 pm
Mtayarishaji wa Muziki Jijini Dodoma, King Sumbali amefunguka kuwa muziki wa Dodoma unakumbwa na wimbi la kukosa sapoti kutoka kwa Wadau jambo linalokuwa kikwazo muziki huo kufika mbali .

"Ingawa wapo wakali wengi sana lakini bado hawajajua soko linahitaji nini na nini kifanyike ili sanaa ikue zaidi", Amesema King Sumbali wakati wa Mahojiano na Point Fm kwenye kipindi cha Talk Of the Town alipoulizwa kuhusu muziki wa Dodoma.

Je nini kifanyike ili muziki huu uende mbali zaidi?

📹 @ciphaleesfm
____________________________
🙏 Ikumbatie Point Fm 96.5 wakati wote popote, Tufuate mitandao yote ya kijamii sambamba na kuisikiliza Online kupitia Radiobox na Radiogarden.
#pointfm96.5 #ulimwenguwaburudani
Comments (14)
dstar_content 3 days ago

dstar_content

Akisema Ukweli zaidi ataambiwa anadharau, Tujifunze kupokea MAONI ya watu 👊

nex_moko 3 days ago

nex_moko

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

rineyofficial 3 days ago
iamjustinmshana 3 days ago

iamjustinmshana

King Sumbali

imocy_music 3 days ago

imocy_music

King himself🔥🙌

safayatopaz 3 days ago

safayatopaz

Start where u are, Nadhani wasanii mtaji wa kwanza ni kua na Audio kali, kuziachia na kupush watu wakisha ona watasaport tu!

kingsumbali 3 days ago

kingsumbali

Kwa pamoja tu support game, natamani kuiona Dodoma inakuwa kwenye swala zima la Entertainment.

kingsumbali 3 days ago

kingsumbali

🔥🔥

More posts

back to up