Posted On: July 19th 2026, 01:29 pm
Mradi wa KEYJana Impact umezinduliwa rasmi.
Ukiongozwa na vijana wa Tanzania, mradi huu unalenga:
✅ kuwasaidia vijana kupata taarifa kuhusu sera na maamuzi yanayowahusu,
✅ kuongeza ushiriki wao katika mausala ya kiraia,
✅ kuhamasisha ushiriki wao katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
🇩🇰 Denmark inajivunia kuunga mkono juhudi zinazoongozwa na vijana katika kujenga Tanzania yenye maendeleo jumuishi na endelevu. 🇹🇿
__________
The KEYJana Impact Project has officially been launched.
Led by young Tanzanians, the initiative will
✅Expand access to policy information,
✅Strengthen civic participation and
✅Advance climate action
Denmark is proud to support youth-led solutions that help shape Tanzania's sustainable future. 🇩🇰🇹🇿