Tawi letu la Yang Z tumejumuika na Yanga Soccer School kusherehekea ubingwa wao kwa kukabidhi zawadi ya picha (framed photo) kama kumbukumbu ya mafanikio haya makubwa @yangascsoccerschool ๐๐ฐ
Hongereni mabingwa! Tunawatakia mafanikio zaidi katika safari yenu ya soka๐๐