Instagram story viewer> @yangz_taifa> Posts
20.1K
followers
115
following
Karibu ukurasa rasmi wa tawi la Vijana @yangz_taifa ✨Generation of victory✌️(Gen Z)⏭️ YANGZ
Winners of the Best Branch Award 2024/25 @yangasc🥇
POSTS STORIES REELS TAGGED
Wanachama wetu wa Tawi la @yangz_taifa wameshiriki katika Tukio la Charity Lililoandaliwa na Uongozi wa Young Africans Sports Club kwa Kushirikiana na @gsmfoundationtz katika kituo cha Karim Care Centre.

#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko by @yangz_taifa
94
2 months ago
Download
HAPPY 𝐌𝐀𝐒𝐇𝐀𝐓𝐈 𝐃𝐀𝐘 Wananchi ..🤩 Hakikisha Unakuja KMC Complex Leo ukiwa umependeza na Shati Lako Tushangilie pamoja 

𝐌𝐀𝐒𝐇𝐀𝐓𝐈 𝐃𝐀𝐘 IMEEEENDAAAAAA🙌🏽🙌🏽🏟️ @yangz_taifa by @yangz_taifa
504
2 years ago
Download
TAWI BORA YANGA | Kuelekea kilele cha Wiki ya Mwananchi kesho Septemba 12, 2025.. lifahamu Tawi Bora la Yanga kwa mwaka 2024/25 .. 

Si lingine, bali ni @yangz_taifa na hivi ndivyo walivyochukua tuzo yao iliyotolewa wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka uliofanyika Jumapili Septemba 7. 

Huyu hapa Ally Kamwe akieleza vigezo vilivyowafanya #YangaZTaifa kuwa tawi bora la mwaka… 

@yangz_taifa pia walikuwa ni miongoni mwa matawi yaliyoshinda tuzo ya matawi yaliyosafiri zaidi na timu. 

#WikiYaMwananchi #YangaZTaifa #YangaSC #SikuYaMwananchi by @yangz_taifa
96
a year ago
Download
#CAFCL @yangz_taifa walikuwepo Azam Complex, Chamazi, kuichochea na kuinogesha '4G', waliyopigwa CFFA FC kutoka Madagascar. 

FT: CFFA 0-4 Yanga SC.

Game ya marudiano ni Oktoba 21 kwenye dimba hilohilo la Azam Complex. 

#CAFChampionsLeague #CCL #LigiYaMabingwaAfrika CFFA YangaSC CFFAYanga by @yangz_taifa
80
14 hours ago
Download
HIYO LINI HIYO, HIYO LEO HIYOOO @yangz_taifa 🔥🔰🤩

Leo tumepata ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya CFFA FC ya Madagascar, mechi ya kwanza raundi ya pili Ligi ya Mabingwa Afrika🔰💪

Tukutane kwenye mchezo wa marudiano  tarehe 21/10/2026 kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi Muda saa 1:00 usiku⏱️..

Credit @johflutist 📸

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa 🔰✅ by @yangz_taifa
19
15 hours ago
Download
FT’| #CAFCL 

CFFA 0🆚4 Young Africans SC

#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa 🔰✅ by @yangz_taifa
27
20 hours ago
Download
𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰💪

🆚 CFFA
🗓️ 17 Oct 2026
⏱️ K.O 3:00
🏟️ Azam Complex
🏆#totalenergiescafcl

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

Follow us: @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa 🔰✅ by @yangz_taifa
25
a day ago
Download
NEXT STOP CAF CHAMPIONS LEAGUE!🌍🔰💪

kesho saa 9:00 alasiri tunakutana kwenye viunga vya azam complex, chamazi, kuishangilia timu yetu katika mchezo wa CAF champions league dhidi ya cffa!🔥

Mwananchi, kama bado hujakata tiketi yako, kata sasa na tuungane kuipa nguvu timu yetu pendwa @yangasc 🔰

NB: Hii tunaitaka, iwe mvua au iwe jua!🥶

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa 🔰✅ by @yangz_taifa
19
2 days ago
Download
NEXT STOP CAF CHAMPIONS LEAGUE! 🌍🔰💪

Yanga 🆚 CFFA ✅

Tukutane tarehe 17/10/2026 kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi, kuipa nguvu na kuisapoti timu yetu ya wananchi @yangasc katika mchezo wetu wa kimataifa!🏟️💪🔥

NB: Hii tunaitaka, iwe mvua au iwe jua Wananchi!!🔰

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa 🔰✅ by @yangz_taifa
36
3 days ago
Download
THANK YOU FOR 20K FOLLOWERS @yangz_taifa 🔰🔥💪.

Asanteni kwa sapoti, upendo na kuwa sehemu ya familia yetu. Hii ni hatua yetu sote, na safari bado inaendelea!

Wafuasi 20,000 si idadi tu, bali ni ushahidi wa mshikamano, umoja na upendo mlionao kwetu. Kila mmoja wenu ana nafasi ya pekee katika safari hii👏.

Safari inaendelea, na tunaamini makubwa zaidi yanakuja. Tushikamane, tuzidi kupeana nguvu na kusonga mbele kwa pamoja kuelekea ushindi! 🏆🔥

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa 🔰✅ by @yangz_taifa
20
3 days ago
Download
YANGA NI ZAIDI YA MPIRA, NI UPENDO NA MATENDO KATIKA JAMII @yangasc 🔰😇🙏🏿.

Japo jana hatukupata matokeo tuliyoyatarajia uwanjani, dhidi ya mtani wetu lakini Tawi la Yang Z taifa tulipata nafasi ya kugusa maisha na kuleta tabasamu kwa watoto wetu wa Nira Children – Zakiem. 🥹❤️

Asanteni sana kwa viongozi na wanachama wote kwa kuguswa na kujitolea sadaka hii @yangz_taifa Mungu awabariki sana🔰🙏🏿..

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa 🔰✅ by @yangz_taifa
39
7 days ago
Download
YANG Z CHARITY DAY & KARIAKOO DERBY 🔥🔰💪📸

Picha mbalimbali za viongozi na wanachama wa Tawi la YANG Z Taifa walipotembelea kituo cha watoto yatima cha Nira Children – Zakiem, Kiburugwa, leo, kuelekea katika mchezo wa leo wa Kariakoo Derby.

NB: Tuseme nini na hatuna cha kusema 🤣🤣🤣

Follow us @yangz_taifa @yangz_taifa @yangz_taifa 🔰✅ by @yangz_taifa
18
8 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up